Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
ukisearch scientific papers nyingi za mambo ya AI, wachina ndiyo wanaoongoza kwa kupublish!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WABONGO BHANA 🤣🤣🤣😂😂 WANAJADILI WENYEWE KWA WENYEWE NA WAKITAKA KUTAFUTA MAISHA WATAKIMBILIA UBALOZI WA USA KUOMBA VISA...Hapa mnajadili wenyewe kwa wenyewe!!
Swali zuriKama China anaikimbiza Marekani kwa tech.
Anashindwaje kuunda Operating system yenye Software inayojitegemea?
China anatumia tech ya Marekani kupata hela na siyo suala la ushindani ndiyo maana yupo radhi atumie OS ya android apige hela kuliko kutengeneza yake
Instagram betaApp ya windows phone ilikuja late nadhan 2013 au 14 kabka ya official instagram ilikuwepo moja ilikuwa sijui inaitwaje lakini inamalizika na gram ila haikuwa poa.
Windows phone ilikuwa haina apps kibao pendwa kwa watu na nyingine zilikuwa zinachelewa sana.
Sema pia nadhani waliikatisha mapema wangekomaa miaka 4 mbele nahisi ingetoboa. Zilikuwa simu poa sana zina camera kali.
Developers walitufelisha pale
Windows ilikuwa poa sana. Miaka ile nilikuwa nafanya kwenye ofisi moja ya nokia simu hizo tulikuwa tunaoewa bure kila toleo linapotoka.Instagram beta
Nilichokuwa napenda Windows phone hamna app za kitoto Kama ile ya Android et una download solar inaonesha Kama inachaji simu😁😁
Na games zake zilikuwa nzuri Sana hata ukiwa na Lumia 620 ram 512 Ina perfom vizuri
Unaeza cheza game leo uka minimize ukakaa hata week unakuja fungua linaendelea pale pale ,,, au zile app za ku track distance speed nk hata ukifungua app zingine ile hujaigusa utakuta inaendelea Soma speed na distance travelled as well
Nakuja kwa Android ukitumia wasap dk kadhaa unakuta ile app ishajifunga
Niliumia Sana baada ya kusikia update hazitotoka Tena ki ukweli nilikuwa nazipenda Sana,, napenda kuwa unique hivo njia ya kuwa unique nikutumia Zile simu zilikuwa na Raha yakeWindows ilikuwa poa sana. Miaka ile nilikuwa nafanya kwenye ofisi moja ya nokia simu hizo tulikuwa tunaoewa bure kila toleo linapotoka.
Looking back android kwa windows ilikuwa takataka kipindi hicho. Kweli apps zilikuwa zina crash na windows phone ilikuwa ahead of its time UI flat ambayo ndiyo ya sasa
Mchina hayupo kushindana na USA wala hamuwezi ila yupo kwa ajili ya kupata hela tu.Hakuna aliyesema anaikimbiz kwa tech tunachosema hapa ni kwamba vikwazo vya marekani havifanyi kasi anazidi kuipa presha kuwa anaweza kuendelea kuunda vitu bila kuitegemea
Hakuna sababu ya kuunda OS mpya na ndio maana si china tu hata nchi nyi gine hawaundi OS nyingine na wakitaka OS kwa ajili ya shughuli fulani wanatumia linux based OS.Mchina hayupo kushindana na USA wala hamuwezi ila yupo kwa ajili ya kupata hela tu.
Mchina yupo radhi atumie OS ya android ili apate hela na kuendelea kupata hela ila hayupo radhi kutengeneza OS yake ambapo kuingia sokoni, kupata developer na kutumiwa mpk kuezoeleka itamchukua miaka mingi kupata hela au kukosa kabisa.
Ukifuatilia bidhaa au vitu vingi anavyotengeneza mchina Original yake ni Marekani anaweza kuborosha kidogo au kutoiborosha kabisa.
Huawei ilipigwa stop kutumia Google play store iliyumba sana kiuchumi leo hii Marekani ikasema hakuna kutumia Android OS kwenye simu za kichina, soko la bidhaa la simu za kichina zinaweza kufa kabisa.
Mchina anachojua ni kutengeneza hela kupitia OS za wengine na kutumia majina ya wengine.Niliumia Sana baada ya kusikia update hazitotoka Tena ki ukweli nilikuwa nazipenda Sana,, napenda kuwa unique hivo njia ya kuwa unique nikutumia Zile simu zilikuwa na Raha yake
Lumia 620 spika yake Kuna ile 1520 camera yake Ni balaa ,, kwa miaka ile walikuwa ahead of time
Umekalili OS OS OS.Mchina anachojua ni kutengeneza hela kupitia OS za wengine na kutumia majina ya wengine.
Leo hii ukitafuta iPhone utaikuta na iPhone ya kichina yenye Android.
Nilitegemea mchina naye atakuwa na OS yake lkn anachofanya ni clone os za wengine.
Angalia hii battle
1. Symbian
2. Windows phone
3. Blackberry OS
4. Android
5. IOS
Zote hizi ni za wamerekani na ni OS za kipekee na muonekano na app zinazojitegemea.
Leo hii mchina anasema ametengeza OS inayoitwa Harmony inayotumia applications za Android.😁😁😁😁
Kama siyo muhimuHakuna sababu ya kuunda OS mpya na ndio maana si china tu hata nchi nyi gine hawaundi OS nyingine na wakitaka OS kwa ajili ya shughuli fulani wanatumia linux based OS.
Haya masuala ya kuunda OS kila mtu ya kwake yalikuwa ya miaka ya 80 huko kipindi kila kampuni inaunda OS yake.
China is progressing kwa speed ya 5G na hizi breakthrough ni hatari kwa maslahi ya US.
Wakati anamlima ban ya kuaccess hizo technology, yeye mwenyewe US alisema kuwa china kuwa na hizo technology ni tishio la usalama kwake US.
Sasa china kadevelop kuunda hivyo vifaa bila msaada wake US, so tishio lipo pale pale.
Nimekuuliza, linux aliyeitengeneza si Mmarekani unakalili vitu tu.Kama siyo muhimu
Kati ya Android na IOS ipi ilianza?
Wenye akili za kutengeneza OS ni wamerakani. Hapo mchina pamoja na kukopy na kupaste kwake amenyoosha mikono haiweI kutoboi.
Hiyo ya haina haja ni kisingizio tu
Tukiachana na anga, unaongeleaje byd wang u8 inayotembea km 1000 per charge?Nimefuatilia juujuu hiyo China National Space Administration "CNSA" au kwa Kichina inaitwa (Zhōngguó Guójiā Hángtiān Jú) nimeona imeanzishwa miaka 30 iliyopita na budget yake ni $8.9 Billions kwa mwaka. Nimefuatilia na mambo walioyafanya. Iko vizuri. Sio fair kuifananisha na Space X ya miaka 21 iliyopita ila bado hiyo CNSA sio ya kufananisha na NASA
Kama Space X tu ni ya private sector huko Marekani lakini ukiangalia na hiyo CNSA sioni kama wameachana mbali kihivyo tena CNSA inamilikiwa na serikali kabisa
NASA imeanza miaka 65 iliyopita na budget yao ni $25.4 Billions kwa mwaka. Wana mafanikio mengi sana kushinda CNSA na kwa kuwa wameanza kitambo wapo umbali mrefu sana mbele ya CNSA. Kufananisha CNSA na NASA ni njia nyingine ya kuitukana NASA.
CNSA inaweza kuwa vizuri kuliko Space X ila kamwe haiwezi kuifikia NASA hata kidogo na best part ni kwamba NASA nayo ni ya Marekani
Umekalili OS OS OS.
Mbona linux imetengenezwa na Mfinnish na inatumika dunia nzima iliwemk Marekani? Kampuni kibao Marekank zinatumia linux hasa kwenye server side. Android yenyewe ni linux based system.
Biashara ya OS sio kama biashara ya hardware
Amejitahidi kwa kiasi chakeTukiachana na anga, unaongeleaje byd wang u8 inayotembea km 1000 per charge?
Mkuu kama ulikuwa unafuatilia teknolojia miaka 10 iliyopita kipindi Us alipokuwa relactant, usingeweza kuamini leo tungekuwa tuna compare US na China.Amejitahidi kwa kiasi chake
Mimi sisemi kuwa Mchina ni mbovu, najaribu kupinga hiyo "FALL OF USA"
Of course as a tech giant, China lazima iwape competition Wamarekani ila haimaanishi kwamba wamarekani wamelala. Sioni China akiipita USA leo wala kesho
Faida ya hii vita inaongeza kasi katika ukuaji wa technolojia.U.S-China tech war
Mi hata siwaelewi mnajadili nini, ngoja nitoke humuNdiyo mkuu. Nimeona pia ameanza kuingia kwenye uundaji wa GPU na pia GPU maalum kwa ajili ya AI.
Android sijui iliweza kusurvive vipi na kuizidi windows phone. Hii ni bahati tu na labda windows alikua hana nyota ya soko la simu.Windows ilikuwa poa sana. Miaka ile nilikuwa nafanya kwenye ofisi moja ya nokia simu hizo tulikuwa tunaoewa bure kila toleo linapotoka.
Looking back android kwa windows ilikuwa takataka kipindi hicho. Kweli apps zilikuwa zina crash na windows phone ilikuwa ahead of its time UI flat ambayo ndiyo ya sasa
Nadhani kuifanya open source na kila mtengeneza simu akawepo kutumia kwenye device zake ikawa kwenye devices nyingi iliwafanya nyie developers mvutiwe nayoAndroid sijui iliweza kusurvive vipi na kuizidi windows phone. Hii ni bahati tu na labda windows alikua hana nyota ya soko la simu.
Mm nmeanza kuandika apps za android zamani sana, lkn android kabla ya version ya KitKat (4.4.2) was trash kiukweli.
Yaan kufanya frauding ilikua rahisi sana. Haikua secure, kuiba data za mtu ilikua kugusa tu, app za kudanganya danganya zilikua kibao.
Na sasa android ikawa adopted kila koma, sio kwenye TV, multmedia sets za kwenye magari, tabs, diagnosis tools, hadi hospital equipments kuna baadhi zinatumia android.