Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Aya ya 7
Kumrudia Mungu Allah
Hilo hapana aisee.
Mungu wa Wapagani wa Kiarabu kabla ya Muhammadi.
Hilo ni Big No.

Sisi tuna mtiririko wa Mitume wetu tuka enzi za torati na walitabiriwa kabla.
Jina la Muhammadi halipo kabisa.
Huyo Allah ni Mungu wenu.
Na Muhammadi ni Mtume wenu.

Basi na tukubaliane hivyo.
Screenshot_20211209-122405.jpg
 
Naam ni katika uchawi. Na uchawi watu husomea.
Karata tatu ni uchawi.

Nasikitika hatuwezi kuelewana kwa sababu nafikiri tunatofautiana pakubwa sana, hatuwezi kuelewana.

Hivyo mjadala huu uishe kwa kuelewana hivyo tu.

You are basically saying that a tricky sleight of hand is magic!

What's next? Mwanasiasa anayedanganya wapiga kura wamuamini wakamuamini na kumpa kura naye ni mchawi?
 
Yohana : 16 : 13 - Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake.
via OneLink.To

Muhamed ni roho wa kweli?
Hapo wanakubali ni Msaidizi wa Yesu.
Ila ni m'mbora kupita Yesu.
Yaani kamzidi Bosi wake.
Yaani Muhammadi katumwa na Yesu.
Halafu ndio Bosi.

Hao jamaa bila Uwongo dini yao haisimami kabisa.
Ni wanaongopa hatari sana.
Bila Uwongo hiyo dini huwezi kuielezea.
 
Yohana : 16 : 13 - Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake.
via OneLink.To

Muhamed ni roho wa kweli?
Bila Shaka.muhammad ndo yeye .
Maana HAKUNENA KWA MAPENZI YAKE.
Bali aliyokuwa akiyasikia kutoka kwa malaika jibril
 
Andiko linasema baba kama ume liweka alafu unalipinga , ulitakiwa ujenge mada yako kwenye kupinga andiko
uandiashi wa biblia NI ujanja ujanja mwingi.
huyo baba yake NI wa kambo au baba mdogo?
 
uandiashi wa biblia NI ujanja ujanja mwingi.
huyo baba yake NI wa kambo au baba mdogo?
Kwa nini umenukuu sehemu ambayo huamini? Acha mara moja


Alafu ngoja nikufundishe kidogo
Koran inasema hivi
Koran Sahih Intl 43:4 And indeed it is, in the Mother of the Book with Us, exalted and full of wisdom.

Koran kwa kawaida inawezaje kuwa mama wa vitabu , je ni mama wa kambo au mama mdogo
 
shida ya biblia NI waandishi wengi
Waandishi wengi na miaka tofauti ya uandishi ndio utamu wa vitabu ndani ya biblia kuna waandishi wamepishana miaka zaidi ya 1000 hapo ndio ujue Mungu anapo ongea Kwa nyakati tofauti, koran mtu mmoja kaandika ndani ya miaka kama 20 ila anaongea vitu vinapingana

Mfano anaruhusu umalaya allah anakuja muhammad anakataza ,unakua hujui kati ya allah na muhammad nani ana nguvu
 
Back
Top Bottom