Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
India nae ameingia, Singapoor, vietnam nk.Baada ya miaka 2 ijayo Taiwan atafunga kiwanda maana China ndo atakuwa producer mkubwa wa chips dunia kwa bei ya chini kwa hiyo makapuni mengi yatahamia huko chips za USA itabudi abaki kwake au apikie chips
Mkuu, watu wanachopinga hapa sio China kuwa juu kiteknolojia na of course China ipo vizuri sana kwenye teknolojiaMaisha ya waafrika yameboreka kutokana na kukua kwa china kiteknolojia. China isingekuwa boda boda tunazoziona zingekuwa hazipo.
Mabasi, malory nk yamewezesha TRANSPORTATION Kuwa simple in the world.
Leo nilikuwa naangalia makala moja inaeleza jinsi China inavyoongoza kuuza Truck Duniani.
Mchambuzi ameeleza kuwa truck za China zinapendwa zaidi duniani kutokana na efficieny of the engine.
Wakati watanzania wasiounda hata sindano wanabeza uwezo wa China wazungu wana appreciate uwezo wa China na kumeweka kama mshundani wa kweli.
Waafrika tungekuwa na akili tungejifunza kiundani vipi China imeeweza ndani ya miongo kadhaa badala ya kubeza vitu tusivyoviweza hata kidogo.
Tumeishi na wazungu miaka mingi lakini hakuna cha maana tulichoweza.
Kwa muda mfupi wa kuibuka kwa China Afrika imepiga hatua kubwa sana kila sekta.
Tukikubaliana na China tunaweza piga hatua kubwa sana zaidi ya tulipo
Vikwazo vya US havifanyi kazi. Yani china kampiga tobo asubuhi na mapema na kuchukua kole alichokuwa anajaribj kumzuia kuchukua.Mkuu, watu wanachopinga hapa sio China kuwa juu kiteknolojia na of course China ipo vizuri sana kwenye teknolojia
Watu wanachopinga ni kumpraise sana Mchina juu ya Mmarekani. Hatukatai China iko vizuri kiteknolojia ila kubali, wameachwa mbali na Marekani
Kwenye baadhi ya mambo tuMkuu, watu wanachopinga hapa sio China kuwa juu kiteknolojia na of course China ipo vizuri sana kwenye teknolojia
Watu wanachopinga ni kumpraise sana Mchina juu ya Mmarekani. Hatukatai China iko vizuri kiteknolojia ila kubali, wameachwa mbali na Marekani
USA wana choyo mbaya sana, wamekopi teknolojia ila hawataki isambae.Maisha ya waafrika yameboreka kutokana na kukua kwa china kiteknolojia. China isingekuwa boda boda tunazoziona zingekuwa hazipo.
Mabasi, malory nk yamewezesha TRANSPORTATION Kuwa simple in the world.
Leo nilikuwa naangalia makala moja inaeleza jinsi China inavyoongoza kuuza Truck Duniani.
Mchambuzi ameeleza kuwa truck za China zinapendwa zaidi duniani kutokana na efficieny of the engine.
Wakati watanzania wasiounda hata sindano wanabeza uwezo wa China wazungu wana appreciate uwezo wa China na kumeweka kama mshundani wa kweli.
Waafrika tungekuwa na akili tungejifunza kiundani vipi China imeeweza ndani ya miongo kadhaa badala ya kubeza vitu tusivyoviweza hata kidogo.
Tumeishi na wazungu miaka mingi lakini hakuna cha maana tulichoweza.
Kwa muda mfupi wa kuibuka kwa China Afrika imepiga hatua kubwa sana kila sekta.
Tukikubaliana na China tunaweza piga hatua kubwa sana zaidi ya tulipo
Unachoongea ni sahihi ila umeenda nje ya mada mkuuKwenye baadhi ya mambo tu
5G china ipo mbali zaidi ya marekani.
Mimi sioni faida yoyote ya teknolojia za marekani zaidi ya kutumia Google
Madawa tunatumia ya India, electronics za Mchina na Korea, vyombo vya mchina, magari, boda, Solar nk nk . Nchi ilioshindwa kutatua matatizo bali kuongeza matatizo kwa Binadamu niifagilie ili iweje ?
China ni solution ya matatizo wakati USA ni accelerator.
Teknolojia za West sio msaada kwa third world bali ni siraha ya kunyonya.
Tunafurahia kuona kila teknolojia iliopo west inafikiwa na China, China anajua kuishi na wanyonge.
Zamani tulikuwa tunatumia mafuta ya taa wakati ulaya wanazo teknolojia za sola ila hawakutaka kuunda solar kwa mtu wa chini, ilopokuja China wameunda solar kwa kila kundi la binadamu leo mafuta ya taa yamepotea yenyewe.
Bila mchina mpaka leo mafuta ya taa yangekuwepo ila mpo blind/brain washed kwa sababu ya ukoloni mliomezeshwa kuona mzingu ndio kila kitu duniani.
Kila sekta hapa Africa imebadirika kwa sababu ya teknolojia ya mchina sio mzungu.
Mzungu anapenda yeye apande gari wewe utembee kwa miguu( sasa hivi waafrika hatutrmbei tena kwa miguu kwa sababu ya China).
Mungu awazidishie wachina wafikie kilele cha mafanikio.
White man Hegemony is Over.
Kizazi cha sasa hivi kinamuelewa mchina sio mzungu.
Ni kitu gani ambacho USA wanafanya China hawafanyi ? hebu orodhesha hapa.
Mbele sana mfano wake si ndio hio 5gUnachoongea ni sahihi ila umeenda nje ya mada mkuu
Nadhani nilishatoa jibu la hili swali kwenye post namba 81.Mbele sana mfano wake si ndio hio 5g
Mwisho nimeuiliza swali ni mambo gani USA yupo mbali sana. Ilibidi nijibiwe kwa orodha .
Fall sio kama unavyoifikiria wewe. Watu wanaitazama kwa mrengo wa MONOPOLIZATION OF TECHNOLOGY and POWER. kuna miaka hapo nyuma kila kitu zilitegemewa kampuni za USA sasa hivi haipo hivyo.Nadhani nilishatoa jibu la hili swali kwenye post namba 81.
Nimecopy tena hapa. Post no. 81 niliandika hivi
"Ni kama mnataka kuforce kutabiri future hivi
Rise of USA imeshaonekana ila hiyo fall unayozungumzia iko kwenye vichwa vya watu tu sio uhalisia
*Kwenye masuala ya utafiti wa anga (space exploration) USA iko vizuri kuliko China, tunaona Marekani ina NASA na Space X
*Kwenye uzalishaji wa electronics hapa kidogo China anajitahidi ila bado anaachwa na Mmarekani,
*Mfano kwenye utengenezaji wa laptop tunaona makampuni mengi makubwa yanayofanya vizuri ni ya Marekani mfano Apple, DELL, Microsoft, HP nk. Kwa China kidogo Lenovo yuko vizuri ila bado anatumia OS za Mmarekani, Windows na Chromebook OS
*Kwenye simu Wachina wanajitahidi ila Mmarekani yuko juu zaidi. Apple zinaongoza kwa mauzo dunia nzima na bado Wachina wanaofanya vizuri wanatumia OS ya Mmarekani kwenye simu zao (Android). Moja ya sababu zinazofanya nipende simu za China ni kwamba zinatumia OS ya Mmarekani [emoji1]
*Kwenye SoC za simu na PC bado wanategemea makampuni ya Kimarekani kama Qualcomm, MediaTek, Intel na AMD.
*Kwenye utengenezaji wa Automobiles USA ipo kilometre milioni 6 mbele ya China
*Kwenye movie industry USA inaongoza dunia nzima. Teknolojia ambayo Mmarekani anaitumia kwenye movie zake inamshangaza hata Mchina mwenyewe
*Marekani ina jeshi bora la ardhi imara kushinda China
*Marekani anaicontrol dunia, ameweza kuangusha moja ya kampuni zilizokuwa moto kwenye utengenezaji wa simu kama Huawei kupitia vikwazo tu, Mchina hawezi kufanya hivyo kwa kampuni yoyote ya USA na akafanikiwa kuiangusha
*USA iko vyema kila idara kushinda China
Sijui hiyo fall of USA mmeiona wapi"
Ungeweka na takwimu ingependeza zaidi.Nadhani nilishatoa jibu la hili swali kwenye post namba 81.

Kuongoza mauzo kwa bidhaa za China ni kwa sababu ya gharama ndogo, sio kila kinachouza sana China eti ni kwa sababu kina high qualityUngeweka na takwimu ingependeza zaidi.
Nimesoma makala moja juzi google wao wameweka takwimu za Truck sells. Data zinaonesha China sekta ya truck anaogoza kwa mauzo miaka 2 mfululizo sasa hio mbele ya mara milioni 6 wewe unaihesabu ktk nini data zako zinasemaje.
Teknolojia ya anga za mbali China ndio imerusha vyombo vya kisasa zaidi kuliko taifa lolote. China ana explore anga za mbali peke yake wakati USA anashirikiana na Ulaya na Urusi isitoshe china ime catch up sio mkongwe.
General electronics anaongoza mchina wakati USA kwenye sekta ya military.
swali la kwamba ni teknolojia gani ipo USA wakati china hata wazo tu hana , hujalijibu.
Ktk mijadala ya JF au majukwa mengine hamna aliesema China ni no 1, ila nimeona mijadala ikionesha China ameisha ipita USA ktk baadhi ya Teknolojia.
Mfano teknolojia ya transportation, AI, quantum communication, usafirshaji wa umeme, truck, ujenzi( wachina wana uwezo wa kujenga jengo la gorofa kwa wikii kadhhaa) .
Mlianzaga kwa kuiponda China kuwa inaunda bidhaa fake, mkaja inaiba teknolojia sasa hivi mnajadili kuwa haijaifikia marekani. Taratibu mnaenda mnabadili namna ya kuikataa china.
HIVI MTU MWEUSI ANAPATA FAIDA GANI KUIPINGA CHINA , wazungu wao wanamasilshi ya kibiashara wewe unamasilahi gani kwenye hoja hii ?
Sio hilo tu, wazungu wanakwambia BYD ina options nyingi kuliko tesla na reliable. Yani wanakwambia byd inakupatia features kibao zaidi ya tesla na kwa bei poa.Kuongoza mauzo kwa bidhaa za China ni kwa sababu ya gharama ndogo, sio kila kinachouza sana China eti ni kwa sababu kina high quality
Magari ya BYD ni mazuri ila kilichofanya yazidi TESLA kwa mauzo ni price, BYD ana EV hadi za $10000, yeye TESLA ni $40,000 kupanda.
Kwa hiyo bado, unaweza kuta TESLA akiuza magari matano anaweza kupata faida kubwa kuliko Mchina akiuza magari yake 20
Halafu, unauliza nafaidika nini kumpinga Mchina?
Nani kakuambia nampinga Mchina. Fuatilia thread zangu uone makampuni ya tech ninayoyakubali yanatoka wapi.
Kwa mfano kwenye simu, iPhones sizipendi, kampuni ninazozikubali ni Google, Samsung, Xiaomi, Oppo, Vivo, Honor, Realme, One Plus, Motorola, nk. Hapo ya Mmarekani moja tu, ya Mkorea moja nyingine zote za Mchina.
Kwa hiyo umerusha random attack kwa kudhani kila anayeisifia USA anaichukia China
Leo sina mood tu ila China kuifikia USA kiteknolojia bado. Unavyoongelea ujenzi ni kama unasahau kuwa China bado ni developing country licha ya kuwa na uchumi wa pili kwa ukubwa duniani. China bado inahitaji hospitali nyingi mpya, shule mpya, nk.
Marekani ilishatoka huko. Ujenzi unaendelea Marekani ila sio katika high rate kama China kwa sababu maendeleo aliyofikia Mmarekani, Mchina hajafika bado
Just imagine nchi ya watu 300M inazidi uchumi nchi yenye watu 1.4B
CNSA imefanya mengi ila bado, ukifananisha na NASA, Mchina kaachwa parefu
Kwenye Automobiles fananisha magari ya Mmarekani na ya Mchina, fananisha pikipiki, scooters, EV, na hizo trucks. Licha ya Mchina kuzalisha trucks nyingi na kuziuza sana bado Marekani ndio inasifika kwa kutengeneza "Most powerful trucks". Wakati Mchina anaongoza kwa quantity, Mmarekani yuko vizuri kwenye quality
Mchina analenga soko la bei rahisi ndio maana mauzo mengi, tena yanaanzia China mulemule maana China ina masikini kibao
Pia nisingependa uhusishe tena mambo ya USA vs China na suala la mimi kuwa Mwafrika, Hiyo ni vita ya kiteknolojia ya mataifa makubwa mawili. It has nothing to do with me being an African
Tubaki kwenye mada zaidi bila kuingilia Uafrika wangu na kumtetea Marekani, maana havihusiani na rangi yangu. Hiyo ni tech
Kwani kuna mtu kasema magari ya BYD ni poor quality?Sio hilo tu, wazungu wanakwambia BYD ina options nyingi kuliko tesla na reliable. Yani wanakwambia byd inakupatia features kibao zaidi ya tesla na kwa bei poa.
So features zaidi maana yake nini?
Na bado wanasema BYD ni reliable. Mwanzo ilikuwa china hauzi ulaya kwasababu ya poor quality anauza afrika coz ana bidhaa cheap. Vipi sasa wazungu hawajali quality au?
Basi wao wazungu wanasema BYD inawpaa features kibao kuliko tesla au gari za ulaya na kwa affordable price na ni reliable. Walio yanunua wanayasifu kuwa yanaaminika.Kwani kuna mtu kasema magari ya BYD ni poor quality?
Mwenzangu na mimi unaona nyota tu kirin 900Hapa mnajadili wenyewe kwa wenyewe!!
Halafu mbona nimeingia mtandaoni, naona TESLA ndio zinauza sanaBasi wao wazungu wanasema BYD inawpaa features kibao kuliko tesla au gari za ulaya na kwa affordable price na ni reliable. Walio yanunua wanayasifu kuwa yanaaminika.
So siyo price tu, ingekuwa price wasingeyanunua mbona iPhone inauza sana na ni bei wakati kuna simu nyingine za bei cheap lakini hawazinunui?