China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

Nahiyo ml.6 itatosha pamoja na nauri?
 
Skukrani kwa kushare uzoefu, kama mtu akitaka kufanya biashara ya kuagiza mikoba ya kike kutoka huko kuja Tz anaweza fata utaratibu gani? naomba kujua kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii
 
Asante kwa taarifa hii muhimu, ni imani yangu kuwa taarifa hii itawasaidia wengi
 
Tunashukuru sana kwa ushauri na uchambuzi ,Lakini kumbuka hayo.makampuni kama silent ocean ndio wale wanaoitwa home shoping centre waliosababisha hasara Tanzania kwa kukwepa kodi na kutolosha makontainer bandarini na kampuni zao za GSM na home shoping centre wamesababisha watu wengi kufilisika kwa kuwa watu wengi wamejikuta wanadaiwa na TRA epukeni hiyo kampuni kusafilisha ,Hizo zingine kama the bridge wako sawa
 
Nasisi tuanze kupelekeka mazaga kwao.sio wao tu watuletee sisi
 
Mimi Nataka Nipeleke Madin China Na Mawe Ya Thamani Naanzaje Umeelezea Tu Wafanyabiashara Kwenda Kununua Kwao Kwenda Kuuza Je Inakuwaje
 
Naomba kujua bei ya namba 3 na pia mimi huwa najasiriamalika kwa kutengeneza sabuni za maji na miche.Naweza pata mashine yake?Bei gani?Asante
 
KCB BANK wameanzisha kitu inaitwa Biashara Club nilialikwa kwenye Uzinduzi wake.

Kwa walivyoielezea ni nzuri sana kwa wafanyabiashara wanaoagiza au kununua vitu nje.

Biashara Club inakuunganisha na mawakala wa nje na unakuwa na punguzo kwa wasafiri pia inakuunganisha na wafanyabiashara wenzako wa wa ndani na nje.

Kuna fursa ya kupata nafasi za kuhudhuria kwenye maonyesho ya biashara katika nchi mbalimbali yanapotokea.

Punguzo katika Gharama za malazi katika nchi unayokwenda Kwasababu Biashara Club inakuunganisha na mawakala wanaomanika kwa hiyo wanakusaidia kupata sehemu za bei nafuu kulingana na bajeti yako.

Fursa nyingine Biashara Club itakusaidia kumpata wakala atakayekusaidia kukufikisha hadi viwandani/kutafuta bidhaa uzitakazo.

Pia Usafiri wa kuleta bidhaa huku inaweza kuwa na unafuu sababu Biashara Club ni mjumuiko wa Wafanyabiashara wengi kwa hiyo mnaweza kupata wenzako mkachanga mizigo mkaiweka kwenye Kontena moja.

Nimeona nilete hii information hapa ili kama kutakuwa na atakayevutiwa awaone..... Ukipata wewe na mimi napata unataka kujua napataje? Tulia hivyo hivyo.
 
Skukrani kwa kushare uzoefu, kama mtu akitaka kufanya biashara ya kuagiza mikoba ya kike kutoka huko kuja Tz anaweza fata utaratibu gani? naomba kujua kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii
Natoa hiyo huduma. Unaweka oda, kisha unalipia nusu ya gharama.Mzigo wako ukifika Tanzania unamalizia gharama iliyobakia. Tuwasiliane zaidi PM kama unahitaji.
 
Asante kwa taarifa hii muhimu, ni imani yangu kuwa taarifa hii itawasaidia wengi
Ninataka kutengeneza√ print nguo za clothline yangu pamoja na stationary line.Nimejaribu kufuatilia Nikaambiwa wasanii wengi wanafanyia China.Unaweza kusaidia kunipa mwanga kuhusu hili na gharama zake zikoje mkuu.
 
safi mkuu. vip kwenye swala la exportation unauzoefu....!?
 
Natoa hiyo huduma. Unaweka oda, kisha unalipia nusu ya gharama.Mzigo wako ukifika Tanzania unamalizia gharama iliyobakia. Tuwasiliane zaidi PM kama unahitaji.
Habari mkuu vipi kuhusu vifaa vya TV . subwoofer. Radio namaanisha ic zake na vinginevyo?
 
Habari mkuu vipi kuhusu vifaa vya TV . subwoofer. Radio namaanisha ic zake na vinginevyo?
vipo na vinapatikana. Kujua bei zake pitia tovuti zilizopo kwenye uzi mwanzoni nilieleza. Ama kama unataka tufanye biashara, karibu sana mkuu ,tuwasiliane PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…