Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Ulichoandika hauna tofauti na mchina mwenyewe.Kwasababu hujui technical part of it huwezi kuelewa.
Hata blackberry os wakati inataka kufa update yake iliruhusu kuweka apps za android lakini haikumaanisha kuwa ilikuwa ni android. Hata kwenye mac os unaweza kurun apps za windows kwa kutumia virtual box, na kuna kipindi ulikuwa unaweza kutumia wine bottler kurun lunix kwenye windows.
Huawei alifanya hivyo kwa sababu store yake haikuwa na apps za kutosha na watumiaji bila apps hata OS iwe nzuri kiaje hakuna atakayeitaka. Mtu anataka instagram app hakuna hawezi kuendelea kuitumia. So, ndio maana alirubusu irun apps za android.
Wenzake wanajaribu hata wakianguka ila kuna OS walitengeneza na zikawa maarufu na zikapata watumiaji wengi duniani ila yeye hakuna OS aliyoiweka sokoni ikafanikiwa.
IOS anakimbizana na Android, kwanini yeye hakuwaza hilo na hakuweka mfumo wa Android?