Urusi kashindwa vita huku aiwa anakalia majimbo manne ya Ukraine. Hebu fafanua hapa mkuu.Watakua walichelewa vita ilianza Feb wao wanatangaza leo wakati Nchi zote zilikua zinahangaika kutoa watu wake wao walikua wanafanya nini? Mrusi kashashindwa vita msitake kutishana wakati giza linaenda kuisha...
Mwez Feb walienda kufanya nn kiev ? je hujui maana kuutoa utawala wa nchi fulan kijeshi ? , au unautoaj utawala bila kushika makao makuu ya nchi ? ( labda km kuna mbinu mpya huko kwenu chitohor ) , Ushabiki wenu unawatia uchiz soon mtaokota makopoWewe Nani kakumbia Urusi wanataka kuiteka Kiev?
Unalenga raia hlf unataka wanajesh wasalimu ?Naona deployment kubwa sana ya kamikaze from all angles na Kiev ni centre ya mapigano mpaka mtu anyooshe mikono.
Na nahisi bulava will be deployed ti break bunkers once CiC is at large. Vita inaisha na watoa msaada ndio mwisho.
sasa kwann awaombe wachina warudi home ?Urusi kashindwa vita huku aiwa anakalia majimbo manne ya Ukraine. Hebu fafanua hapa mkuu.
Ukute una akili nyingi sana na unaona vitu tofauti alna watu wengine[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Tusubiri muda mkuu katika vitu nisivyoweza kushabikia ni Vita maana najua madhara yaliyopo huko...ukitaka mambo ya ushabiki njoo majukwaa ya mpira nipo Madrid, Arsenal na Yanga ni kweli nina akili Timamu siwezi kushangilia watu wakifa hovyo iwe Urusi au Ukraine..Urusi kashindwa vita huku aiwa anakalia majimbo manne ya Ukraine. Hebu fafanua hapa mkuu.
Ukute una akili nyingi sana na unaona vitu tofauti alna watu wengine😄😄😄😄😄😄
Tulia 17.9% ya nchi ime hukuliwa ambapo ni 30% ya mapato ya nchi yote kwa lugha rahisi Urusi imerudisha gharama za vita. Kuna mji mingine miwili itachukuliwa tena which will make 23.2 of entire Ukraine going to Russia ni hii itakuwa ndio mwisho wa Ukraine maana access to sea will be limited na life line ya kiev itakuwa imekatwa.Unalenga raia hlf unataka wanajesh wasalimu ?
Kwani kwenda Kiev walitaka kuiteka?wakitaka hawawezi kushindwa unakumbuka Hitler alifuatwa mpaka kwake akajiua fasta ili asikamamwe.hiyo Ukraine Tu nchi dhaifu kuliko Ile ujerumani.Mwez Feb walienda kufanya nn kiev ? je hujui maana kuutoa utawala wa nchi fulan kijeshi ? , au unautoaj utawala bila kushika makao makuu ya nchi ? ( labda km kuna mbinu mpya huko kwenu chitohor ) , Ushabiki wenu unawatia uchiz soon mtaokota makopo
We jamaa unajua kutukana kwa akili sanaUrusi kashindwa vita huku aiwa anakalia majimbo manne ya Ukraine. Hebu fafanua hapa mkuu.
Ukute una akili nyingi sana na unaona vitu tofauti alna watu wengine😄😄😄😄😄😄
Sijatukana mkuu. Nimeomba tu afafanue.We jamaa unajua kutukana kwa akili sana
kuna kifurushi maalum kimetumwa kwenda Urusi na mzee Hayatollah kwaajili ya Ukreine.
Shida ya nato maneno na vikao ni vingi kuliko vitendo.some time nawaoa nato wanatembea na upepo wa propaganda kwasababu ya hofu na uoga walionao kwa Putin a.k.a mtu Pori.

Acha mtu pori a.k.a mwamba awanyooshe mabeberu na vibaraka wao🏃🏃kuna kifurushi maalum kimetumwa kwenda Urusi na mzee Hayatollah kwaajili ya Ukreine.
Shida ya nato maneno na vikao ni vingi kuliko vitendo.some time nawaoa nato wanatembea na upepo wa propaganda kwasababu ya hofu na uoga walionao kwa Putin a.k.a mtu Pori.
Armageddon kaandaa mzigo wa kikatili kuupeleka kwa mvaa tshirt,the super beggar comedian Zele.
Anafanyaga tukio 1 tu anatulia watu watapiga kelele yeye anatulia kama hajui kitu......mtafanya vituko vyenu anawaangalia mkijua mmemtuliza anapiga tukio lingineIla Putin ni namfananisha na mtoto mtundu ...yaaan km hujui unamuona mpoleee ila vumbi lake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwani hii vita ni ya NATO mkuuNATO ni Mbwa koko
waende wapi wakati kwo china ni mateso ya usoshalist kupita mipakaMamlaka za China zimewataka raia wake waliopo nchini Ukraine kuondoka mara moja na Serikali itaratibu mpango huo.
Naona deployment kubwa sana ya kamikaze from all angles na Kiev ni centre ya mapigano mpaka mtu anyooshe mikono.
Na nahisi bulava will be deployed ti break bunkers once CiC is at large. Vita inaisha na watoa msaada ndio mwisho.
Yes ..you are right.....nadhani upo uwezekano wa Vita kumalizika haraka...something is cooking up in Moscow...Naona deployment kubwa sana ya kamikaze from all angles na Kiev ni centre ya mapigano mpaka mtu anyooshe mikono.
Na nahisi bulava will be deployed ti break bunkers once CiC is at large. Vita inaisha na watoa msaada ndio mwisho.
Niya mabeberu wa Nato na urusi🥱🥱Sawa Boss
tutatekeleza maelekezo yako mara moja