mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Shida mikono ya waandishi.Hlf ety wanasema Qur'an inaamrisha uzinifu wakati biblia yao ipo wazi kwa kumsingizia mtume wa Mungu kua kazini na watoto wake
Embu nyie wakristo fungukeni akili izo acheni kupotoshwa
katika Uislamu mitume wote wamekingwa kutokufanya Maasi lkn bible inakwambia Mitume wanazini inahuzunisha sanaaa
Ila Mimi agano la kale nalikubali Sana.kuna story uwa nazisoma uwa zinanifurahisha Sanaa.