Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Hawakuwa na Dini kwasababu hakukuwa na Dini. Dini ni mfumo wa Ibada uliokuja kuwekwa na wanadamu wakiwepo waasisi wa hizo Dini kama Yesu Kristo - Ukristo, Muhammad - Uislam.Ibrahim,Ishmael,isihaka ,yakobo n.k
Nao walikuwa dini gani?
Wakati YESU kristo hakuwepo?
Hao uliowataja walikuwa Manabii wa Mungu wasiokuwa na Dini yoyote.
Haya nijibu kuwa Adam na Ibrahim walisilimu kwa shahada ipi?