China imevunja rekodi ya ujenzi kwa kujenga nyumba yenye ghorofa 10 kwa Saa 28hrs

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
💡China wako mbele ya muda Aiseeeh!!!!!

1_20250512_191509_0000.png

💭 China imefanikiwa kuweka rekodi ya kipekee ulimwenguni baada ya kuwa nchi ya kwanza kujenga nyumba ya ghorofa 10 yenye ndani ya saa 28 imekamilika na kuanza kutumika.

💭 Walitumia njia za kisasa moja wapo ni kuweza kutengeneza sehemu moja moja na kuziunganisha kwa haraka na kuziweka kwa pamoja kwa haraka kama ilivyo ujenzi wa madaraja nk.

2_20250512_191509_0001.png

💭 Wataalamu wanasema njia hii inaweza kubadilisha jinsi tunavyojenga nyumba katika miji yenye shughuli nyingi, ambapo wakati na nafasi ni changamoto kubwa.

Tukio ili ambalo lilitokea mwaka 2021 nchini china kupitia Kampuni ya Broad Group ilijenga ghorofa 10 kwenye jiji la Changsha kwa Saa 28hrs TU.
 
Wale Wengine wampambania vita tu kama mazoba ... Superpower ni china maana jamaa kaomba po.
 
💡China wako mbele ya muda Aiseeeh!!!!!

View attachment 3331959

💭 China imefanikiwa kuweka rekodi ya kipekee ulimwenguni baada ya kuwa nchi ya kwanza kujenga nyumba ya ghorofa 10 yenye ndani ya saa 28 imekamilika na kuanza kutumika.

💭 Walitumia njia za kisasa moja wapo ni kuweza kutengeneza sehemu moja moja na kuziunganisha kwa haraka na kuziweka kwa pamoja kwa haraka kama ilivyo ujenzi wa madaraja nk.

View attachment 3331960

💭 Wataalamu wanasema njia hii inaweza kubadilisha jinsi tunavyojenga nyumba katika miji yenye shughuli nyingi, ambapo wakati na nafasi ni changamoto kubwa.

Tukio ili ambalo lilitokea mwaka 2021 nchini china kupitia Kampuni ya Broad Group ilijenga ghorofa 10 kwenye jiji la Changsha kwa Saa 28hrs TU.
Kanuni za ujenzi hazikubaliani ndgu,,,,uhandisi majengo n taaluma ambayo inaongozwa na kanuni zake Dunia nzima zinajulikana,n sawa utwambie mchina amegundua hesabu 1×2=12,kanuni ya Dunia kimahesabu inakataa
 
Kujenga kunahusisha kufabricate hizo units. Fabrication haikufanyika ndani ya hayo masaa bali ilifanyika kabla ndio wakaja kuassamble na kusimamisha ndani ya hayo masaa. Kwa hiyo kutumia neno 'kujenga' sio sahihi maana inaweza kueleweka kuwa kila kitu kilifanyika ndani ya hayo masaa wakati sio kweli.
 
💡China wako mbele ya muda Aiseeeh!!!!!

View attachment 3331959

💭 China imefanikiwa kuweka rekodi ya kipekee ulimwenguni baada ya kuwa nchi ya kwanza kujenga nyumba ya ghorofa 10 yenye ndani ya saa 28 imekamilika na kuanza kutumika.

💭 Walitumia njia za kisasa moja wapo ni kuweza kutengeneza sehemu moja moja na kuziunganisha kwa haraka na kuziweka kwa pamoja kwa haraka kama ilivyo ujenzi wa madaraja nk.

View attachment 3331960

💭 Wataalamu wanasema njia hii inaweza kubadilisha jinsi tunavyojenga nyumba katika miji yenye shughuli nyingi, ambapo wakati na nafasi ni changamoto kubwa.

Tukio ili ambalo lilitokea mwaka 2021 nchini china kupitia Kampuni ya Broad Group ilijenga ghorofa 10 kwenye jiji la Changsha kwa Saa 28hrs TU.
Na kwa mafanikio haya ya wachina huko kwao, sifa zote ziende kwa mama, Dr...

Maana ni mwendo wa praise and worship.
 
Kanuni za ujenzi hazikubaliani ndgu,,,,uhandisi majengo n taaluma ambayo inaongozwa na kanuni zake Dunia nzima zinajulikana,n sawa utwambie mchina amegundua hesabu 1×2=12,kanuni ya Dunia kimahesabu inakataa
Hizo kanuni si za zege?

Mfano Mimi nikibebanisha makontena yangu 3 kwenda juu si tayari Ghorofa 3? Unayabebanisha fasta fasta kuvunja rekodi.

Hapa Tanzania kuna watu wanajenga nyumba za maboya zile, wanaweza hata wakaijengeea site Wakaja kwenye Kiwanja chako kuipachika.
 
💡China wako mbele ya muda Aiseeeh!!!!!

View attachment 3331959

💭 China imefanikiwa kuweka rekodi ya kipekee ulimwenguni baada ya kuwa nchi ya kwanza kujenga nyumba ya ghorofa 10 yenye ndani ya saa 28 imekamilika na kuanza kutumika.

💭 Walitumia njia za kisasa moja wapo ni kuweza kutengeneza sehemu moja moja na kuziunganisha kwa haraka na kuziweka kwa pamoja kwa haraka kama ilivyo ujenzi wa madaraja nk.

View attachment 3331960

💭 Wataalamu wanasema njia hii inaweza kubadilisha jinsi tunavyojenga nyumba katika miji yenye shughuli nyingi, ambapo wakati na nafasi ni changamoto kubwa.

Tukio ili ambalo lilitokea mwaka 2021 nchini china kupitia Kampuni ya Broad Group ilijenga ghorofa 10 kwenye jiji la Changsha kwa Saa 28hrs TU.
Tumshukuru mheshimiwa daktari profesa SSH kwa hili. Kweli anaupiga mwingi.
 
Sisi tanzania tuna uwezo wa kuandika nyimbo ya kumuimbia mama kwa saa 28
 
💡China wako mbele ya muda Aiseeeh!!!!!

View attachment 3331959

💭 China imefanikiwa kuweka rekodi ya kipekee ulimwenguni baada ya kuwa nchi ya kwanza kujenga nyumba ya ghorofa 10 yenye ndani ya saa 28 imekamilika na kuanza kutumika.

💭 Walitumia njia za kisasa moja wapo ni kuweza kutengeneza sehemu moja moja na kuziunganisha kwa haraka na kuziweka kwa pamoja kwa haraka kama ilivyo ujenzi wa madaraja nk.

View attachment 3331960

💭 Wataalamu wanasema njia hii inaweza kubadilisha jinsi tunavyojenga nyumba katika miji yenye shughuli nyingi, ambapo wakati na nafasi ni changamoto kubwa.

Tukio ili ambalo lilitokea mwaka 2021 nchini china kupitia Kampuni ya Broad Group ilijenga ghorofa 10 kwenye jiji la Changsha kwa Saa 28hrs TU.
Ao jamaa ni noma sana siwa pingi ao wa tz kama tukiwa na umoja kama wao tutafika mbali sana miaka ya 1950 uko walikua miongoni mwa nchi masikini lakini sasa ni tishio
 
Back
Top Bottom