TSMC ndiye akajikuta katikati ya hili saga.Mwamba kajidhatiti haswa.
Hakika.Maana Huawei kaamua ashirikiane na mchina mwenzake SMIC na kuachana na Mtaiwan TSMC.TSMC ndiye akajikuta katikati ya hili saga.
Ndiyo mkuu. Nimeona pia ameanza kuingia kwenye uundaji wa GPU na pia GPU maalum kwa ajili ya AI.Hiyo kirin 9006c inaanza kutumika kwenye laptop yake mpya Qingyun L420.
Kwanini mkuuHapa mnajadili wenyewe kwa wenyewe!!
Huwezi kuelewa chochote hapaHapa mnajadili wenyewe kwa wenyewe!!
CEO wake alisema ingebaki iPhone na Huawei.Natamani Huawei aweze kuifanya ile OS yake iweze kueleweka na watu wote duniani,yani kuwe na Android,iOS,na Harmony,then ziwe zinapambana kibiashara zaidi sio kisiasa
Shida ya Marekani akiona Huawei amempiga gape kidogo ataweka vikwazo vingine zaidi.
Ndio maana kujitegemea kwa kila kitu ni muhimu sana.
Kama simu za Huawei tangu toleo la kwanza kabisa wangetoa na OS yao wenyewe muda huu wangekuwa mbali sana.
Vile vikwazo vya Android kutumika kwenye Huawei viliipunguza kasi Huawei corporation kwa kiasi kikubwa na kwa kipindi kile ndo ilikuwa kwenye peak kabisa, ilikuwa tishio kwa Samsung na iphones.
Kwangu mimi mpaka sasa kwenye designing za simu Huawei nampa namba moja.
Utashangaa hiyo computer yake mpya itatumia Windows ya kampuni ya Microsoft (Marekani) au naye atatengeneza OS yake?Hiyo kirin 9006c inaanza kutumika kwenye laptop yake mpya Qingyun L420.
Kuunda OS jambo moja watu kuitumia ni jambo lingine.Utashangaa hiyo computer yake mpya itatumia Windows ya kampuni ya Microsoft (Marekani) au naye atatengeneza OS yake?
Nilipenda sana hizi battle za Linux na Windows, hapa nilitegemea mchina atakuja na Operating system yake lkn holaa mpaka leo.
Hapo ni sawa na kutengeneza gari halafu engine ni ya Marekani bado mchina anazidi kumnufaisha Marekani tu kwa software zake
Unaweza kushangaa OS ya Harmony lkn inatumia application za Android.Natamani Huawei aweze kuifanya ile OS yake iweze kueleweka na watu wote duniani,yani kuwe na Android,iOS,na Harmony,then ziwe zinapambana kibiashara zaidi sio kisiasa
Shida ya Marekani akiona Huawei amempiga gape kidogo ataweka vikwazo vingine zaidi.
Ndio maana kujitegemea kwa kila kitu ni muhimu sana.
Kama simu za Huawei tangu toleo la kwanza kabisa wangetoa na OS yao wenyewe muda huu wangekuwa mbali sana.
Vile vikwazo vya Android kutumika kwenye Huawei viliipunguza kasi Huawei corporation kwa kiasi kikubwa na kwa kipindi kile ndo ilikuwa kwenye peak kabisa, ilikuwa tishio kwa Samsung na iphones.
Kwangu mimi mpaka sasa kwenye designing za simu Huawei nampa namba moja.
Kwasababu hujui technical part of it huwezi kuelewa.Unaweza kushangaa OS ya Harmony lkn inatumia application za Android.
Hapo ndiyo unajiuliza ni OS ya Harmony au Android? Mbona app za android huwezi kuzi-install kwenye IOS.
Mbona wamerakani wamefanikiwa sana katika hili. Kwanini hao wachina washindwe?Kuunda OS jambo moja watu kuitumia ni jambo lingine.
Unadhani nchi kama Korea imeshindwa kuunda OS, samsung ana hadi OS ya simu lakini sasa ikitoka watu wataitumia.
Maana unaunda OS lakini lazima developers waunde apps na softwares ndipo watumiaji waitumie maana bila hivyo ni sawa na bure. Hilo ndilo lililoiua windows phone. Developers wengi hawakuwa tayari kuunda apps kwa windows phone mwisho ikakosa watumiaji Microsoft akaamua aiue tu maana ni hasara.
So, kumbuka kuna business part and you have to make profit.
Ni kwamba hufuatilii, huawei anayo harmony Os ina run kwenye simu, TV, na gadgets nyingine hadi saa. Hizi simu za Huawei now zina harmony OS.Mbona wamerakani wamefanikiwa sana katika hili. Kwanini hao wachina washindwe?
Unakumbuka
Kwenye hizo battle mchina hajaribu hata. Yeye anaangalia Marekani katengeneza OS gani nzuri ili aitumie.
- Nokia Symbian OS
- Blackberry OS. BBM
- Windows Phone
- Android
- IOS
Utakuja shangaa, Google wanaipiga chini Android wanaleta OS nyingine na mchina anadaka hiyo mpya.