China ililazimisha jamii ndogo ya waislamu wa huko watume video zao kuonyesha wanakula kipindi cha ramadhani

Kwangu mimi tatizo siyo Uislam, tatizo ni extremism! Kujiona wao dini yao ndiyo dini na nyingne ni kafir/haram/deserve no existence! Short of that kila mmoja aachwe aamini/AABUDU anachokiamini AS LONG AS HAINGILII UHURU WA MTU MWINGINE!
Nipo pamoja na wewe, isipokuwa kuna upofu uliouvaa machoni mwako saazingine bila kuuelewa na kujikuta unadumbukia katika kundi hilo hilo la wafia dini.

Hivi hili genge la wajasiria dini akina Mwamposa, Gwajima and the like ni wa kuacha waendelee kusongoroa midomo yao kufirisi raia kwa kuwajaza hofu kupitia vitabu vya dini, kisa uhuru wa kuabudu?

Embu tulitafakari na hili mkuu!
 
sio Muslim tu hata huku kwingine, Amri za mungu walipewa watumwa walioko nchini Egypt
Halafu utakuta msukuma au mmyakusya anapambania hiyo bibilia hatari, 😂😂😂😂 watu hua hawasomi haya maneno
 
🤣🤣jamaa kakonda kwa kuwaandama waislamu...Hizi porojo china wanasajili dini na uislamu unatambulika mpaka Korea ,kuna youtube huko koera anatoa somo.

Jamaa achana na hizi mambo tafuta content nyingine ..Mwenzio webabu anaongela pande zote ile wenye una nyege kilq siku waislamu tu ...
 
Yes. Mambo ya kulazimishana dini yamepitwa na wakati tena hasa kulazimisha dini kWa njia ya ugaidi na vitisho
Muislamu anaswali swala 5 a kufuata mafundisho kwa hiari yake ..Je wapi ulisikia waislamu wanalazimisha watu waswali...Misikiti haina watu wala hakuna anayelazimishwa ,na ukimlazimisha mtu ni makosa tena ushirikina..Kaacha kumwogopa Mungu anakuogopa wewe.
 
Unawachukia waislam mpaka unaokoteza vijihabari vya propaganda ili kuupa moyo wako amani unasikitisha.
Acha kukazq fuvu , dini hiyo sio yako ni kuletwa na mashua , na jamaa kaandika ukwel

Waisla wanakimbia nchi zao ila wanapofika sehm zeny ustaarab wanaanza leta fujo na kupafanya pawe kama kule walipokimbia
 
Hv unapata faida gan kudanganya ? Tumeona marq kadhaa wakimshambulia Diamond kwann alikuwa haswali siku za nyuma .

Uislam unaeza kuwa dini ya shetan maana mnaamin katika uongo sana
 
Bora hao kuliko waislam wanaofundisha kuua wasio amini kweny uislam

Hao matapeli hawamlamishi kuamin katika dini yao wala kumlazimisha kuja kanisani kwao au kumdai mtu sadaka kww nguvu

Ila uislam kuanzia madrassa unafundisha chuki dhidi ya wasio waislam pia unatumia mifano ya uongo ili kuvuruga akili ya mtoto

Kipindi wakristu wanaambi mpende kila mtu ( bila kujali dini yake ) kama unavyompenda bwana mungu wako maana huez mpenda mungu usie kuona halafu ukadai humpend mtu unaemuona mmeumbwa kwa mfanano mmoja

Nliwai soma madrassa moja hapo Tababa Alfarouq , nliona uchafu mwingi sn na hamasa nying za uongo , wengi ambao walikuwa hawajui lolote kuhusu ukristu waliondoka na zile sumu , kweny lile kundi letu miaka mingi baadae nlisikia mmoja wapo alikuja kamatwa Kenya kwenye tukio la Ugaid huko kaskazin masharik ya Kenya

UISLAM NI KIRUSI KWENY JAMII ILIYOSTAARABIKA , UISLAM HATA KWENY JAMII YA KIISLAM TU BAS HAITAIACHA HIYO JAMII NA AMANI LZM KUNA MAFUNDISHO YAO YATAWAVURUGA TU
 
Wachina wanaamini kuwa Uislamu ni ugonjwa wa akili, sijui ni nani aliwaamisha mawazo haya batili.
 
Hv unapata faida gan kudanganya ? Tumeona marq kadhaa wakimshambulia Diamond kwann alikuwa haswali siku za nyuma .

Uislam unaeza kuwa dini ya shetan maana mnaamin katika uongo sana
🤣🤣🤣 Unajidanganya wapi wanamlazimisha hata yule Mwijaku haswali swala 5 ...Achana na porojo mtu anaswali kwa moyo wake sio kumlazikisha ..Wewe unakuwa mnoko kama Mwijaku.
 
...China Lengo lao ni moja (uchumi) hawataki chochote kinachowatengenisha ikiwemo...dini. Hii ndio maana halisi ya serikali haina dini sio huku kila teuzi tunaangalia ateuliwe Yusuf au Joseph badala ya utendaji.
 
Wawadhibiti mapema kabla hawajaanza kuharibu miundombinu yao kwa mabomu kisa kumtetea Allah 😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…