Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

58:12 Enyi mlioamini mnapo semezana siri na Mtume basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.Hiyo ni Kheri kwenu na ni usafi zaidi.Na ikiwa hamkupata cha kutoa ,basi Mwenyezi Mungu ni mwenye kusamehe na mwenye kurehemu.

Unaswali jengine
 
Ndio point yangu kama huna umeambiwa uende ukashike sala , huwezi kumuona Muhammad na kuongea siri zako
Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Mtume, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.
Hujaelewa kama huna cha kutoa hutakua na deni na utaenda kusemezana na Mtume kisha usike sala na zaka.
 
Amesema ukishindwa basi shika sala na akasisitiza tena zaka, hakuna maali kasema unaweza kwenda kumuona muhammad bila zawadi
Hii aya ilipotamkwa na muhammad waislamu waligoma kwenda maana walikuwa hawana zawadi za kumpa ndipo allah akaleta hii
58:13. Mnachelea kutanguliza hiyo sadaka kabla ya kusemezana kwenu? Ikiwa hamkufanya hayo, na Mwenyezi Mungu akapokea toba yenu, basi shikeni Sala, na toeni Zaka, na mt'iini Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Na Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda.

kuna swali nimekuuliza huyu anae sema na mwenyezi mungu akapokea ni nani?
 
Hakuna sehemu pameandikwa zawadi ni sadaka .Lakini hii sadaqa halazimishwi kutoa asiyekua nacho kama huna unaenda kusemezana na mtume ndio maana pamesemwa "kama hamkupata cha kutoa basi M/Mungu ni msamehevu"maana yake M/Mungu kakusamehe juu ya hiyo sadaqa
 
Ni M/Mungu mwenyewe
 
Kwenye Qur_an M/Mungu ametumia nafsi ya kwanza umoja mfano kuna sehemu kasema hasa mimi pia katumia nafsi yakwaza wingi mfano sura israa aya ya tatu "Na tukampa Musa kitabu na tukakikafanya uongofu kwa waisraili .Tukamwambia msiwe na wa kumtegemea isipokua mimi
Na sehemu nyingine katumia nafsi ya tatu umoja(yeye)mfano ni hyo aya ya 58:12
 
Kwa nini allah akusamehe na huna? anakusamehe nini?
58:13. Mnachelea kutanguliza hiyo sadaka kabla ya kusemezana kwenu?
 
Kwenye Qur_an M/Mungu ametumia nafsi ya kwanza umoja mfano kuna sehemu kasema hasa mimi pia katumia nafsi yakwaza wingi mfano sura israa aya ya tatu "Na tukampa Musa kitabu na tukakikafanya uongofu kwa waisraili .Tukamwambia msiwe na wa kumtegemea isipokua mimi
Na sehemu nyingine katumia nafsi ya tatu umoja(yeye)mfano ni hyo aya ya 58:12
Kuna kitu kinaitwa
1st person - yani Mimi au sisi
3rd person -kuongelea mtu mwingine ambae sio wewe, yani wao, yeye ,yakwao n.k

Hapa allah anaongea moja kwa moja na anatumia 3rd person ku reffer kwa Mungu , allah anasema kuna Mungu ndio aliye kuumbeni
6:2. Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo,....
 
Haya mambo ya dini sana sana tumerisishwa mila za kiyaudi na hatujuhi ni Mungu yupi tunamwabudu. Lakini happy ukitaka kuchimba zaidi unakutana na utatu mtakatifu hapa ndipo mjadala ulipofungiwa
 
Mm ni Muislamu na sina shaka na imani yangu
Je nikikupa aya inayokataza utatu utaiamini?
 
Kisha uisome hy aya inayofuata kisha tuendeleze mjadalaView attachment 2020697
Mungu muarabu wa lazima, vitisho huyo!! wa Macca hana nafasi kwangu!! tena Mungu wangu mie atamuadhibu vibaya kwa ubaya wake uleee!! mfanya biashara ya watumwa!!

kwanza waafrica na mungu muarabu wapi na wapi??? mnajipendekeza kwa miungu wa wenzenu tu !!! siku ya kiama utanitafuta nakwambia utalia na kusaga meno km ivi

''nyarusaree weee!! acha roho mbaya mbona sasa nakuamini! niokoe na hili janga mwenzio nilidharau maneno yako sasa nakiona! cha murilo! niombee kwa Mungu wako anisamehe! sikia sasa na huu humu utakuwa ushahidi tosha!!
 
So waafrika na mungu gani aisee kama huyu wa kiarabu hamna,wakiyahud hamna... Nipe direction chief...[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kwanza inabidi tujue Ukristo umeletwa na nani ?

Uislamu kwa maana ya imani,upo tangu anaumbwa Adamu,ila kwa sheria alikuja nao Mtume Muhammad.

Nachojua mimi Ukristo ulianza kuwepo kabla ya ujio wa Mtume Muhammad. Hoja yako iko wapi ? Kwamba kisa umetangulia ndiyo Ukristo ni kweli au mafundisho yake ?
Ukristo kama mfumo ulianza lini??? Mpe jibu tuendeleee na mijadala acha janjajanja....[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Unaongea mavi tu,biblia imekuwepo karne saba kabla ya kitabu chako,ukitaka kujua imani ni nini kaiulize bible,fala wew
Biblia ilikuwepo?? Tupe ushahid chief.... Kwanza ipi ile ya kale ama hii mpya??
 
Na bado hujaeielewa...[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom