mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Shida mikono ya waandishi.Hlf ety wanasema Qur'an inaamrisha uzinifu wakati biblia yao ipo wazi kwa kumsingizia mtume wa Mungu kua kazini na watoto wake
Embu nyie wakristo fungukeni akili izo acheni kupotoshwa
katika Uislamu mitume wote wamekingwa kutokufanya Maasi lkn bible inakwambia Mitume wanazini inahuzunisha sanaaa
Sio waandishi tatizo wakristo walivoona agano la kale linawabana Sana ndo wakairenew bible na kuweka mambo yanayowafavour wao lkn bdo kuna mikanganyiko mingi tuu ata ilo agano jipyaShida mikono ya waandishi.
Ila Mimi agano la kale nalikubali Sana.kuna story uwa nazisoma uwa zinanifurahisha Sanaa.
Wela ushahidi usilete story za vijiweni hapa unaongea unaweka na rejeaSio waandishi tatizo wakristo walivoona agano la kale linawabana Sana ndo wakairenew bible na kuweka mambo yanayowafavour wao lkn bdo kuna mikanganyiko mingi tuu ata ilo agano jipya
We umeona wapi ety matamanio ya kiongozi mmoja antka kuweka kipengele cha kuruhusu Ushoga yni iyo dini yao ni full kuiendesha kwa matamanio yao
Sio wanasema , nimekuwekea mpaka rejea ya Hadith maneno ya muhammad mwenyewe , sasa unataka kumpingaHlf ety wanasema Qur'an inaamrisha uzinifu wakati biblia yao ipo wazi kwa kumsingizia mtume wa Mungu kua kazini na watoto wake
Embu nyie wakristo fungukeni akili izo acheni kupotoshwa
katika Uislamu mitume wote wamekingwa kutokufanya Maasi lkn bible inakwambia Mitume wanazini inahuzunisha sanaaa
Hiyo ni dhambi imefanyika , sio yeye tu ata daudi alichukua mke wa mtu , Suleiman alioa wake wengi , Musa aliua mtu na yote Mungu alichukuziwa nayo na wengine walipata mapigo makali,Nabii hawezi kuzinj na watoto wake
Wala hawezi kulewa
na wewe unaamini luti alizini na watoto wake?Hiyo ni dhambi imefanyika , sio yeye tu ata daudi alichukua mke wa mtu , Suleiman alioa wake wengi , Musa aliua mtu na yote Mungu alichukuziwa nayo na wengine walipata mapigo makali,
Tofauti na ukutane na Allah anatunga verse kabisa ya kusapoti Muhammad achukue mke wa mtoto wake alale na house girl, mwisho akamalizia akasema mwanamke yoyote aende kwa Muhammad akajitoe bure
Kasome kisa kizima , ILI ujue nini kilitokeana wewe unaamini luti alizini na watoto wake?
suala la kusema watu wote walikufa kwenye sodoma na gomora sio kweli.Kasome kisa kizima , ILI ujue nini kilitokea
Tumeshamaliza hilo turudi kwa Allah kwa nini alikuwa kila dhambi akifanya Muhammad anashusha verse kabisa kumsapotisuala la kusema watu wote walikufa kwenye sodoma na gomora sio kweli.
Maana Kama wanawake walikuwepo wengi tu.
Suala la kujitetea kwa biblia kuwa walimuhifadhia baba yao uzao NI ujanja ujanja.
na kipindi hicho alikuwepo Ibrahim na watu wake .kulikuwa na wanawake
mjingamimi ALLAH YEYE ANARUHUSU KWA VERSE KABISAHlf ety wanasema Qur'an inaamrisha uzinifu wakati biblia yao ipo wazi kwa kumsingizia mtume wa Mungu kua kazini na watoto wake
Embu nyie wakristo fungukeni akili izo acheni kupotoshwa
katika Uislamu mitume wote wamekingwa kutokufanya Maasi lkn bible inakwambia Mitume wanazini inahuzunisha sanaaa
Kama dhambi ipiTumeshamaliza hilo turudi kwa Allah kwa nini alikuwa kila dhambi akifanya Muhammad anashusha verse kabisa kumsapoti
Ya kulala na house girlKama dhambi ipi
Nabii Daudi alipofanya dhambi kwa kupora Mke wa mtu Mungu alimwonya na Kumwadhibu.Ya kulala na house girl
NDIO maana umeona ameamua kukaa kimya , Yani Kuna tofauti kubwa sana ya Mungu na Allah , Allah yeye alijikita kwenye matamanio ya muhammad mpaka akigombana na mke tu Allah anashusha Aya kuwatisha wanawake na kuwaambia atampata Muhammad wake wengineNabii Daudi alipofanya dhambi kwa kupora Mke wa mtu Mungu alimwonya na Kumwadhibu.
Muhammadi alipopora Mke wa Mwanawe wa kufikia Allah akashusaha Aya ya kumhalarisha kabisa.
Hii ndiyo tofauti kati ya Manabii wa Mungu halisi na wa Mungu feki.
Allah hakuishia tu hapo kumgombeza Muhammad kwa nini anataka kuacha kula beki tatuNabii Daudi alipofanya dhambi kwa kupora Mke wa mtu Mungu alimwonya na Kumwadhibu.
Muhammadi alipopora Mke wa Mwanawe wa kufikia Allah akashusaha Aya ya kumhalarisha kabisa.
Hii ndiyo tofauti kati ya Manabii wa Mungu halisi na wa Mungu feki.
Sodoma na gomora ilikuwa ni volcano erruption,,,suala la kusema watu wote walikufa kwenye sodoma na gomora sio kweli.
Maana Kama wanawake walikuwepo wengi tu.
Suala la kujitetea kwa biblia kuwa walimuhifadhia baba yao uzao NI ujanja ujanja.
na kipindi hicho alikuwepo Ibrahim na watu wake .kulikuwa na wanawake
Mafuriko bila mvua?.Sodoma na gomora ilikuwa ni volcano erruption,,,
Ila waandishi wa zamani kila kitu walikuwa wanarelate kwa miungu yao, Noah flood ilikuwa mafuriko ya mto frat,,,
Weka AyaYa kulala na house girl
Ndio Maana Allah anasema Muhammadi ni m'mbora kupita Waislamu wote.Allah hakuishia tu hapo kumgombeza Muhammad kwa nini anataka kuacha kula beki tatu
Akashusha Aya tena ya kusema Kam Hafsa na Aisha wataendelea kumletea noma Muhammad Allah ,jibril, Malaika wote mpaka waumini wataingilia kumsaidia Muhammad dhidi ya wanawake hao wawili
Koran 66:4. Kama nyinyi wawili hamkutubia kwa Mwenyezi Mungu, basi nyoyo zenu zimekwisha elekea huko. Na mkisaidiana dhidi yake muhammad, basi hakika Allah ndiye kipenzi chake, na Jibrili, na Waumini wema, na zaidi ya hayo Malaika pia watasaidia.
Soma post namba 1171Weka Aya