Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mkuu acha kabisaLimeundwa na BYD, hii kampuni sasa kwenye EVs inatisha.
Japokuwa naona kama wameclone range.
Kuiga na kuongeza mengine ni sawa kwa technology maana hata wao wazungu wakikupatia hawakuachi
Rejea Concordski vs Concorde hata Concorde waliiba
Ila hiyo gari balaa inaenda upande upande kama Crab 🦀