Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Unawababua sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kila wakigeuka unawapopoa
Na nabii Adam alishuhudia kwa Mtume yupi?Kila mtume alikua akitumwa shahada yke inakua hivi
Ash'hadu An la ilaha illa llahu waana Ilyasa rasulu llahi
hii nimetolea mfano wa mtume ilyasa na ndo ivo ivo kwa mitume wengine
Mfano kuna njia ubongo unatuma signal kwa nerves kutotuma signanls especial pain signals so mtu hawezi sikia mauvivu . Na bado ubongo can overjack itself maana bado binadamu hatuelewi hata 20% ya ubongo unavyofanya kazi . Sasa kama ubungo umejivuruga ksa muda mchache na umeshutdown senses je tofauti ipoje na mtu anayesadikiwa amepandwa na pepo.Enlighten me mkuu
Umesha soma? Nimeweka Muhammad alikuwa anawaruhusu kuchukua demu siku tatu alafu unamlipa , unaweza kumuacha na kuchukua mwingine au unaweza endelea naeWapi Muhammad karuhusu umalaya?
Adam ivo ivo mna na yy alikua mtumeNa nabii Adam alishuhudia kwa Mtume yupi?
Umesha muelewa Muhammad alipo ruhusu umalaya , Yani anasema chukua mwanamke Kaa nae usiku 3 mlipe ukimaliza haja zako , tofauti na leo wazinzi wanapiga masaaa na wanalipa hawamfuati muhammad kabisaAdam ivo ivo mna na yy alikua mtume
Sasa alishuhudia kuwa yupo Mungu mmoja na Mtume wake ni yupi?Adam ivo ivo mna na yy alikua mtume
Sasa alishuhudia kuwa yupo Mungu mmoja na Mtume wake ni yupi?Adam ivo ivo mna na yy alikua mtume
Nimekwambia Adam alikua ndo mtume mwnywe na ndo mtume wa mwanzo kushushwaSasa alishuhudia kuwa yupo Mungu mmoja na Mtume wake ni yupi?
Sasa mbona hapo juu katika post #998 umekubali karata tatu ni uchawi?Huwa nakwambia karibu kila mara tunapokutana kwenye mjadala kwenye kutoa mfano wewe ni dhaifu sana,mfano wa karata na mwana siasa ni mbali si kila triki ni uchawi,maana yake kisa mwanasiasa ni muongo basi ni mchawi,mwanasiasa ana walaghai watu lakinu habadilishi uhalisia tofauti na mchawi.
Wapi nimepinga ? Nimepinga ufyongo wa mfano wako ambao hauna uhusiano,umetolea mfano wa Mwanasiasa. Hivi huwa unasoma ninacho kiandika ?Sasa mbona hapo juu katika post #998 umekubali karata tatu ni uchawi?
Hapa unaenda mbele wewe sababu ninachokiandika wewe unaenda nacho kinyume.Unaelewa kama unakwenda mbele au unarudi nyuma wewe?
Tena kwa kufikiri kwa usahihi na kuhoji kadhalika.Unajua kusoma kwa ufahamu wewe?
Post #991 KirangaWapi nimepinga ? Nimepinga ufyongo wa mfano wako ambao hauna uhusiano,umetolea mfano wa Mwanasiasa. Hivi huwa unasoma ninacho kiandika ?
Hapa unaenda mbele wewe sababu ninachokiandika wewe unaenda nacho kinyume.
Tena kwa kufikiri kwa usahihi na kuhoji kadhalika.
Kweli hauko makini,unapenda kurudia mambi ambayo nimeshayajibu.Post #998 Mubarridi
Naam ni katika uchawi. Na uchawi watu husomea.
Karata tatu ni uchawi au si uchawi?
Post #1078Kweli hauko makini,unapenda kurudia mambi ambayo nimeshayajibu.
Rejea post hiyo hiyo ya #998. Nilikujibu hilo swali.
Unakubali ya kuwa post #998 ilikuja baada ya wewe kutaka kujua je karata tatu ni uchawi au si uchawi ?Post #1078
Mubarridi
"Huwa nakwambia karibu kila mara tunapokutana kwenye mjadala kwenye kutoa mfano wewe ni dhaifu sana,mfano wa karata na mwana siasa ni mbali si kila triki ni uchawi,maana yake kisa mwanasiasa ni muongo basi ni mchawi,mwanasiasa ana walaghai watu lakinu habadilishi uhalisia tofauti na mchawi."
Post #998 unakubali karata tatu ni uchawi, post # 1078 unasema mfano wa mwanasiasa na karata tatu ni mbali si kila triki ni uchawi.
Unaji contradict.
Kudanganya watu kwa karata katika mchezo wa karata tatu ni uchawi au si uchawi?Unakubali ya kuwa post #998 ilikuja baada ya wewe kutaka kujua je karata tatu ni uchawi au si uchawi ?
Kisha nikafatisha maelezo ya kina juua ya mfano wako.
Hakuna sehemu niliyo ji contradict. Mimi nakosoa mfano wako wa Mwanasiasa ndiyo maana nikakwambia si kila ghishi ni uchawi. Mwanasiasa ana baki kuwa muongo ila habadilisho dhati ya kitu.
Uchawi upo wa aina kuu mbili na mmoja wapo unazaa matawi ambapo humo kunaingia mazingaombwe na mfano wa hayo.
Hili unataka nikujibu mara ngapi ? Soma post namba 998.Kudanganya watu kwa karata katika mchezo wa karata tatu ni uchawi au si uchawi?
Watakuwa wamefuta.Umesha soma? Nimeweka Muhammad alikuwa anawaruhusu kuchukua demu siku tatu alafu unamlipa , unaweza kumuacha na kuchukua mwingine au unaweza endelea nae
Adam alikuwa Mtume wa akina nani? Alitumwa kwaajili ya umma upi?Nimekwambia Adam alikua ndo mtume mwnywe na ndo mtume wa mwanzo kushushwa