China imewataka raia wake waondoke Ukraine haraka

Watakua walichelewa vita ilianza Feb wao wanatangaza leo wakati Nchi zote zilikua zinahangaika kutoa watu wake wao walikua wanafanya nini? Mrusi kashashindwa vita msitake kutishana wakati giza linaenda kuisha...
Urusi kashindwa vita huku aiwa anakalia majimbo manne ya Ukraine. Hebu fafanua hapa mkuu.
Ukute una akili nyingi sana na unaona vitu tofauti alna watu wengine😄😄😄😄😄😄
 
Wewe Nani kakumbia Urusi wanataka kuiteka Kiev?
Mwez Feb walienda kufanya nn kiev ? je hujui maana kuutoa utawala wa nchi fulan kijeshi ? , au unautoaj utawala bila kushika makao makuu ya nchi ? ( labda km kuna mbinu mpya huko kwenu chitohor ) , Ushabiki wenu unawatia uchiz soon mtaokota makopo
 
Naona deployment kubwa sana ya kamikaze from all angles na Kiev ni centre ya mapigano mpaka mtu anyooshe mikono.

Na nahisi bulava will be deployed ti break bunkers once CiC is at large. Vita inaisha na watoa msaada ndio mwisho.
Unalenga raia hlf unataka wanajesh wasalimu ?
 
Urusi kashindwa vita huku aiwa anakalia majimbo manne ya Ukraine. Hebu fafanua hapa mkuu.
Ukute una akili nyingi sana na unaona vitu tofauti alna watu wengine[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
sasa kwann awaombe wachina warudi home ?
 
Urusi kashindwa vita huku aiwa anakalia majimbo manne ya Ukraine. Hebu fafanua hapa mkuu.
Ukute una akili nyingi sana na unaona vitu tofauti alna watu wengine😄😄😄😄😄😄
Tusubiri muda mkuu katika vitu nisivyoweza kushabikia ni Vita maana najua madhara yaliyopo huko...ukitaka mambo ya ushabiki njoo majukwaa ya mpira nipo Madrid, Arsenal na Yanga ni kweli nina akili Timamu siwezi kushangilia watu wakifa hovyo iwe Urusi au Ukraine..
 
Unalenga raia hlf unataka wanajesh wasalimu ?
Tulia 17.9% ya nchi ime hukuliwa ambapo ni 30% ya mapato ya nchi yote kwa lugha rahisi Urusi imerudisha gharama za vita. Kuna mji mingine miwili itachukuliwa tena which will make 23.2 of entire Ukraine going to Russia ni hii itakuwa ndio mwisho wa Ukraine maana access to sea will be limited na life line ya kiev itakuwa imekatwa.

Amini nakuambia tarehe kama ya leo mwezi ujao tutakuwa tunazungumza mengine.
 
Mwez Feb walienda kufanya nn kiev ? je hujui maana kuutoa utawala wa nchi fulan kijeshi ? , au unautoaj utawala bila kushika makao makuu ya nchi ? ( labda km kuna mbinu mpya huko kwenu chitohor ) , Ushabiki wenu unawatia uchiz soon mtaokota makopo
Kwani kwenda Kiev walitaka kuiteka?wakitaka hawawezi kushindwa unakumbuka Hitler alifuatwa mpaka kwake akajiua fasta ili asikamamwe.hiyo Ukraine Tu nchi dhaifu kuliko Ile ujerumani.
 
kuna kifurushi maalum kimetumwa kwenda Urusi na mzee Hayatollah kwaajili ya Ukreine.

Shida ya nato maneno na vikao ni vingi kuliko vitendo.some time nawaoa nato wanatembea na upepo wa propaganda kwasababu ya hofu na uoga walionao kwa Putin a.k.a mtu Pori.

Putin atawamaliza kweli wakiendelea kumu-provoke - Biden na genge lake wasikilize sana maoni/ushauri wa Elon Musk kuhusu uwezo wa kinuclear wa Taifa la Urusi -Musk ni mwana sayansi ana uwezo mkubwa kifedha hafanyi mambo ya kujipendekeza kwa wakubwa kisayansi anajua sana alisemalo, lakini mtu kama Rais Biden ambaye ni mwana siasa wala hilo halioni bado yupo kwenye ndoto za mchana za kufikiri Amerika inaweza kupigana vita vya kinuclear na kuishinda Urusi kirahisi, mawazo hayo potovu Biden bado anayo SANA stance zake za kuto ona beyond his noses na majivuno/ujeuri ndio zinakuja kuwa chanzo cha mwisho wa DUNIA.
 
kuna kifurushi maalum kimetumwa kwenda Urusi na mzee Hayatollah kwaajili ya Ukreine.

Shida ya nato maneno na vikao ni vingi kuliko vitendo.some time nawaoa nato wanatembea na upepo wa propaganda kwasababu ya hofu na uoga walionao kwa Putin a.k.a mtu Pori.
kuna kifurushi maalum kimetumwa kwenda Urusi na mzee Hayatollah kwaajili ya Ukreine.

Shida ya nato maneno na vikao ni vingi kuliko vitendo.some time nawaoa nato wanatembea na upepo wa propaganda kwasababu ya hofu na uoga walionao kwa Putin a.k.a mtu Pori.
Acha mtu pori a.k.a mwamba awanyooshe mabeberu na vibaraka wao🏃🏃
 
Armageddon kaandaa mzigo wa kikatili kuupeleka kwa mvaa tshirt,the super beggar comedian Zele.

Juzi juzi hapa mtangazaji wa CNN kamtolea uvivu Zelensky na kumsema kweli kweli mpaka Zelensky akashikwa aibu - sijiu kwa nini Dunia inamchukulia seriously such a clown leech!!!
 
Naona deployment kubwa sana ya kamikaze from all angles na Kiev ni centre ya mapigano mpaka mtu anyooshe mikono.

Na nahisi bulava will be deployed ti break bunkers once CiC is at large. Vita inaisha na watoa msaada ndio mwisho.
Naona deployment kubwa sana ya kamikaze from all angles na Kiev ni centre ya mapigano mpaka mtu anyooshe mikono.

Na nahisi bulava will be deployed ti break bunkers once CiC is at large. Vita inaisha na watoa msaada ndio mwisho.
Yes ..you are right.....nadhani upo uwezekano wa Vita kumalizika haraka...something is cooking up in Moscow...
 
Back
Top Bottom