Wasio muamini Allah na alkhera ni watenda dhambi au sio watenda dhambi27:4Kwa hakika wale wasioiamini akhera tumewapambia vitendo vyao,kwa hivyo wanatangatanga ovyo.
UFAFANUZI WANGU:
Kuna watu hawaamini kuwa Mungu yupo,lakini ni wazma wa afya,wanakula,wanalala vizuri.
Kwa mawazo yako wangedhani Mungu angewapa adhabu wakiwa hapa duniani.
Ndo Mungu anasema tumewapambia vitendo vyao hivyo wanatanga tanga.
Yaani wao kutokuamini kwao Mungu wanaona wako sahihi kumbe wanakosea.View attachment 2037731