Marekani ndio iko vizuri kwenye kila kitu sio China
- Kwenye laptop Marekani yuko juu
- Kwenye simu Marekani yuko juu
- Kwenye space exploration Marekani yuko juu
- Kwenye kilimo, angalia matrekta yenye nguvu zaidi duniani, utakuta ya Ujerumani, India ila Mmarekani naye lazima umkute ila sio China
- Simu nyingi za China zinazofanya vizuri zinatumia Android (ya Mmarekani)
- Laptop zinategemea Windows (Mmarekani)
- OS iliyoleta ushindani kwa Android ni iOS ambazo zote ni za Mmarekani mwenyewe
- Kwenye laptop washindani wakuu wa Windows ni Chromebook OS na MacOS tena ni za Mmarekani mwenyewe, Wachina wenyewe wanatumia sana hizi
*China ndio ina iPhones nyingi kushinda hata Marekani ambako ndio zinatokea
* Kama ni michezo Marekani iko vizuri kwenye basketball, angalia NBA
*Makampuni popular ya chip za simu ni Qualcomm, MediaTek na ushindani wanaletewa na Apple Bionic. Wote hawa ni Wamarekani. Can you imagine [emoji23]
* Kwenye sanaa, muziki wa Marekani uko vizuri kuliko wa China
*Movie za Marekani ni za teknolojia ya hali ya juu sana yani huku Mchina hagusi hata robo
- Kwenye magari Marekani iko vizuri kuliko China
- Kwenye masuala ya AI bado Mmarekani anafanya vizuri
*Ukiongelea uchumi wa mtu mmoja mmoja Marekani iko vizuri
Huoni kama Marekani ndio iko vizuri kwenye kila kitu na sio China?
China hawezi kuizidi Marekani labda kama unaongelea kuizidi GDP pekee?