Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
m sikujibu swali lko mpk unijibu maswali yanguHuyu alie fananishiwa alisulubiwa au la ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
m sikujibu swali lko mpk unijibu maswali yanguHuyu alie fananishiwa alisulubiwa au la ?
Pitia tena maoni yangu yale.ww c ndo ulosema israel wanamuamini Yesu au sivo?
hlf Mungu ety asulubiwe,auliwe kma yy mwnywe hajaweza kujilinda ataweza kukulindeni nyinyi
embu fikirieni vzr basi mambo mengine ata hayahitaji uwe na PHD ili kujua huu ni Uongo
Mimi ni jeshi la mtu mmoja , koran yote ipo kichwani , nikikwambi subiri nipo nakula bataSema mpk ukaombe msaada kwa wenzako mbona unaleta maandiko kila wakati humu saivi unajidai naangalia mpira [emoji1][emoji1][emoji1] we sema tuu huna ilo andiko na hutolipata kamwe kwenye Qur'an
Kwani Allah ni Muisraeli ?Sbr nikufundishe ww
Allah anasema hawajamsulubu wala hawajamuua
hlf sema tena Allah hajui habari ya kutosulubiwa kwa Issa ambae nyinyi mnamuita Yesu
Ushahidi huu hapa chiniView attachment 2038679
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Ushatizama izo video nilokwambia? kma hujatizama basi katizame kwanza hlf ndo uje tuongee tenaKwani Allah ni Muisraeli ?
Waisraeli ndugu wa Yesu wa damu wanasema hadi sasa kuwa walimsuribisha mwananchi mwenzao Yesu.
Hivi wewe habari za Yesu wa Israeli unazisikiliza toka wapi ?
Au unamzungumzia Issa raia wa Madina ?
Huna ulijualo ww fanya na bible iwepo kichwani basiMimi ni jeshi la mtu mmoja , koran yote ipo kichwani , nikikwambi subiri nipo nakula bata
Kwani Yesu ni kabila gani ?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Ushatizama izo video nilokwambia? kma hujatizama basi katizame kwanza hlf ndo uje tuongee tena
Ety muhammad ni nabii muongospensa_e,
Asante sana kwa kuwapa somo hao janja janja.
Mwezi uliopita kulikuwa na mjadala.
Wayahudi wanasema wanamfahamu Yesu Kristo kwakuwa ni ndugu yao na familia yake ipo mpaka hii leo.
Na walimtesa wakamsuribisha akafa, akafufuka siku ya tatu na akapaa mbinguni mbele ya macho yao.
Ndio maana wakaruhusu filamu ya maisha ya Yesu, na haki zote zipo juu yao.
Yaani huwezi kutengeneza filamu ya Maisha ya Yesu bila idhini yao usije ukaipotosha jamii.
Sasa wanashangaa anatokea Kiroja mmoja toka Uarabuni miaka 500 baadae na anakanusha hizo taarifa.
Na mamilioni ya watu wanamwamini.
Yaani kaongopa na anaaminiwa.
Wakasema kuwa Muhammadi ni tapeli tu.
Na kushauri kwamba kama kuna Mwislamu anataka kuthibitisha hiyo hoja aende Israeli kwenye vithibitisho vyote juu ya maisha ya Yesu Kristo na vipo hadi hii leo maana ndio chimbuko lake huko Israeli.
Wanasema Muhammadi ni Nabii mwongo zaidi kupata kutokea duniani.
Anayebisha anakaribishwa Israeli kwenda kuthitisha kauli ya uwongo ya Muhammadi na Allah.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ww si ulisema tuwaulize israel nikakupa fact kua hao israel unaowasema hawamjui uyo Yesu unomsema wwKwani Yesu ni kabila gani ?
Kama ni Mwarabu basi amini habari zake toka kwa Muhammadi Mwarabu mwenzake.
Hizo video hata wewe Mngindo unaweza kuziweka You Tube.
Uliweka andiko Yesu anamtuma Muhammadi kama msaidizi wakeEty muhammad ni nabii muongo
kma muongo watu wangesilimu na kuufuata Uislamu
hebu google the best Person in the world kma utamkuta Yesu
Ata hao makafiri wenu wanajua kua Muhammad kua ndio mtu bora duniani ww unabisha kwa hoja ipi kma sio chuki zako tuu
Wapi mm niliweka hilo andiko ebu nioneshe tena nioneshe sasa ivi kma ni kweli mm nimeweka hilo andikoUliweka andiko Yesu anamtuma Muhammadi kama msaidizi wake
Sasa hivi unakanusha tena.
Hivi mnalishawaga matango pori gani ?
kwaio umeshindwa kuthibitisha kua nimeweka hilo andikoUliweka andiko Yesu anamtuma Muhammadi kama msaidizi wake
Sasa hivi unakanusha tena.
Hivi mnalishawaga matango pori gani ?
Hivyo shahada ya kumkiri Muhammad kama mtume wa Allah in ndogo sio?Muhammad hakuwa mtume wa Kwanza katika uislam.
Kila mtume au nabii alikuwa na SHAHADA YAKE.
ILA SHAHADA KUBWA NI MUNGU MMOJA.
manabii na mitume wakubwa wapo 25.
Kuanzia Adam mpaka Muhammad.
let me make this clearHivyo shahada ya kumkiri Muhammad kama mtume wa Allah in ndogo sio?
Onyesha contradiction ya hilo swali.Hilo sio swali la msingi, kwasababu lina lay kwenye contradiction
Na ndio maana hata wewe huwezi kuthibitisha hapa kua mimi sio Mungu
Huwa nakwambia karibu kila mara tunapokutana kwenye mjadala kwenye kutoa mfano wewe ni dhaifu sana,mfano wa karata na mwana siasa ni mbali si kila triki ni uchawi,maana yake kisa mwanasiasa ni muongo basi ni mchawi,mwanasiasa ana walaghai watu lakinu habadilishi uhalisia tofauti na mchawi.What's next? Mwanasiasa anayedanganya wapiga kura wamuamini wakamuamini na kumpa kura naye ni mchawi?
Kupitia hoja hiiOnyesha contradiction ya hilo swali.
Hakuna Contrstidiction hapo sababu kuna kukiri na kukanusha,hapo nitakuuliza Mungu ni nani na anasifa gani mpaka ujinasibu kuwa wewe ni Mungu ?Kupitia hoja hii
Unaweza kuthibitisha mimi sio Mungu?