- Thread starter
- #241
Tesla mauzo yake yameshuka hadi ameanza kupunguza bei za gari zake kwa hadi waliotangukia kunu ua wanalalamika na tunaposema BYD ameanza kumfunika tesla ni kwamba ameanza kuchukua soko la tesla si china tu hadi europe kama ambavyo huawei alikuwa kaanza chukua soko la samsung. You can just goofle that. Ukiachana na hilo, mwaka huu china ndiye kaongoza kuuza magari in general. Yani hapo ukichanganya gari za umeme na gasoline.Halafu mbona nimeingia mtandaoni, naona TESLA ndio zinauza sana
Mauzo ya battery electric vehicles ya Tesla yako juu kuliko BYD licha ya TESLA kuwa expensive View attachment 2857460
Kutoka January hadi August, Tesla Model Y ndio EV iliyonunuliwa zaidi duniani. Tesla ameuza units 772364 za Model Y pekee. Kumbuka Model Y inauzwa kuanzia $43990 ila bado wameuza nyingi utafikiri ice cream mpaka inaongoza dunianiView attachment 2857475
Nafasi ya pili inashikiliwa na Tesla Model 3. Tesla ameuza units 364403 za Model 3 pekee. Model 3 inauzwa kwa $38000
View attachment 2857463
Namba tatu ni BYD Atto 3/ Yuan plus. BYD wameuza units 265688 za BYD Atto 3 ya around $40,000 na hii ndio BYD iliyouza kuliko zote ambayo mauzo yake hata uzidishe mara 2 haifikii Tesla Model Y kwa mauzo
View attachment 2857492
Kwa hiyo ninachosema ni kwamba BYD ana EV nzuri sana sikatai ila ili auze kama Tesla inabidi atoe model nyingi sana tena za bei tofauti tofauti na za chini. Si umeona mauzo ya BYD Atto 3 yalivyo ukilinganisha na Tesla Model Y?
Hata hivyo watu wa China wana maisha ya chini ukifananisha na USA na wachina wamezaliana sana kwa hiyo BYD inawapasa watengeneze magari mengi tofauti tofauti ambayo hata soko la nyumbani linaweza afford
Tesla bado yuko juu kuliko BYD ila sikatai BYD nayo iko vizuri kwenye EV maana dunia nzima ukitoa TESLA sijaona wa kumfananisha na BYD kwenye hii sekta
List inaendelea hapa chiniView attachment 2857461
Tesla is losing his market to byd. Mwaka huu kashusha bei za gari zake zaidi ya mara moja kuzuia hilo. Kama ulivyo google takwimu just google how byd is taking on tesla.