Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Naona unanipotezea muda,soma matini ya Kiarabu na hiyo aya haionyeshi mambo ya mke ndiyo maana mwanzo nilikuwekea aya ya 16 na 18 ili ujue kinakusudiwa nini. Sasa sababu mmekaa kupotosha na kuzusha,hapa huo mlango umefungwa

Huwezi kusema source ya kuaminika huku hujarejea katika kitabu chenyewe cha asili. Ndiyo mtumbie haya umeyaoata wapi,maana kwenye kitabu cha asili hakuna haya.
 
Hii matini ya kiswahili umetoa wapi Weka uthibitisho , Mimi nimekuwekea link ambayo kila mtu anaweza ingia na kusoma na KUONA source yake
 
Weka maelezo ya scholar nilio wataja kwa lugha yake ya asili na uniwekee na authentic link ILI nikumalize naona unakuwa kichwa ngumu

Stupidity is amazing
 
Hapa utasema yote kijana,onyesha source ya Kiarabu yenye haya uliyo yaweka wewe. Au unafikiri matini ya Koarabu haipo au hatuwajui waandishi wa hiyo Tafsiri ?

Hujaona nimekuwekea Haashiya ya Tafsiri ya Jalalayn huko nyuma ?

Huko mbali ila aya yenyewe iko wazi inaongelea uumbaji wewe unaleta habari za mke na mtoto...?

Hapo bado sijarudi kwenye Tafsiri ya Ibn Abbasnl.

Usicho kijua ni kuwa najua nyinyi si watu wa kusoma,mnaokoteza mitandaoni pasi na kuhakiki.

Hatulei ujinga.
 
Hii matini ya kiswahili umetoa wapi Weka uthibitisho , Mimi nimekuwekea link ambayo kila mtu anaweza ingia na kusoma na KUONA source yake
Rejea tarjama ya Qur'aan ya Sheikh Ali Muhsin Barwan ambayo asili yake ni kitabu kiitwacho "al Muntakhabat....".
 
Ndio maana nakwambia kuna mda kichwa chako kinafyetuka , yani umeingia kwenye link alafu unaniuliza Mimi maneno nimetatoa wapi 😆😆🙌 huu ujinga wako umepita maelezo
 
Weka maelezo ya scholar nilio wataja kwa lugha yake ya asili na uniwekee na authentic link ILI nikumalize naona unakuwa kichwa ngumu

Stupidity is amazing
Hujaona kitabu nilichokuwekea huko nyuma ?
 
Unapo ambiwa Injili ya Issa si kwa maana yake bali alipewa na Mola wake kama muongozo,na ukisema Qur'aan ya Muhammad kwa maana ya kupewa kitabu haina shida.
Kwahiyo tunakubaliana hakuna kitu kwenye Quran kinachoitwa injili ya Issa?
 
Ndio maana nakwambia kuna mda kichwa chako kinafyetuka , yani umeingia kwenye link alafu unaniuliza Mimi maneno nimetatoa wapi 😆😆🙌 huu ujinga wako umepita maelezo
Safi kabisa,ndiyo maana nikakuuliza kigezo gani umetumia kuyajengea hoja haya maneno ? Hujaona hilo ?

Lakini matini ya aya kwa kiarabu huyasomi ? Hii inaonyesha wazi ya kuwa Kiarabu hukijui ? Vipi unajadili mambo usiyo ya jua ?
 
Rejea tarjama ya Qur'aan ya Sheikh Ali Muhsin Barwan ambayo asili yake ni kitabu kiitwacho "al Muntakhabat....".
Leta maelezo halisi Al- Jalalayn na Ibn Abas Weka Link tusome maana siku hizi vitabu vingi vipo on-line hakuna kusema nikatafute makaratasi
 
Ni wapi umeweka maelezo ya Al jalalayn
 
Safi kabisa,ndiyo maana nikakuuliza kigezo gani umetumia kuyajengea hoja haya maneno ? Hujaona hilo ?

Lakini matini ya aya kwa kiarabu huyasomi ? Hii inaonyesha wazi ya kuwa Kiarabu hukijui ? Vipi unajadili mambo usiyo ya jua ?
Mwisho wa siku ubakimbiliaga kiharabu ukiona umebanwa , Weka Link ya maelezo ya Al jalalayn nasubiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…