China Corona imepungua sana nao wanadai Mungu kawasaidia

Wanaosema Allh, wanamtambua Mungu wa Musa, wanamtambua pia Yesu, hii ina maana Mungu wa waislamu na wakristo ni mmoja
Wanaosema Allh, wanamtambua Mungu wa Musa, wanamtambua pia Yesu, hii ina maana Mungu wa waislamu na wakristo ni mmoja
Tuliza kichwa, naomba nikuchanganye zaidi alafu utaelewa. Sikia wakrito msingi wao wa imani ni Ibrahim, Isaka na Yakobo. Waislam msingi wao mkuu wa imani ni Ibrahim, Isaka na Yakobo. Tulia alafu kasome 5:51 Quran sulat Almaida alafu soma 6:14-18 Wakorinto ii.
Hapo ndiyo utaona jinsi kunavyochimbika kati ya Mtume Paulo na Mtume Muhamad.
 
Ni
Ni Ngumu, Elewa hiyo hekima uliyonayo ndiyo imebeba ukombozi wa mwafrika ndugu inuka na angaza, Hiki ndiyo kizazi chako, asili yako, jamii yako tumedanganywa palefu, hata hawa wazazi wetu hawajui, kunahaja ya kufanya jambo. ndagad@yahoo.com
 
Wewe ni mtoto wa josephat gwajima ?
 
Hata hao wazungu na waarabu walishapitia huko tena wao walifikia hadi mtu kujitengenezea kamungu chake mwenyewe.
Ni muhimu kujua kama hizo enzi za miungu mingi ilikuwa ndio usahihi au ilitokana mvurugano baada ya kukosekana usahihi? kwa sababu suala la kila kabila kuwa na mungu wake au kila bara kuwa na mungu wake wewe unaona lina make sense?
 
Naam. Kitendo alichofanya Mao ni cha kutukuka katika ukombozi wa Taifa lililokuwa likitawaliwa.
Najiuliza kwanini Nyerere hakufanya hili?
Inategemea na kile ambacho mtu anakiamini,sasa Nyerere alikuwa mkristo kiimani anaanzaje kuvunja makanisa? ni sawa na leo Kiranga awe kiongozi wa nchi halafu umwambie awateketeze atheists.
 
Inawzekana neno dini ndio likawa shida ila lile lengo linalokusudiwa kwenye dini ni ngumu kuliepuka, lazima kuwepo na chanzo ambako wote tutapata maelezo yenye kumuhusu huyo Mungu maana kinyume na hivyo kila mtu atakuwa na mtazamo wake kuhusu Mungu.
 
Inategemea na kile ambacho mtu anakiamini,sasa Nyerere alikuwa mkristo kiimani anaanzaje kuvunja makanisa? ni sawa na leo Kiranga awe kiongozi wa nchi halafu umwambie awateketeze atheists.
Sawasawa
 
Ni coincidence TU kwamba Corona imeanzia China na Uchumi wao unapaa.

Moja ya masharti ya Ugonjwa ni kukaa ndani.

Kwamba tusitoke tukazalishe.
 

Kuna hatari wachina wakawa wanadhani ni jamii ya mwendazake maana huyo pamoja na kupoteza wengine alikuwa akijinasibu kuwa ni mtu wa Mungu mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…