mtoto wa mchungaji
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 279
- 480
Taifa lenye watu wengi zaidi dunia, watu 1,444,251,755 mpaka kufikia tarehe 21/05/2021 kulikuwa na maambukizi mapya 24 tu, sawa na 0.000001, na vifo tangia ugojwa uanze ni watu 4636 tu ndiyo wamepoteza maisha.
Italia imepoteza watu124, 810
Iran imepoteza watu 78194
German imepoteza watu 87,639
India imepoteza watu 291,365
Iraq imepoteza watu 16,137
USA imepoteza watu 602,630
UK pia imepoteza watu 127,701
Chakushangaza ukifika China wenyeji yaani wachina wanawaita Wakristu na Waislamu wapagani tofauti na huku kwetu Uislam na Ukristo ni dini nje ya hapo wote ni wapagani. Na Wachina wanamshukuru Mungu wakati hawamwamini Yesu wala Mtume Muhamad, Allah wala Mungu wa Musa wala wa Yakobo. Na mwaka 1946 Moa Zedongaliongoza operesheni ya kuvunja Makanisa na Misikiti ikiwepo na kuyachoma moto na majengo mengine kuyataifisha kwa shughuli za kiserikali. Na watawa wote wa kigeni walipewa masaa 24 wawe wameondoka nchini. Historia inasema wengi wa Mashekh, Mapadre, Wachungaji na Maaskofu walifia gerezani yaani kama huku kwetu Segerea, nenda kasome utashangaa.
Hivyo hii imekaaje maana mimi Mtoto wa Mchungaji sielewi kwasababu ukichukuwa watu 1,444,251,755 na kutoa 4636 waliokufa kwa Korona unapata watu 1,444,274,119 kwa hisabati hii China kama hawana Korona. Na maana yake Mungu amewasaidia.
Pia leo hii China inakimbiza kiuchumi duniani yaani Marekani ulimi rula, Ujerumani ulimi rula, Ufaransa ulimi rula na wachina wanasema wanamshukuru Mungu amewasaidia, hivi hii ikoje, maana mimi nimezaliwa kanisani na nimelelewa na kusomeshwa na sadaka. Da mi kama sielewi.
Mtoto wa Mchungaji nauliza tu.