Huawei anazidi kuishangaza dunia na kuonyesha kuwa sanctions hazifanyi kazi.
Baada ya kuwashangaza na simu zenye socs alizounda mwenyewe na ambazo demand ni kubwa kuliko hata uzalishaji wake kitu ambacho kilifanya US azidi kukaza vikwazo na watu wabaki midomo wazi maana walitegemea kwa nguvu zake mwenyewe itamchukua labda hadi 2029, sasa juzi katangaza ujio wa Kirin 9006C yenye 5nm technology.
US atajuta kwa sanctions kwa sababu alichojaribu kuzuia ni kama ametia petrol kwenye moto. Sanctions hazifanyi kazi kwa China.