Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Ivi nikikuuliza waitwa nani ww utaanza kusema muhammad kafanya ivi na vile we jibu swali uloulizwa
Najua ilo swali huwezi lijibu mpk unakufa
 
Ivi nikikuuliza waitwa nani ww utaanza kusema muhammad kafanya ivi na vile we jibu swali uloulizwa
Najua ilo swali huwezi lijibu mpk unakufa
Jibu zuri ambalo unatakiwa kwa Imani Yako ulikubali haraka ni hili la Muhammad
muhammad akasema aletewa kitabu kinaitwa torah akaweka mkono juu ya kitabu akasema nakiamini na naamini alie kidhihirisha
...........Bring the Torah. It was then brought. He then withdrew the cushion from beneath him and placed the Torah on it saying: I believed in thee and in Him Who revealed thee ...... Sunan Abi Dawud 4449
 
Ivi nikikuuliza waitwa nani ww utaanza kusema muhammad kafanya ivi na vile we jibu swali uloulizwa
Najua ilo swali huwezi lijibu mpk unakufa
Alafu, Allah umeona amekwambia usipo tenda dhambi anakuua , he will kill you
 
Mubarridi Consensus ad idem
Katika list hii point ya kwanza nimeshawaweka sawa niende ya pili au bado mnataka ushahidi wa wakristo kuandika Koran

  • Nimethibitisha kwa kutumia maandiko yenu Koran ilikuwa inaandikwa na wakristo, na mkristo mmoja akasema muhammad hajui chochote nilicho muandikia
  • Koran imechanganya historia kubwa ikiwa inadai isa ndio Yesu Yani mpaka jina haijulikani Muhammad katoa wapi
  • Koran imeandikwa kutoka kwa Hafs , Hafs alikuwepo miaka 200 baada ya marehemu Muhammad
  • Koran ilipangwa surah zake upya baada ya Muhammad ,maana waliona matukio hayaendi kwa mtiririko , mfano niliweka kupasua mwezi na badae Allah anasema tena Muhammad hana muujiza
  • Surah mbili kubwa kunyofolewa kwenye Koran , ya kupiga mawe na kunyonyesha mtu mzima, hii tumeona muhammad alipo kufa surah zililiwa na mbuzi na badae zikatolewa,
 
Ivi ww una miaka mingapi?

Unaishi wapi?

Jibu hayo maswali nione ufahamu wako
 
Kwa sababu kabla ya kufikia maswali yako unazusha maswali yangu unayotakiwa kujibu.

Nakuuliza uthibitishe uchawi upo, unanitajia maneno ya Allah kama uthibitisho.

Huyo Allah unaweza kuthibitisha yupo?
Nimekuuliza hili la kuthibitisha nilifanue mara ngapi ?

Na kwanini hujibu maswali niliyo kuuliza ? Huko mwanzo baada ya kuonyesha uchawi upo nilikutaka wewe ukanushe na utuonyeshe ya kuwa Uchawi haupo hili hujalifanya na najua huwezi huwezi kulifanya sababu hujui uchawi ni nini ?!
 
Nasubiri majibu ya maswali yangu mawili. Silei ujinga. Maneno uliyasema mwenyewe ajabu unashindwa kuyathibitisha.

Wewe ruka ruka ila hakuna kwenda nukta nyingine mpaka ujibu maswali niliyo kuuliza.
 
Nasubiri majibu ya maswali yangu mawili. Silei ujinga. Maneno uliyasema mwenyewe ajabu unashindwa kuyathibitisha.

Wewe ruka ruka ila hakuna kwenda nukta nyingine mpaka ujibu maswali niliyo kuuliza.
Kwa uelewa wako wakristo wangapi wameandika Koran? Tuanze hapa kwanza
Issue ilikuwa Mimi nithibitishe na nimefanya hivyo , embu twende point ya pili nithibitishe
 
Ivi ww una miaka mingapi?

Unaishi wapi?

Jibu hayo maswali nione ufahamu wako
Unaanza kutisha watu ila najua Muhammad na Allah walisema mtaua wakristo wote na wayahudi mpaka mawe yatawasaidia ila ni kochekesho Allah alikuwa hana ufahamu na dini zingine.

Allah's Messenger (ﷺ) said, "The Hour will not be established until you fight with the Jews, and the stone behind which a Jew will be hiding will say. "O Muslim! There is a Jew hiding behind me, so kill him."Sahih al-Bukhari 2926
 
Kwa uelewa wako wakristo wangapi wameandika Koran? Tuanze hapa kwanza
Issue ilikuwa Mimi nithibitishe na nimefanya hivyo , embu twende point ya pili nithibitishe
Ruka ruka tu nasubiri majibu ya maswali yangu.

Suala la Wakristo kuandika Qur'aan umelileta wewe sasa ajabu unashindwa wap ikutuambia Waraqah aliandika Qur'aan na unashindwa vipi kututhibitishia ya kuwa Mtume alifukua kaburi ?!
 
Kwani Mungu wa Adam na Ibrahim na Muhammad na YESU NI TOFAUTI?
 
Nikuulize swali MOJA Kwanza.
Wewe umetoka wapi?
Namaanisha kabla haujazaliwa ulikuwa wapi?
 
Wapi umeonesha uchawi upo?

Mpaka sasa.

1.Hujathibitisha uchawi upo.

2.Umetaka kuthibitisha uchawi upo kwa kutumia maneno ya Allah, nikakutaka uthibitishe Allah yupo.
Hujathibitisha huyo Allah yupo.

Kwa hiyo, umejiongezea kazi ya kuthibitisha.

Badala ya kuthibitisha uchawi upo tu, sasa hivi unatakiwa kuthibitisha uchawi upo na Allah yupo.

Hujathibitisha lolote kati ya mawili haya.

Thibitisha uchawi upo.

Thibitisha Allah yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…