China Corona imepungua sana nao wanadai Mungu kawasaidia

Wanaosema Allh, wanamtambua Mungu wa Musa, wanamtambua pia Yesu, hii ina maana Mungu wa waislamu na wakristo ni mmoja

Tuliza kichwa, naomba nikuchanganye zaidi alafu utaelewa. Sikia wakrito msingi wao wa imani ni Ibrahim, Isaka na Yakobo. Waislam msingi wao mkuu wa imani ni Ibrahim, Isaka na Yakobo. Tulia alafu kasome 5:51 Quran sulat Almaida alafu soma 6:14-18 Wakorinto ii.
Hapo ndiyo utaona jinsi kunavyochimbika kati ya Mtume Paulo na Mtume Muhamad.
 
Ni
China si ilistuka mapema influence ya dini zenu mbili ukristo na uislam

Ukweli lzm usemwe dini hizi zilikuja na agenda nyingine nyingi ambazo kwa jicho la tatu huwezi kuziona. sasa wenzetu walistukia mchezo mapemaaaaaaaa na bara ambalo tulikubali kuzipokea bila kufikiria mara mbili mbili ndo lina suffer kwa kuwa bara la giza.

Aliyetudanganya ili uweze kupata access ya Mungu laZima uwe na dini ndo katupeleka chaka..Dini ni moja ya njia ila ufalme wa Mungu upo ndani ya nafsi Zetu toka enzi na enzi kabla hata ya dini,Binadamu alikuwa ana uwezo wa kupata guidance flani kutoka somewhere kusikojulikana ambazo zilikuwa zinaweza kusaidia jamii katika mambo mbali mbali..

Walichofanya wadhungu na waarabu ni ku record waliyojifunza kutoka katika hizo sources na kuzifanya kuwa ni njia pekee ya kumu access Mungu na kwamba nyingine ni uongo BIG NO

Kama Mungu ni upendo hawezi na kamwe hataweza kuua mamillion ya wachina,wahindi ambao wanaabudu masanamu.
Tukubali kuna siri nyingi hatuZijui na tuna hitaji kuwa watu ambao ni open minded kukubali ukweli huu ambao umefichwa sana ila deep down kwenye nafsi zetu tunajua ni ukweli.
Ni Ngumu, Elewa hiyo hekima uliyonayo ndiyo imebeba ukombozi wa mwafrika ndugu inuka na angaza, Hiki ndiyo kizazi chako, asili yako, jamii yako tumedanganywa palefu, hata hawa wazazi wetu hawajui, kunahaja ya kufanya jambo. ndagad@yahoo.com
 
Taifa lenye watu wengi zaidi dunia, watu 1,444,251,755 mpaka kufikia tarehe 21/05/2021 kulikuwa na maambukizi mapya 24 tu, sawa na 0.000001, na vifo tangia ugojwa uanze ni watu 4636 tu ndiyo wamepoteza maisha.

Italia imepoteza watu124, 810
Iran imepoteza watu 78194
German imepoteza watu 87,639
India imepoteza watu 291,365
Iraq imepoteza watu 16,137
USA imepoteza watu 602,630
UK pia imepoteza watu 127,701

Chakushangaza ukifika China wenyeji yaani wachina wanawaita Wakristu na Waislamu wapagani tofauti na huku kwetu Uislam na Ukristo ni dini nje ya hapo wote ni wapagani. Na Wachina wanamshukuru Mungu wakati hawamwamini Yesu wala Mtume Muhamad, Allah wala Mungu wa Musa wala wa Yakobo. Na mwaka 1946 Moa Zedongaliongoza operesheni ya kuvunja Makanisa na Misikiti ikiwepo na kuyachoma moto na majengo mengine kuyataifisha kwa shughuli za kiserikali. Na watawa wote wa kigeni walipewa masaa 24 wawe wameondoka nchini. Historia inasema wengi wa Mashekh, Mapadre, Wachungaji na Maaskofu walifia gerezani yaani kama huku kwetu Segerea, nenda kasome utashangaa.

Hivyo hii imekaaje maana mimi Mtoto wa Mchungaji sielewi kwasababu ukichukuwa watu 1,444,251,755 na kutoa 4636 waliokufa kwa Korona unapata watu 1,444,274,119 kwa hisabati hii China kama hawana Korona. Na maana yake Mungu amewasaidia.

Pia leo hii China inakimbiza kiuchumi duniani yaani Marekani ulimi rula, Ujerumani ulimi rula, Ufaransa ulimi rula na wachina wanasema wanamshukuru Mungu amewasaidia, hivi hii ikoje, maana mimi nimezaliwa kanisani na nimelelewa na kusomeshwa na sadaka. Da mi kama sielewi.

Mtoto wa Mchungaji nauliza tu.
Wewe ni mtoto wa josephat gwajima ?
 
Huyu Mungu wetu tuliyeletewa na wazungu na waarabu kwenye biblia na Quran ndiye aliyeharibu kila kitu chetu! Jiulize kwanini huwa ana wivu Sana kwa wenzake..."Mimi ni Mungu wako, usiwaabudu miungu wengine zaidi yangu..." Hapo si unaelewa kuwa naye hajiamini?

Africa kila kabila/jamii walikuwa na miungu zaidi ya mmoja ambao walikuwa na majukumu tofauti mfano Mungu wa mvua, Mungu bahari na maziwa, Mungu wa mavuno shambani, Mungu wa vizazi nk. Waliombwa kika mmoja kadri ya nahitaji yako na walijibu sawia....Ujinga ukikuja pale wenzetu walipoamua kuunganisha fani zote na kumpa Mungu mmoja ambaye ana wivu, ambaye usipopewa jina la kisasa hakusikilizi, ambaye wafuasi wake wanajivisha mabomu na kujilipua ili wampiganie yeye maana hawezi kujipigania...

Nirudi kwenye mada, watu wa Mashariki kwa maana ya India , China, Japan nk imani zao na miungu wao hawakuvurugwa Sana kama wa huku kwetu..!
Hata hao wazungu na waarabu walishapitia huko tena wao walifikia hadi mtu kujitengenezea kamungu chake mwenyewe.
Ni muhimu kujua kama hizo enzi za miungu mingi ilikuwa ndio usahihi au ilitokana mvurugano baada ya kukosekana usahihi? kwa sababu suala la kila kabila kuwa na mungu wake au kila bara kuwa na mungu wake wewe unaona lina make sense?
 
Naam. Kitendo alichofanya Mao ni cha kutukuka katika ukombozi wa Taifa lililokuwa likitawaliwa.
Najiuliza kwanini Nyerere hakufanya hili?
Inategemea na kile ambacho mtu anakiamini,sasa Nyerere alikuwa mkristo kiimani anaanzaje kuvunja makanisa? ni sawa na leo Kiranga awe kiongozi wa nchi halafu umwambie awateketeze atheists.
 
China si ilistuka mapema influence ya dini zenu mbili ukristo na uislam

Ukweli lzm usemwe dini hizi zilikuja na agenda nyingine nyingi ambazo kwa jicho la tatu huwezi kuziona. sasa wenzetu walistukia mchezo mapemaaaaaaaa na bara ambalo tulikubali kuzipokea bila kufikiria mara mbili mbili ndo lina suffer kwa kuwa bara la giza.

Aliyetudanganya ili uweze kupata access ya Mungu laZima uwe na dini ndo katupeleka chaka..Dini ni moja ya njia ila ufalme wa Mungu upo ndani ya nafsi Zetu toka enzi na enzi kabla hata ya dini,Binadamu alikuwa ana uwezo wa kupata guidance flani kutoka somewhere kusikojulikana ambazo zilikuwa zinaweza kusaidia jamii katika mambo mbali mbali..

Walichofanya wadhungu na waarabu ni ku record waliyojifunza kutoka katika hizo sources na kuzifanya kuwa ni njia pekee ya kumu access Mungu na kwamba nyingine ni uongo BIG NO

Kama Mungu ni upendo hawezi na kamwe hataweza kuua mamillion ya wachina,wahindi ambao wanaabudu masanamu.
Tukubali kuna siri nyingi hatuZijui na tuna hitaji kuwa watu ambao ni open minded kukubali ukweli huu ambao umefichwa sana ila deep down kwenye nafsi zetu tunajua ni ukweli.
Inawzekana neno dini ndio likawa shida ila lile lengo linalokusudiwa kwenye dini ni ngumu kuliepuka, lazima kuwepo na chanzo ambako wote tutapata maelezo yenye kumuhusu huyo Mungu maana kinyume na hivyo kila mtu atakuwa na mtazamo wake kuhusu Mungu.
 
Inategemea na kile ambacho mtu anakiamini,sasa Nyerere alikuwa mkristo kiimani anaanzaje kuvunja makanisa? ni sawa na leo Kiranga awe kiongozi wa nchi halafu umwambie awateketeze atheists.
Sawasawa
 
Ni coincidence TU kwamba Corona imeanzia China na Uchumi wao unapaa.

Moja ya masharti ya Ugonjwa ni kukaa ndani.

Kwamba tusitoke tukazalishe.
 
Taifa lenye watu wengi zaidi dunia, watu 1,444,251,755 mpaka kufikia tarehe 21/05/2021 kulikuwa na maambukizi mapya 24 tu, sawa na 0.000001, na vifo tangia ugojwa uanze ni watu 4636 tu ndiyo wamepoteza maisha.

Italia imepoteza watu124, 810
Iran imepoteza watu 78194
German imepoteza watu 87,639
India imepoteza watu 291,365
Iraq imepoteza watu 16,137
USA imepoteza watu 602,630
UK pia imepoteza watu 127,701

Chakushangaza ukifika China wenyeji yaani wachina wanawaita Wakristu na Waislamu wapagani tofauti na huku kwetu Uislam na Ukristo ni dini nje ya hapo wote ni wapagani. Na Wachina wanamshukuru Mungu wakati hawamwamini Yesu wala Mtume Muhamad, Allah wala Mungu wa Musa wala wa Yakobo. Na mwaka 1946 Moa Zedongaliongoza operesheni ya kuvunja Makanisa na Misikiti ikiwepo na kuyachoma moto na majengo mengine kuyataifisha kwa shughuli za kiserikali. Na watawa wote wa kigeni walipewa masaa 24 wawe wameondoka nchini. Historia inasema wengi wa Mashekh, Mapadre, Wachungaji na Maaskofu walifia gerezani yaani kama huku kwetu Segerea, nenda kasome utashangaa.

Hivyo hii imekaaje maana mimi Mtoto wa Mchungaji sielewi kwasababu ukichukuwa watu 1,444,251,755 na kutoa 4636 waliokufa kwa Korona unapata watu 1,444,274,119 kwa hisabati hii China kama hawana Korona. Na maana yake Mungu amewasaidia.

Pia leo hii China inakimbiza kiuchumi duniani yaani Marekani ulimi rula, Ujerumani ulimi rula, Ufaransa ulimi rula na wachina wanasema wanamshukuru Mungu amewasaidia, hivi hii ikoje, maana mimi nimezaliwa kanisani na nimelelewa na kusomeshwa na sadaka. Da mi kama sielewi.

Mtoto wa Mchungaji nauliza tu.

Kuna hatari wachina wakawa wanadhani ni jamii ya mwendazake maana huyo pamoja na kupoteza wengine alikuwa akijinasibu kuwa ni mtu wa Mungu mno.
 
Back
Top Bottom