mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Wapi Muhammad karuhusu umalaya?Waandishi wengi na miaka tofauti ya uandishi ndio utamu wa vitabu ndani ya biblia kuna waandishi wamepishana miaka zaidi ya 1000 hapo ndio ujue Mungu anapo ongea Kwa nyakati tofauti, koran mtu mmoja kaandika ndani ya miaka kama 20 ila anaongea vitu vinapingana
Mfano anaruhusu umalaya allah anakuja muhammad anakataza ,unakua hujui kati ya allah na muhammad nani ana nguvu