Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Hlf ety wanasema Qur'an inaamrisha uzinifu wakati biblia yao ipo wazi kwa kumsingizia mtume wa Mungu kua kazini na watoto wake
Embu nyie wakristo fungukeni akili izo acheni kupotoshwa

katika Uislamu mitume wote wamekingwa kutokufanya Maasi lkn bible inakwambia Mitume wanazini inahuzunisha sanaaa
Shida mikono ya waandishi.
Ila Mimi agano la kale nalikubali Sana.kuna story uwa nazisoma uwa zinanifurahisha Sanaa.
 
Sio waandishi tatizo wakristo walivoona agano la kale linawabana Sana ndo wakairenew bible na kuweka mambo yanayowafavour wao lkn bdo kuna mikanganyiko mingi tuu ata ilo agano jipya

We umeona wapi ety matamanio ya kiongozi mmoja antka kuweka kipengele cha kuruhusu Ushoga yni iyo dini yao ni full kuiendesha kwa matamanio yao
 
Wela ushahidi usilete story za vijiweni hapa unaongea unaweka na rejea
 
Hlf ety wanasema Qur'an inaamrisha uzinifu wakati biblia yao ipo wazi kwa kumsingizia mtume wa Mungu kua kazini na watoto wake
Embu nyie wakristo fungukeni akili izo acheni kupotoshwa

katika Uislamu mitume wote wamekingwa kutokufanya Maasi lkn bible inakwambia Mitume wanazini inahuzunisha sanaaa
Sio wanasema , nimekuwekea mpaka rejea ya Hadith maneno ya muhammad mwenyewe , sasa unataka kumpinga
 
Nabii hawezi kuzinj na watoto wake
Wala hawezi kulewa
Hiyo ni dhambi imefanyika , sio yeye tu ata daudi alichukua mke wa mtu , Suleiman alioa wake wengi , Musa aliua mtu na yote Mungu alichukuziwa nayo na wengine walipata mapigo makali,

Tofauti na ukutane na Allah anatunga verse kabisa ya kusapoti Muhammad achukue mke wa mtoto wake alale na house girl, mwisho akamalizia akasema mwanamke yoyote aende kwa Muhammad akajitoe bure
 
na wewe unaamini luti alizini na watoto wake?
 
Kasome kisa kizima , ILI ujue nini kilitokea
suala la kusema watu wote walikufa kwenye sodoma na gomora sio kweli.
Maana Kama wanawake walikuwepo wengi tu.
Suala la kujitetea kwa biblia kuwa walimuhifadhia baba yao uzao NI ujanja ujanja.
na kipindi hicho alikuwepo Ibrahim na watu wake .kulikuwa na wanawake
 
Tumeshamaliza hilo turudi kwa Allah kwa nini alikuwa kila dhambi akifanya Muhammad anashusha verse kabisa kumsapoti
 
Hlf ety wanasema Qur'an inaamrisha uzinifu wakati biblia yao ipo wazi kwa kumsingizia mtume wa Mungu kua kazini na watoto wake
Embu nyie wakristo fungukeni akili izo acheni kupotoshwa

katika Uislamu mitume wote wamekingwa kutokufanya Maasi lkn bible inakwambia Mitume wanazini inahuzunisha sanaaa
mjingamimi ALLAH YEYE ANARUHUSU KWA VERSE KABISA

Kisa kilianza hivi, Muhammad alikuwa anatembea na house girl anaitwa maria mke wake Hafsa akamkamata kwenye kitanda chake akiwa anajipigia , Muhammad akasema harudii tena , Allah akaja akamkanya aka Shusha verse akamruhusu na akamwambia kwa nini unakataza kula House girl na Mimi nilikuruhusu

It was narrated from Anas, that the Messenger of Allah had a female slave with whom he had intercourse, but 'Aishah and Hafsah would not leave him alone until he said that she was forbidden for him. Then Allah, the Mighty and Sublime, revealed:
"O Prophet! Why do you forbid (for yourself) that which Allah has allowed to you.' until the end of the Verse. Sunan an-Nasa'i 3959

Koran 66:1 Tafsiri Al- Jalalayn
O Prophet! Why do you prohibit what God has made lawful for you in terms of your Coptic handmaiden Māriya — when he lay with her in the house of Hafsa who had been away but who upon returning and finding out became upset by the fact that this had taken place in her own house and on her own bed — by saying ‘She is unlawful for me!’ seeking by making her unlawful for you to please your wives? And God is Forgiving Merciful having forgiven you this prohibition.
 
Ya kulala na house girl
Nabii Daudi alipofanya dhambi kwa kupora Mke wa mtu Mungu alimwonya na Kumwadhibu.
Muhammadi alipopora Mke wa Mwanawe wa kufikia Allah akashusaha Aya ya kumhalarisha kabisa.
Hii ndiyo tofauti kati ya Manabii wa Mungu halisi na wa Mungu feki.
 
NDIO maana umeona ameamua kukaa kimya , Yani Kuna tofauti kubwa sana ya Mungu na Allah , Allah yeye alijikita kwenye matamanio ya muhammad mpaka akigombana na mke tu Allah anashusha Aya kuwatisha wanawake na kuwaambia atampata Muhammad wake wengine
 
Nabii Daudi alipofanya dhambi kwa kupora Mke wa mtu Mungu alimwonya na Kumwadhibu.
Muhammadi alipopora Mke wa Mwanawe wa kufikia Allah akashusaha Aya ya kumhalarisha kabisa.
Hii ndiyo tofauti kati ya Manabii wa Mungu halisi na wa Mungu feki.
Allah hakuishia tu hapo kumgombeza Muhammad kwa nini anataka kuacha kula beki tatu
Akashusha Aya tena ya kusema Kam Hafsa na Aisha wataendelea kumletea noma Muhammad Allah ,jibril, Malaika wote mpaka waumini wataingilia kumsaidia Muhammad dhidi ya wanawake hao wawili

Koran 66:4. Kama nyinyi wawili hamkutubia kwa Mwenyezi Mungu, basi nyoyo zenu zimekwisha elekea huko. Na mkisaidiana dhidi yake muhammad, basi hakika Allah ndiye kipenzi chake, na Jibrili, na Waumini wema, na zaidi ya hayo Malaika pia watasaidia.
 
suala la kusema watu wote walikufa kwenye sodoma na gomora sio kweli.
Maana Kama wanawake walikuwepo wengi tu.
Suala la kujitetea kwa biblia kuwa walimuhifadhia baba yao uzao NI ujanja ujanja.
na kipindi hicho alikuwepo Ibrahim na watu wake .kulikuwa na wanawake
Sodoma na gomora ilikuwa ni volcano erruption,,,
Ila waandishi wa zamani kila kitu walikuwa wanarelate kwa miungu yao, Noah flood ilikuwa mafuriko ya mto frat,,,
 
Mafuriko bila mvua?.
unajua kuwa upinde wa mvua NI ahadi ya MUNGU?
Screenshot_20211205-140017.jpg
 
Allah hakuishia tu hapo kumgombeza Muhammad kwa nini anataka kuacha kula beki tatu
Akashusha Aya tena ya kusema Kam Hafsa na Aisha wataendelea kumletea noma Muhammad Allah ,jibril, Malaika wote mpaka waumini wataingilia kumsaidia Muhammad dhidi ya wanawake hao wawili

Koran 66:4. Kama nyinyi wawili hamkutubia kwa Mwenyezi Mungu, basi nyoyo zenu zimekwisha elekea huko. Na mkisaidiana dhidi yake muhammad, basi hakika Allah ndiye kipenzi chake, na Jibrili, na Waumini wema, na zaidi ya hayo Malaika pia watasaidia.
Ndio Maana Allah anasema Muhammadi ni m'mbora kupita Waislamu wote.
Kwakuwa Allah, Muhammadi na Jibriru wote lao moja.

Mi binafsi sijaona fundisho lolote Jipya la maana ambalo hao watatu wamelisema.
Hivyo ujio wa Muhammadi sijaona chochote cha maana alicho kiongeza ambacho Manabii wa Kweli hawakuwahi kusema.

Labda kama lipo fundisho la maana na jipya liwekwe humu mimi nitaslimu.

Kipya cha Muhammadi ni kile cha kuwaambia Waislamu kwamba dini yao ni mali ya Majini.
Kipya kisichokuwa na maana ni kuwakaribisha Majini misikitini.

Jambo ambalo ni uovu kwa Mungu wa kweli.
 
Back
Top Bottom