Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

nakuonesha KUWA Mungu alikuwepo kipindi chote hicho.
Na yeye ndo alikuwa anatuma mitume na manabii kwa watu.
Manabii wote na mitume wote ujumbe ulikuwa NI kumuabudu Mungu MMOJAView attachment 2035388
Kumuabudu Mungu mmoja tu ndio tayari ni Uislam? Vipi kushuhudia ya kuwa Mtume Muhammad ndiye Mtume wa Allah?

images%20-%202021-12-07T175552.917.jpg
 
Unaelewa kwamba posts zina namba na unaweza kuzi link?

Thibitisha uchawi upo.

Thibitisha Allah yupo.
Unaikumbuka post niliyo kuquote mara kwanza humu ?

Sasa kama hukumbuki au hujaona nilichokithibitisha hiki unacho niuliza umekipata wapi ?
 
Kumuabudu Mungu mmoja tu ndio tayari ni Uislam? Vipi kushuhudia ya kuwa Mtume Muhammad ndiye Mtume wa Allah?

View attachment 2036205
Muhammad hakuwa mtume wa Kwanza katika uislam.
Kila mtume au nabii alikuwa na SHAHADA YAKE.
ILA SHAHADA KUBWA NI MUNGU MMOJA.
manabii na mitume wakubwa wapo 25.
Kuanzia Adam mpaka Muhammad.
 
Unaikumbuka post niliyo kuquote mara kwanza humu ?

Sasa kama hukumbuki au hujaona nilichokithibitisha hiki unacho niuliza umekipata wapi ?
Unaweza kutoa namba ya post?

Kwa sababu mimi naweza kukumbuka post niliyo quote mara ya kwanza kimakosa.

Namba please.
 
Muhammad hakuwa mtume wa Kwanza katika uislam.
Kila mtume au nabii alikuwa na SHAHADA YAKE.
ILA SHAHADA KUBWA NI MUNGU MMOJA.
manabii na mitume wakubwa wapo 25.
Kuanzia Adam mpaka Muhammad.
MUNGU ata akisema wapo 10 shida nini? Cha msingi awe Mungu wa kweli, Kun watu mungu wao ni Lucifer na ni mmoja ndio tuwaamini au?
 
MUNGU ata akisema wapo 10 shida nini? Cha msingi awe Mungu wa kweli, Kun watu mungu wao ni Lucifer na ni mmoja ndio tuwaamini au?
Lucifer hawezi kuwa na sifa ya UMUNGU.
Mungu hakuumbwa , Lucifer ameumbwa.
Mungu ameumba viumbe Lucifer hakuumba kiumbe chochote.
 
Muhammad hakuwa mtume wa Kwanza katika uislam.
Kila mtume au nabii alikuwa na SHAHADA YAKE.
ILA SHAHADA KUBWA NI MUNGU MMOJA.
manabii na mitume wakubwa wapo 25.
Kuanzia Adam mpaka Muhammad.

Thibitisha kwa maandiko kwamba Muhammad hakuwa mtume wa kwanza katika uislamu
 
Unaweza kutoa namba ya post?

Kwa sababu mimi naweza kukumbuka post niliyo quote mara ya kwanza kimakosa.

Namba please.
Ile niliyo kuquote mara ya kwanza. Unapenda kupoteza muda kwenye hakuna.
 
Asante kwa maandiko
Swali kwako, nini kilifanya misingi ya imani ya kiislamu ibadilike kulinganisha hao manabii na muhamad, kwa mfano swala tano, kuhiji maka?
kila mtume aliku na njia yake ya kuabudu.
Swala 5 mtume alipewa alipoenda Safari ya mbinguni.israa na miraji.
Kila umma uliokuwa na mtume wake walifundishwa namana ya kuabudu.ila LENGO NI MOJA KUMUABUDU MUNGU MMOJA.ukisoma agano la kale utagundua mafundisho yake mengi.yanafanana na QURAN.
Suala la maka alaieanzisha kuijenga makka ni nabii Ibrahim.
Alipowapeleka Ismail na Mama yake kujificha
 
Back
Top Bottom