Naona unanipotezea muda,soma matini ya Kiarabu na hiyo aya haionyeshi mambo ya mke ndiyo maana mwanzo nilikuwekea aya ya 16 na 18 ili ujue kinakusudiwa nini. Sasa sababu mmekaa kupotosha na kuzusha,hapa huo mlango umefungwaUnajua source nimeweka ni source inayoaminika duniani na nime prove kwamba Allah alisema akitaka mke au mtoto atachukua kutoka US
Turudi kwenye maswali yangu haya
- Kama yeye sio Hermaphrodite (Intersex) hiyo US ni kina nani?
- Koran ( 21:17) " Had We intended to take a pastime (i.e. a wife or a son, etc.), We could surely have taken it from Us.....
- scholar wemesema kwamba hiyo US maana yake ni Allah, Malaika na Ma houris wazuri wazuri
- Kwanini wewe unapingana nao na unasema hiyo US ni Allah mwenyewe je unataka kutuambia Allah ni Hermaphrodite?
Huwezi kusema source ya kuaminika huku hujarejea katika kitabu chenyewe cha asili. Ndiyo mtumbie haya umeyaoata wapi,maana kwenye kitabu cha asili hakuna haya.