mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
MUNGU.Nani mama yangu or??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MUNGU.Nani mama yangu or??
Ulimuona??MUNGU.
Hii ndiyo tofauti yangu mimi na wewe.Ile niliyo kuquote mara ya kwanza. Unapenda kupoteza muda kwenye hakuna.
Jibu ayo maswali hlf ndo uje ucommentHakuna dini ya haki inayochinja watu kama mbuzi.
hawana hoja hawa ety picha za michoro [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mwezi uliopita huko Pakistan,hawana hoja hawa ety picha za michoro [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
That is not how it works, mwenye madai ya kua jambo fulani lipo ndio mwenye wajibu wa kuthibitisha.Kwanini unarudia swali ambalo nimeshalijibu ? Unapenda kupoteza muda au kupotezea watu muda ?
Yeye ndiyo atapaswa kututhibitishia ya kuwa hakuna uchawi na atapaswa kututhibitishia ya kuwa uchawi ni hadithi za watu wasio na umakini wa kutafuta vyanzo halisi vya vitu.
Kuhusu kuhakikisha huu ni uchawi na si vinginevyo nimeshatoa muongozo na humu ndani niliwahi kugusia.
Ndo mna mnaamini kumbe hamjui sbr sasa nikufundisheMwezi uliopita huko Pikistan,
mtu kauwawa kwa kupigwa na kumwa moto kwa kutamka kuwa hamwamini Mtume wenu Muhammadi.
Matukio ya kuchinjwa kwa kuto kubaliana na Muhammadi Uislamu ni mengi sana na yanaendelea kutokea kila kukicha.
Salmin Rushdie badala ya kumjibu kwa hoja yake amehukumiwa Kuchinjwa popote atakapotiwa mbaroni na Waislamu.
Dini yenu ni Mashaka matupu, mtu akiihoji tu kinyume na mnavyotaka ahoji, bila ulinzi ni lazima mumchinjwe.
But Why ?
Lucifer hawezi kuwa na sifa ya UMUNGU.
Mungu hakuumbwa , Lucifer ameumbwa.
Mungu ameumba viumbe Lucifer hakuumba kiumbe chochote.
Mkuu nadhani kuna point ambayo mnapishana na jamaa hapo, nimefatilia mjadala wenu vizuri na mimi nilikua na machache ambayo ningependa kushareTatizo lako mkuu unabisha tu makusudi kwakua unaona labda wengine hatujafikia literacy level yako ndio unatunyanyasa kwa points zako lakini moyoni unaelewa kabisa kuna mambo sio ya kubishana. Kwaio hauamini kama duniani kuna ulozi (nguvu za Giza)?
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Ndo mna mnaamini kumbe hamjui sbr sasa nikufundishe
Kuna watu wameuvamia Uislamu ili wauchafue mfno hao unosema huko pakistan ayo makundi yte hyo wanojiita makundi ya jihad like IS,boko haram yte hyo hayamo ktka mafundisho ya kiislamu bali ni watu walopnga njama ili Uislamu uonekane uko ivo lkn si kweli
Kma hujafahamu nambie
Umetumia kanuni gani kusema hili ? Atatakiwa yeye athibitishe pindi atakapo ombwa ithibati kabla ya muombaji ithibati hajakanusha.That is not how it works, mwenye madai ya kua jambo fulani lipo ndio mwenye wajibu wa kuthibitisha.
Sasa nani alikwambia kila chenye ithibati kinapimwa na hatua za kisayansi ? Sayansi dhaifu sana hapa tunaongelea uhalisia siyo ngano na visasili vya Sayansi. Kanuni za mjadala zinataka uhalisia.Scientifically you can not prove a negative, na ndio maana kuna burden of proof which lays on your side
Ndo umemaanisha nn baada ya copy na paste zako?
- I have been given superiority over the other prophets in six respects: I have been given words which are concise but comprehensive in meaning; I have been helped by terror (in the hearts of enemies):......Sahih Muslim 523a
- Koran 5.33 The punishment of those who wage war against Allah and Muhammad and strive to make mischief in the land is only this, that they should be murdered or crucified or their hands and their feet should be cut off on opposite sides or they should be imprisoned;
Sijui shida iko wapi ? Kwenye uzi huu unakumbuka nilipi kuquote kwa mara ya kwanza ? Sasa ungekuwa makini ungekuwa usharejea na sasa hivi tungekuwa tuna jadili majibu yangu sababu ni muogoa unaendelea kupoteza muda kwenye hakuna.Hii ndiyo tofauti yangu mimi na wewe.
Mimi nakwenda kwa hesabu, namba, kitu kinachohakikika.
Marejeo hufanywa kwa njia nyingi siyo namba tu hat anuani ya mada au wapi pa kupata mada hiyo. Shida iko wapi ?Ukisema post namba fulani hilo hal8na ubishi.
Hata hili nililolisema kadhalika akifatilia ataona kirahisi,ndiyo maana nikasema urejee kule ambapo nimeku quote kwa mara ya kwanza kwenye uzi huu.Kila mtu anayefustilia mjadala ataona kirahisi kabisa hii ni post namba fulani.
Tatizo lingine hili.Wewe hujui kuhesabu.
Kwa Kiswahili maana yake nini ? Nipate kuelewa. Msaada tafadhali.You are innumerate.
Innumerate.
Nikusaidie lugha kidogoNdo umemaanisha nn baada ya copy na paste zako?
Muhammad ndie mbora wa viumbe wote duniani sio kwa mitume tuuNikusaidie lugha kidogo
Muhammad anasema yeye ni zaidi ya mitume yani anajiita superior (mkuu kuliko wote) na Allah amempa mambo sita , moja ya mambo alitompa ni kushinda adui zake kwa ugaidi
Hapa allah anasema adhabu ya wale wanaompinga Muhammad na Allah ni kuuliwa ,au kusulubiwa au kukatwa mikono na miguu au kuwekwa gerezani
- I have been given superiority over the other prophets in six respects: I have been given words which are concise but comprehensive in meaning; I have been helped by terror (in the hearts of enemies):......Sahih Muslim 523a
- Koran 5.33 The punishment of those who wage war against Allah and Muhammad and strive to make mischief in the land is only this, that they should be murdered or crucified or their hands and their feet should be cut off on opposite sides or they should be imprisoned;
Kwa nini tuende kwa kubahatisha kwa kutumia kumbukumbu zangu, ambazo hazina uthibitisho kwamba zitakuwa sahihi, wakati posts zina namba?Sijui shida iko wapi ? Kwenye uzi huu unakumbuka nilipi kuquote kwa mara ya kwanza ? Sasa ungekuwa makini ungekuwa usharejea na sasa hivi tungekuwa tuna jadili majibu yangu sababu ni muogoa unaendelea kupoteza muda kwenye hakuna.
Marejeo hufanywa kwa njia nyingi siyo namba tu hat anuani ya mada au wapi pa kupata mada hiyo. Shida iko wapi ?
Hata hili nililolisema kadhalika akifatilia ataona kirahisi,ndiyo maana nikasema urejee kule ambapo nimeku quote kwa mara ya kwanza kwenye uzi huu.
Tatizo lingine hili.
Kwa Kiswahili maana yake nini ? Nipate kuelewa. Msaada tafadhali.
hlf Qur'an haitafsiriwi na aya moja wala hadithi moja tuulize sisi waislamu wenyewe sio unaleta aya unayoona inakufavour ww tuuNikusaidie lugha kidogo
Muhammad anasema yeye ni zaidi ya mitume yani anajiita superior (mkuu kuliko wote) na Allah amempa mambo sita , moja ya mambo alitompa ni kushinda adui zake kwa ugaidi
Hapa allah anasema adhabu ya wale wanaompinga Muhammad na Allah ni kuuliwa ,au kusulubiwa au kukatwa mikono na miguu au kuwekwa gerezani
- I have been given superiority over the other prophets in six respects: I have been given words which are concise but comprehensive in meaning; I have been helped by terror (in the hearts of enemies):......Sahih Muslim 523a
- Koran 5.33 The punishment of those who wage war against Allah and Muhammad and strive to make mischief in the land is only this, that they should be murdered or crucified or their hands and their feet should be cut off on opposite sides or they should be imprisoned;
Hakuna kubahatisha ndiyo maana nikaainisha kabisa.Kwa nini tuende kwa kubahatisha kwa kutumia kumbukumbu zangu, ambazo hazina uthibitisho kwamba zitakuwa sahihi, wakati posts zina namba?
Na elewa na ndiyo maana kuna namna kadha wa kadha za kurejea.Wewe unaelewa kwa nini posts zina namba?
Rejea pale kwa mara ya kwanza nilipo kuquote katika uzi huu.Hiyo post ni namba ngapi?