chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,097
- 1,457
Andiko lipi lipo wazi! Lilete hapaAndiko lipo wazi.Na ni hapo ambapo huwa ninapata mashaka sana kama kweli wasabato na mashahidi wa Yehova ni wakristu kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andiko lipi lipo wazi! Lilete hapaAndiko lipo wazi.Na ni hapo ambapo huwa ninapata mashaka sana kama kweli wasabato na mashahidi wa Yehova ni wakristu kweli!
Dini ya kweli ni moja tu???Madhahebu yote yana dosari isipokuwa Yesu pekee. Na ndiye wa kumfuata
Soma vizuri biblia, kabla ya william miller SABATO ilikuwepo, na William Miller hakuwa msabato''The Great Disappointment'' 1844 ya Willium Miller ndio iliyomaliza sana imani za watu juu ya Usabato. Ni sawa tu na alichofanya Kibwetere na yule Mchungaji wa juzi hapo Kenya
Imebakia raha ya SABATO kwa watu wa Mungu, kama wewe ni mtu wa Mungu raha yako ni sabatoWoah.ahsante sana Mtumishi wa Bwana Yesu.Nilikuwa na maswali mengi kichwani hivi karibuni juu ya usabato na kwa hakika nimepata majibu mengi sana.Na sio hivo bali nimepata na chakula muhimu kwa ajilo ya makuzi ya kiroho.Kwa hakika neema tuliyoyano wale tuliomwamini na kumuishi Bwana Yesu kristo ni yapekee sana.Ahsante Roho mtakatifu kwa vile ulivoyafunua haya kupitia Mtumishi huyu.
Neno ni muhimu sana kwa waamini.
Zijue kweli hiziNa pumziko la kweli na halisi ni Yesu, siyo siku fulani. Mathayo 11:28
Tobaaaaaaaa!Nawaambieni, wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitaijenga kanisa langu; na milango ya Jahannamu haitashinda. Nami nitawapa funguo za Ufalme wa mbinguni ; na chochote utakachofunga duniani kitakuwa cha mbinguni; na chochote utakachofungua duniani, kitafunguliwa mbinguni.
(Mathayo 16: 18-19)
TobaaaaaNdio maana nasema nyinyi wasabato sio wakristo
Bikira Maria alizikwa wapi?
Huwezi mfananisha na huyo nabiii wenu wa uongo alietabili mwisho wa dunia na akafeli
Nianze kukufundisha usomaji wa silabi?Andiko lipi lipo wazi! Lilete hapa
Ngoja nikupe andikoNianze kukufundisha usomaji wa silabi?
Ukijaribu kujiuliza kwanini Roman na viongozi wa dunia wanataka kusiwe na Sabato (siku ya kupumzika iwe Jumapili).[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Papa amesema ushoga ni dhambi kama zambi nyingine
Kwa hiyo hatuwezi wazuia wasije kanisani eti kwa kuwa ni shoga
Je wewe ni mkamilifu huna zambi?
Usiwe unakurukupa kushutumu kwa chuki zako bila kutafakari
Wasabato mnamuona ellen white ni bora kuliko Mariamu
Kweli shetani ni muongo na ukicheza naye atakupepeta kama makapi ya ngano.
Ellen white ni wakala wa shetani sio bure
Ukijaribu kujiuliza kwanini Roman na viongozi wa dunia wanataka kusiwe na Sabato (siku ya kupumzika iwe Jumapili).
Duniani sasa hivi inakabiliwa na changamoto kuu zaidi ya mbili, ila nitazitaja hizi mbili ambazo ndizo ziko connected na siku za mwisho.
1. Kuna hali mbaya sana ya kiuchumi katika maeneo mbalimbali duniani, kumekua na hali ya ukame ambayo imetokana na mabadiliko ya tabia ya nchi, sasa hii inapelekea na itapelekea kuwepo na njaa duniani kwa sababu hakuna production itakuwa inafanyika maana Huwezi lima, mahindi, mchele, maharage kama mvua na vyanzo vya maji vimeharibiwa. Sasa viongozi wakuu wa dunia wanaona namna sahihi ya kuondokana na hali mbaya ya kiuchumi ni kuongeza siku za kufanya kazi, ziwepo siku 6 za kufanya kazi na Jumapili pekee ndio iwe siku ya kupumzika na kufanya ibada. Badala ya kuangalia cha tatizo ambacho ni mabadiliko ya tabia ya nchi na kusuggest measures za kufanya ili kuondokana nayo kama vile kupanda miti na kuprotect vyanzo vya maji nk.
2. Kuna suala zima la mmonyoko wa maadili (mambo ya ushoga na usagaji) haya yote yanakuwa pioneered na kanisa na Roman, kanisa la Roman ndie initiator mkuu wa haya mambo ya ushoga. Currently, inaonekana ni jambo la hiari kwa nchi zetu za kiafrika kukubaliana na ushoga ili kupata msaada, ila muda unavozidi kwenda vikwazo vitazidi kuwa vingi sana .
Mathayo 24:14
[14]Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.
(kwa statistics za 2021, ¾ ya dunia tayari imekwisha pelekewa neno la Mungu na imebaki ¼ tu ya watu wa dunia kufikiwa na neno la Mungu.) kwahio ni dhahiri kabisa Yesu kakaribia sana kurudi, japo hatujui ni lini, ila ni karibu sana kuliko tunavyodhani.
Tuendeleeni kujiandaa na kuja kwake Yesu, tuzitafakari njia nzetu, maana ule mwisho utakapofika ndipo mlango wa rehema utakuwa umefungwa kwetu sisi tunaoujua ukweli, na hapo ndipo watu wa Mungu tutakapoanza kuteswa na kuchukiwa pamoja na kuuawa.
Mathayo 24:9-10
[9]Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu.
[10]Ndipo wengi watakapojikwaa, nao watasalitiana, na kuchukiana.

Unapingana na Yesu aliyesema msiape kabisa?KUTOKA 20:7.
[7]Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
Unapaswa utaje jina la Mungu wako ikiwa una sababu maalum na uko katika usahihi (ukweli) kwa 100%, kinyume na hapo utakuwa umetenda dhambi mana Mungu ni kweli na kamwe huwa hachangamani na uwongo.
Kumbuka Baba wa uwongo ni shetani tangu bustanini Eden.
Ukiona mtu anatukana ili kutetea imani yake,ujue wazi kabisa anatawaliwa na roho isiyo ya KristoHapo ndiyo wanakhera , ukristo na matusi wapi na wapi?
Unaakili timamu wewe????Soma vizuri biblia, kabla ya william miller SABATO ilikuwepo, na William Miller hakuwa msabato
Zingatia:Wasabato na Mashahidi wa Yehova ni chenga tupu. Kutwa kuzunguka na vijarida
You are wicked brotherZingatia:
The Four Cult claimed them self being X-,tians.
1. Seventh Day Adventist.
2. Jehova Witness
3. The Mormon.
4. Xtian Scientilogy
Kwamba unataka kukataa...You are wicked brother