Hakuna kitendo kilikuwa kinafanyika bila wao kukubaliana , hilo nimemalizaHili limekusbinda.
Unatakiwa ujibu maswali haya.
1. Mtume alishiriki vipi kufukua kaburi ?
2. Waraqah aliandika aya gani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitendo kilikuwa kinafanyika bila wao kukubaliana , hilo nimemalizaHili limekusbinda.
Unatakiwa ujibu maswali haya.
1. Mtume alishiriki vipi kufukua kaburi ?
2. Waraqah aliandika aya gani ?
Hili huwezi kulimaliza mpaka unakufa.Hakuna kitendo kilikuwa kinafanyika bila wao kukubaliana , hilo nimemaliza
Hawezi kukujibu uyo KAFIRI mna hana hoja thabitiHili huwezi kulimaliza mpaka unakufa.
Nasubiri majibu kwa nilicho kuuliza. Hatuendelei mbele mpaka ujibu hayo maswali.
Aya gani alizo ziandika Waraqah na Mtume alishiriki wapi kufukua Kaburi ?
Shukrani.
Nenda kasome pale ambapo warak alipo kufa nini kilitoke kwenye Koran , alafu ndio urudi kuuliza tenaHili huwezi kulimaliza mpaka unakufa.
Nasubiri majibu kwa nilicho kuuliza. Hatuendelei mbele mpaka ujibu hayo maswali.
Aya gani alizo ziandika Waraqah na Mtume alishiriki wapi kufukua Kaburi ?
Shukrani.
Wewe unapinga Koran na hadith toka mwanzo nilisha kwambia wewe sio muislamu, ukiwekewa maandiko unasema yatupwe kwenye DustbinHawezi kukujibu uyo KAFIRI mna hana hoja thabiti
Ulisema Waraqah ni katika Wakristo walio andika Qur'aan. Maana yake aliandika kabla hajafa,sasa ndiyo nataka utuambie ameandika aya gani.Nenda kasome pale ambapo warak alipo kufa nini kilitoke kwenye Koran , alafu ndio urudi kuuliza tena
Ilo la kaburi kufukuliwa nimeshamaliza , Allah anasema wanakubaliana jambo na Muhammad kwanza kabla halijafanyika, ndio maana ukiona ata swala la umalaya (mutah) walikubaliana badae kwenye Hadith Muhammad akaja kulifuta ila kwenye Koran bado lipo na mnamfuata Muhammad kwamba yeye alikuja kukataza
Ulisema kafiri haendi mbinguni nikakuumbua kwa maneno ya Allah kwamba wanapendaHawezi kukujibu uyo KAFIRI mna hana hoja thabiti
Dini yangu inanikataza kujadiliana na mtu mjinga asiekua na ElimuWewe unapinga Koran na hadith toka mwanzo nilisha kwambia wewe sio muislamu, ukiwekewa maandiko unasema yatupwe kwenye Dustbin
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] KAFIRI maafikio yke ni Motoni tuu we endelea na ukafiri wako ukifa ndo utajua ipi ni mbichi na ipi mbivu.Ulisema kafiri haendi mbinguni nikakuumbua kwa maneno ya Allah kwamba wanapenda
Nini kilitokea kwenye Koran baada ya warak kufa , Yani kwa sasa nataka utumie akili sita ku spoon feed , kwa nini kilitokea kwenye Koran? Na kwa nini muhammad alikuwa kichaa akataka kujiua baada ya hicho kilicho tokea kwenye koranUlisema Waraqah ni katika Wakristo walio andika Qur'aan. Maana yake aliandika kabla hajafa,sasa ndiyo nataka utuambie ameandika aya gani.
Kuhusu suala la kufukua kaburi maneno haya uliyaandika wewe na mimi nakuuliza maswali kwa kile ulicho kiandika wewe mwenyewe. Sasa ndiyo utupe na ushahidi wapi Mtume alifukua kaburi.
Ama aya unayo itumia inawahusu waumini sasa swali huyo Mkristo alikuwa muumini ?
Hakuna kukimbia maswali.
ushasikia ww kwaio jiandae tuu na kma huutaki moto fanya UsilimuUlisema kafiri haendi mbinguni nikakuumbua kwa maneno ya Allah kwamba wanapenda
Ndio maana nakuita wewe sio muislamu maana unampinga Allah , ukiacha kumpinga Allah ndio uje tujadiliane[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] KAFIRI maafikio yke ni Motoni tuu we endelea na ukafiri wako ukifa ndo utajua ipi ni mbichi na ipi mbivu.
Huna hoja ww Uyo Allah humjui hlf utamuelezea vipi Allah usomjuaNdio maana nakuita wewe sio muislamu maana unampinga Allah , ukiacha kumpinga Allah ndio uje tujadiliane
Hujui Uislamu kabisa, allah ndie anapanga nani aende motoni na nani aende peponi toka wakiwa tumboni mwa mama zao nenda kasome ILI usilete utoto watu wazima tukiwepoHuna hoja ww Uyo Allah humjui hlf utamuelezea vipi Allah usomjua
Nimekuekea Aya hpo isome vzr
Ndi ujifunze na ujue kwamba Muhammad alikuwa hajui kosoma na kuandika , kabla huja commentDini yangu inanikataza kujadiliana na mtu mjinga asiekua na Elimu
Huna hoja zaidi ya porojo ndo mna nakudharau ila ukitaka kuelimishwa Uislamu we sema uelimishwe
Naendelea kukufunza , mtoto mdogo wa kiislam alikufa Muhammad alienda kwenye msiba , Aisha alamwambia Muhammad huyu mtoto mchanga ataenda mbinguni maana ni muislamu na hajawahi kufanya dhambi , Muhammad akamwambia inaweza kuwa tofauti na akaenda motoni kwani Allah anapanga wa motoni na WA peponi kabla hawajazaliwaushasikia ww kwaio jiandae tuu na kma huutaki moto fanya UsilimuView attachment 2034653
Nikisha ona mtu anajikita kwenye spelling najua sindano imeingia deep, unapiga kelele unakuta Allah kashakuandikia motoni toka tumboniYani mm nikibishana na mjinga hua nampa Ushindi
Anomwambia mwenzake hajui kosoma yy iyo kosoma hajui kuiandika hlf anajikuta anajua kosoma [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
We jiandae tuu na [emoji91][emoji91][emoji91] sina mda na ww bhna endelea na umbumbumbu wako
"kusoma" inaandikwa hivi umesikia sio kosoma
Enlighten me mkuuje unajua ubongo na nervous system inavyofanya kazi . Brain is a big black box
Anae panga watu wapotee ni allah mwenyewe , ansema yeye ndio anawaandikia wa kupotea na atakao wapeleko peponi, soma sana kijana rudi madrasa kapambaneushasikia ww kwaio jiandae tuu na kma huutaki moto fanya UsilimuView attachment 2034653