Hajaongelea zege!Hizo kanuni si za zege?
Mfano Mimi nikibebanisha makontena yangu 3 kwenda juu si tayari Ghorofa 3? Unayabebanisha fasta fasta kuvunja rekodi.
Hapa Tanzania kuna watu wanajenga nyumba za maboya zile, wanaweza hata wakaijengeea site Wakaja kwenye Kiwanja chako kuipachika.
Ameongelea kanuni majengo, au labda tuite Structural Mechanic, hayo ni mambo ya Beams, Bending and Torsion
Hizi ni hesabu zinazofanywa na simulationn ya Finite Element Analysis
Na ndio haya makontena yanavyoshuka sasa...yote mazima...