China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

Visa nenda ubalozi wa china.kama ni mara ya kwanza procedure zinaweza zikakusumbua,ukimtumia agent ili upate visa sio mbaya sana.ukihitaji mawasiliano ya agent hapo dar nijulishe.tiketi inafatana na msimu.msimu huu wa baridi tiketi ni bei rahisi kidogo.kuhusu siku za kushop it depends na u sharp wako
Nahiyo ml.6 itatosha pamoja na nauri?
 
Skukrani kwa kushare uzoefu, kama mtu akitaka kufanya biashara ya kuagiza mikoba ya kike kutoka huko kuja Tz anaweza fata utaratibu gani? naomba kujua kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii
 
Safi sana kwa ushauri mzuri, uliongeo yote yana ukweli ndani yake! pia sisi ni kampuni (Traders Easy Way-TEW) tunawasadia wafanyabiashara wanaohitaji bidhaa kutoka China na pia tunatoa uduma ya usafirishaji na clearance bandarini.Kuhusu suala la ubora tuna utaratibu maalumu ambao tunatumia na kuakikisha bidhaa tunazo source na kusupply zina ubora na zinaendana na mahitaji ya mteja.

Kwa habari zaidi kuhusu kampuni yetu, tembelea website yetu ili uwezejua jinsi tunavyotoa huduma Traders Easy Way - The exporter from China - Welcome to Traderseasyway
facebook page: Traders Easy Way
WhatsApp: +86 15996481355, email: info@traderseasyway.com.
Asante kwa taarifa hii muhimu, ni imani yangu kuwa taarifa hii itawasaidia wengi
 
Tunashukuru sana kwa ushauri na uchambuzi ,Lakini kumbuka hayo.makampuni kama silent ocean ndio wale wanaoitwa home shoping centre waliosababisha hasara Tanzania kwa kukwepa kodi na kutolosha makontainer bandarini na kampuni zao za GSM na home shoping centre wamesababisha watu wengi kufilisika kwa kuwa watu wengi wamejikuta wanadaiwa na TRA epukeni hiyo kampuni kusafilisha ,Hizo zingine kama the bridge wako sawa
 
Mkuu, in most cases hawa jamaa wanahitaji MALI GHAFI kama vile MBAO zenye ubora ili kutengenezea samani mbalimbali. Pia wanahitaji sea products kama samaki wa aina mbalimbali kwa ajili ya kusindika.
Bidhaa nyingine ambazo watanzania tunaweza kuuza kwao ni kahawa, matunda hasa maembe! Juice ya maembe iko ghali sana China na nadhani ni kwa sababu wao hawalimi.
Nyama ya NG'OMBE hasa wanaotoka huku kwetu ni WATAMU ukilinganisha na nyama inayouzwa China ambayo haitoshelezi soko. . Ikumbukwe kuwa kuku na kitimoto ndio nyama rahisi inayoliwa na wachima
Nasisi tuanze kupelekeka mazaga kwao.sio wao tu watuletee sisi
 
Mimi Nataka Nipeleke Madin China Na Mawe Ya Thamani Naanzaje Umeelezea Tu Wafanyabiashara Kwenda Kununua Kwao Kwenda Kuuza Je Inakuwaje
 
Mkuu , huo mtaji wa 5000 USD( 5000X6.2 元= 31,000 &#20803😉huo ni mtaji mkubwa tu na unaweza kufanya biashara kwa baadhi ya vitu ikiwa tu hiyo itakuwa ni nje ya nauli na pesa ya kujikimu.
BACK TO YOUR QN. Sina current price ya baadhi ya machines lakini unaweza kununua machine zifuatazo kwa mtaji wako:
1. Machine ya kutengeza bisi(popcorn )
2. Machine ya kutengeneza ice cream/ barafu
3. mashine ya kutengenezea juice mbalimbali(juicer). kama machungwa(ninayo MPYA ambayo haitumii umeme, ukihitaji tuwasiliane)
4. Mashine ya kukaangia chips(ninayo MPYA,ukihitaji tuwasiliane)
5. Mashine ya kutotolea vifaranga
6. Mashine ya kubania glasi za juice km take away(ninayo MPYA, ntafute kama unahitaji )
Nk. Wengine wataongezea
Naomba kujua bei ya namba 3 na pia mimi huwa najasiriamalika kwa kutengeneza sabuni za maji na miche.Naweza pata mashine yake?Bei gani?Asante
 
KCB BANK wameanzisha kitu inaitwa Biashara Club nilialikwa kwenye Uzinduzi wake.

Kwa walivyoielezea ni nzuri sana kwa wafanyabiashara wanaoagiza au kununua vitu nje.

Biashara Club inakuunganisha na mawakala wa nje na unakuwa na punguzo kwa wasafiri pia inakuunganisha na wafanyabiashara wenzako wa wa ndani na nje.

Kuna fursa ya kupata nafasi za kuhudhuria kwenye maonyesho ya biashara katika nchi mbalimbali yanapotokea.

Punguzo katika Gharama za malazi katika nchi unayokwenda Kwasababu Biashara Club inakuunganisha na mawakala wanaomanika kwa hiyo wanakusaidia kupata sehemu za bei nafuu kulingana na bajeti yako.

Fursa nyingine Biashara Club itakusaidia kumpata wakala atakayekusaidia kukufikisha hadi viwandani/kutafuta bidhaa uzitakazo.

Pia Usafiri wa kuleta bidhaa huku inaweza kuwa na unafuu sababu Biashara Club ni mjumuiko wa Wafanyabiashara wengi kwa hiyo mnaweza kupata wenzako mkachanga mizigo mkaiweka kwenye Kontena moja.

Nimeona nilete hii information hapa ili kama kutakuwa na atakayevutiwa awaone..... Ukipata wewe na mimi napata unataka kujua napataje? Tulia hivyo hivyo.
 
Skukrani kwa kushare uzoefu, kama mtu akitaka kufanya biashara ya kuagiza mikoba ya kike kutoka huko kuja Tz anaweza fata utaratibu gani? naomba kujua kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii
Natoa hiyo huduma. Unaweka oda, kisha unalipia nusu ya gharama.Mzigo wako ukifika Tanzania unamalizia gharama iliyobakia. Tuwasiliane zaidi PM kama unahitaji.
 
Asante kwa taarifa hii muhimu, ni imani yangu kuwa taarifa hii itawasaidia wengi
Ninataka kutengeneza√ print nguo za clothline yangu pamoja na stationary line.Nimejaribu kufuatilia Nikaambiwa wasanii wengi wanafanyia China.Unaweza kusaidia kunipa mwanga kuhusu hili na gharama zake zikoje mkuu.
 
Natoa hiyo huduma. Unaweka oda, kisha unalipia nusu ya gharama.Mzigo wako ukifika Tanzania unamalizia gharama iliyobakia. Tuwasiliane zaidi PM kama unahitaji.
Habari mkuu vipi kuhusu vifaa vya TV . subwoofer. Radio namaanisha ic zake na vinginevyo?
 
Habari mkuu vipi kuhusu vifaa vya TV . subwoofer. Radio namaanisha ic zake na vinginevyo?
vipo na vinapatikana. Kujua bei zake pitia tovuti zilizopo kwenye uzi mwanzoni nilieleza. Ama kama unataka tufanye biashara, karibu sana mkuu ,tuwasiliane PM.
 
Back
Top Bottom