Kila anachofanya Rais Samia Suluhu lazima kilete matokeo chanya lakini kwakua wewe unaangalia in negative way hauwezi kuona lakini sisi wafanyabiashara tunasema Rais Samia Suluhu ametufungulia milango ya kibiashara
Akiwemo na huyu au??Ukiona hivyo ujue serikali ya tanzania nayo imekubali kuwaachia wahalifu wooooote wa kichina waliokuwa wanashikiliwa kwa makosa mbalimbali waliyofanya humu nchini ikiwemo ujangili....!
Naam utawapelekea Kware ila wauza nyanya, vitunguu swaumu, smart phones na all junks huenda wakakosa kuuza chochote kwa kukosa / kushindwa ku-compete kwa soko la ndani kuwa flooded na chinese junk products (cheap) wakati wewe soya yako au kware wako huko Uchina waki-compete na American and all other products world over (na wewe kwa kutumia huu umeme wa Makamba, maji na pumba / chakula cha kuokoteleza, freights za bei ya juu ya Kg n.k. unadhani uta-compete ? Juzi tu hapa wauza mayai walianza kulia lia mayai kutoka Kenya bei rahisi wanashindwa kuuza;Afadhali nianze kuwapelekea mayai ya kware
Alafu kuna lipuuzi huko linakuja kudai Samia asipongezwe
Bidhaa zilizondelewa kodi asilimia kubwa wachuuzi wake humu bongo ni kutoka china.
Kifupi wachina wamejitafutia soko uchinani
Mbona kama umeshashindwa kabla ya kujaribu?Naam utawapelekea Kware ila wauza nyanya, vitunguu swaumu, smart phones na all junks huenda wakakosa kuuza chochote kwa kukosa / kushindwa ku-compete kwa soko la ndani kuwa flooded na chinese junk products (cheap) wakati wewe soya yako au kware wako huko Uchina waki-compete na American and all other products world over (na wewe kwa kutumia huu umeme wa Makamba, maji na pumba / chakula cha kuokoteleza, freights za bei ya juu ya Kg n.k. unadhani uta-compete ? Juzi tu hapa wauza mayai walianza kulia lia mayai kutoka Kenya bei rahisi wanashindwa kuuza;
Am all for Fair Trade ingawa kinachotokea duniani sasa Trade is neither Free nor Fair..., Na TBS yetu tunavyoijua tuwe aware tusianze kuletewa hata products mbovu ki-afya
Kumbuka pia kuna Mkataba kama huu na European Unions, to put it mildly ni kama wewe una duka la Mangi jirani yako akafungua supermarket yenye bidhaa za bei ya kutupa kutokana na uwezo wake wa kununua Jumla Jumla.., guess what will happen (unless umuuzia duka lako ageuze car park)
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Kwa mara ya kwanza Jamhuri ya watu wa China imepitisha uamuzi wa kuondoa kodi (Zero-Tarrif) kwa asilimia 98 ya bidhaa zinazotoka Tanzania kuanzia Mosi Disemba 2022. Msamaha huu kwa bidhaa za Tanzania ni matokeo ya juhudi za Rais Samia katika kukuza diplomasia.
Bidhaa zilizoondolewa ushuru ni pamoja na bidhaa za bahari, Korosho, Parachichi, Karafuu, Kahawa, bidhaa za madini, Tumbaku, bidhaa za ngozi n.k, China ni soko lenye watu zaidi ya bilioni 1.4 ikiongoza Duniani na pia ikiwa na pato ghafi (GDP) linalo kadiriwa kuwa zaidi ya Dola Trilioni 17.
Kwa mujibu wa Takwimu zilizopo, katika kipindi cha Mwezi Octoba 2022 ukilinganisha na kipindi kama hiki mwaka
2021, Tanzania imeendelea kuimarisha uwezo wake wa kuuza bidhaa nje(Export) ambapo kiwango kimeongezeka kutoka Dola Bilioni 9.4 hadi Dola Bilioni 11.6. Kasi hii ni kubwa na inayotoa tumaini kubwa.
Pia, katika maeneo mengine kiuchumi serikali chini ya Rais Samia inaendele kufanya vizuri, mfano katika Mfumuko wa Bei, kiwango kimeendelea kuwa cha 5.4% (Single digit index), ni nchi chache Duniani zenye kiwango hiki.
Harafu utasikia Mama anasafiri sana Hakuna analofanya..Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Kwa mara ya kwanza Jamhuri ya watu wa China imepitisha uamuzi wa kuondoa kodi (Zero-Tarrif) kwa asilimia 98 ya bidhaa zinazotoka Tanzania kuanzia Mosi Disemba 2022. Msamaha huu kwa bidhaa za Tanzania ni matokeo ya juhudi za Rais Samia katika kukuza diplomasia.
Bidhaa zilizoondolewa ushuru ni pamoja na bidhaa za bahari, Korosho, Parachichi, Karafuu, Kahawa, bidhaa za madini, Tumbaku, bidhaa za ngozi n.k, China ni soko lenye watu zaidi ya bilioni 1.4 ikiongoza Duniani na pia ikiwa na pato ghafi (GDP) linalo kadiriwa kuwa zaidi ya Dola Trilioni 17.
Kwa mujibu wa Takwimu zilizopo, katika kipindi cha Mwezi Octoba 2022 ukilinganisha na kipindi kama hiki mwaka
2021, Tanzania imeendelea kuimarisha uwezo wake wa kuuza bidhaa nje(Export) ambapo kiwango kimeongezeka kutoka Dola Bilioni 9.4 hadi Dola Bilioni 11.6. Kasi hii ni kubwa na inayotoa tumaini kubwa.
Pia, katika maeneo mengine kiuchumi serikali chini ya Rais Samia inaendele kufanya vizuri, mfano katika Mfumuko wa Bei, kiwango kimeendelea kuwa cha 5.4% (Single digit index), ni nchi chache Duniani zenye kiwango hiki.
Kujaribu nini tena ? Naangalia kama nchi na track record ipo vipi...; Sijiangalii mimi kama mimi naangalia mfumo mzima; naangalia watu wote...Mbona kama umeshashindwa kabla ya kujaribu?
acha upuuzi wewe juhudi gani alizofanya.Juhudi za Rais Samia Suluhu maana bila ziara yake tusingepata offer hii
Punguza jazba mzee juhudi ni za Rais Samia Suluhu akishilikiana na wananchiacha upuuzi wewe juhudi gani alizofanya.
Pongezi ziende kwa wananchi wa Tanzania walio katika sekta hiyo huku wakikomaa na kupambana kusukuma uchumi wa nchi.
huyo Rahisi wako kafanya kitu gani?
Alaaaa