Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Miaka 30 kwenye game unaita muda mfupi??? Tena ni 30 recent years maana yake teknolojia imeshakuwa then unaita muda mfupi.Space x huwezi kuifananisha na CNSA maana mafanikio na vitu ilivyofanya CNSA space X hajafanya hata robo. Ndio maana nimekuuliza zaido ya kufanya majaribio na kurusha satelites na kuunda reusable rockets space x kafamya nini cha ajabu zaidi?
Unajua kwanini kwa wamarekani space x ilionekana big deal?
Ni kwa sababu baada ya kuground space shuttle program, ambayo ilikuwa ya Nasa, marekani alianza kutegemea nchi kama russia, india na umoja wa ulaya kurusja satelites. Ndio maana space x akaja kuwaondolea aibu hiyo.
Turudi kwenue CNSA,
Nasa ni mkongwe historia inambeba ila kwa kipimdi kifupi mambo aliyoyafanya CNSA ni makubwa mno hata collabo la shirika la anga la ulaya hawayafikii hata robo.
China kwa sasa naweza kusema ndiye mshindani wa moja kwa moja wa US kwenye anga.
Halafu sometimes budget si hoja. Hivi unajua chombo cha India alichokipeleka mwezini budget yake nzima haifikio hata budget ya movie ya kimarekank ya interstellar? Ni kama nusu ya budget ya hiyo movie.
Pia unaposema
"Halafu sometimes budget si hoja. Hivi unajua chombo cha India alichokipeleka mwezini budget yake nzima haifikio hata budget ya movie ya kimarekank ya interstellar? Ni kama nusu ya budget ya hiyo movie."
Unajaribu kumaanisha nini actually