China inapinga vikali mataifa ya nje kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania

Mwanadiplomasia mkubwa ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje Jamuhuri ya watu wa China, Wang Yi, Januari 10, 2026 alipofanya ziara Ikulu Jijini Dar es Salaam alitoa kauli ya kuonya Mataifa ya kigeni kuingilia masuala ya ndani ya taifa la Tanzania hususan kuhusu uchaguzi uliopita 2025

Wang Yi ndiye waziri wa kwanza wa mambo ya nje kufanya ziara ya kikazi Tanzania, China ambayo imewekeza kwa kiwango kikubwa nchini Tanzania, haikutoa maoni yoyote kuhusu maandamano yaliyotokea Oktoba 29 wakati wa uchaguzi.

Katika taarifa iliyotolewa baada ya ziara hiyo, mamlaka za Tanzania zilisema Wang aliipongeza nchi kwa “kufanikisha uendeshaji wa uchaguzi kwa mafanikio.” Taarifa hiyo iliongeza kuwa China imesisitiza imani yake kamili kwa uongozi na taasisi za Tanzania katika kusimamia masuala ya ndani kwa uhuru.

Kwa upande wake, Wizara ya Mambo ya Nje ya China ilisema Beijing inapinga vikali “nguvu yoyote ya nje kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania,” huku ikisisitiza kuunga mkono uhuru, mamlaka na usalama wa Tanzania.

Baada ya ziara yake Tanzania, Wang anatarajiwa kuendelea na ziara katika nchi nyingine za Afrika ikiwemo Lesotho, ambako ushuru uliowekwa na Marekani umeathiri uhusiano kati ya nchi hiyo na Washington.

Chanzo: TRT
Wangemzuia Trump venezuela au huko Greenland. China wahuni tu hawama lolote mbele ya westerns
 
TOKA MAKTABA :

11 January 2021
Mkuu 'Bagamoyo', mchango wako humu katika jukwaa hili la JF umejipambanua kuwa wa kipekee sana; hata kama watu hawapati muda wa kusoma makala mbalimbali za kumbukumbu unazoziibua kila mara kuhusu mada mbalimbali.

Huu ni mchango wa kipekee sana.

Naomba uendelee na juhudi hiyo hiyo. Hii inaifanya JF kuwa sehemu ya kupata taarifa kiurahisi kwa yeyote anayetaka kuchimba ndani zaidi juu ya jambo lolote.

Hata sielewi kwa nini waTanzania wengi hawataki kuelewa maana ya msimamo wanaouchukua wachina kuhusu maswala haya.

Mchina hajasema popote kuwa wananchi (waTanzania) hawawezi kuwakataa na kuwaondoa watawala wasiowataka wao!
Hii tabia ya kushabikia mataifa mengine kuja kutuondolea utawala tusioutaka wenyewe ni jambo la kusikitisha sana.

Wachina wakipinga juhudi zetu za kujikomboa wenyewe toka kwa majabazi haya, nami nitawapinga moja kwa moja.
 
Wachina walikuwa wanasema hivi hivi kwa Maduro.
Hadi Maduro wa watu masikini akapata unyakuo na hakukuwa hata na Mchina mmoja aliyemsaidia
Mchina siyo wa kumwamini kabisa
Sasa ni hivi:
Tumnyakue Jambazi Samia Suhuhu Hassan sisi wenyewe; tuone kama waChina hao hao watakuwa na kinyongo na kazi tuliyoifanya wenyewe; kazi ambayo inatuhusu moja kwa moja; halafu tusikilize kama waChina hao hao watakuja na lawama juu ya kazi yetu hiyo.

Wakifanya hivyo, nami nipo tayari kuwalaani.

Mchina hajasema popote kuwa atapinga juhudi zetu za kujikomboa toka kwa watawala waovu hawa. Juhudi hizo ni zetu sisi wenyewe, tusitegemee kelele za hao wengine wooote toka huko nje.

Kama wanataka kutusaidia, watuwezeshe tu kufanya kazi yetu wenyewe kwa kutupa nyenzo na kuunga mkono juhudi zetu, bila ya wao kuingilia matakwa yetu.
 
Huyu asituchezee. Tutawafukuza wachina wote Tanganyika.

Wanakuja kufanya nin huku kwetu. Watuache tufanye mambo yetu wenyewe.
 
Mwanadiplomasia mkubwa ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje Jamuhuri ya watu wa China, Wang Yi, Januari 10, 2026 alipofanya ziara Ikulu Jijini Dar es Salaam alitoa kauli ya kuonya Mataifa ya kigeni kuingilia masuala ya ndani ya taifa la Tanzania hususan kuhusu uchaguzi uliopita 2025

Wang Yi ndiye waziri wa kwanza wa mambo ya nje kufanya ziara ya kikazi Tanzania, China ambayo imewekeza kwa kiwango kikubwa nchini Tanzania, haikutoa maoni yoyote kuhusu maandamano yaliyotokea Oktoba 29 wakati wa uchaguzi.

Katika taarifa iliyotolewa baada ya ziara hiyo, mamlaka za Tanzania zilisema Wang aliipongeza nchi kwa “kufanikisha uendeshaji wa uchaguzi kwa mafanikio.” Taarifa hiyo iliongeza kuwa China imesisitiza imani yake kamili kwa uongozi na taasisi za Tanzania katika kusimamia masuala ya ndani kwa uhuru.

Kwa upande wake, Wizara ya Mambo ya Nje ya China ilisema Beijing inapinga vikali “nguvu yoyote ya nje kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania,” huku ikisisitiza kuunga mkono uhuru, mamlaka na usalama wa Tanzania.

Baada ya ziara yake Tanzania, Wang anatarajiwa kuendelea na ziara katika nchi nyingine za Afrika ikiwemo Lesotho, ambako ushuru uliowekwa na Marekani umeathiri uhusiano kati ya nchi hiyo na Washington.

Chanzo: TRT
Sasa anapingaje kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania kwa yeye mwenyewe kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania... au yeye siyo taifa la nje?
 
MABEBERU WANAZIDI KUGAWIWA RASILIMALI KWA FUJO NA SAMUYA

View: https://m.youtube.com/watch?v=6OvIIwBD4sw
Mnamo Agosti 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alisimama katika eneo la Mto Mkuju kusini mwa Tanzania jirani ya hifadhi ya wanyama ya Selous na kuzindua kiwanda cha kusindika urani chenye thamani ya dola milioni mia nne.

Baada ya kuahirishwa mara kwa mara kwa mradi wa uchimbaji wa urani katika Mto Mkuju Kusini-magharibi mwa Hifadhi ya Wanyama ya Selous, mustakabali wa mradi huo unaonekana kuwa na shaka zaidi: Kuongezeka kwa utafutaji wa urani kufuatia kupanda kwa bei ya urani mwaka 2007/2008 kumepungua ndani ya miaka iliyopita. ROSATOM, kampuni ya nyuklia ya serikali ya Urusi, ilikuwa imetangaza rasmi kuahirisha mradi huo hadi 2020, na ikaruhusiwa rasmi kuahirishwa na Serikali ya Tanzania. Na sasa 2025 mradi huo umerudi kwa kasi ili kuanza uchimbaji (Günter Wippel, mtandao wa urani)

Hifadhi ya Wanyama ya Selous, yenye ukubwa wa kilomita za mraba 50,000, ni miongoni mwa maeneo makubwa zaidi yaliyolindwa barani Afrika na hayajaathiriwa sana na athari za binadamu.

Shirika la serikali la Urusi Rosatom likijijenga. Na kwa mradi huo mmoja, msimamo wa kimkakati wa Tanzania ulibadilika kwa njia ambazo watu wengi hawajaelewa.

Hili halihusu kiwanda kimoja. Ni kuhusu kitakachofuata. Kwa sababu Tanzania imefunga tu ushirikiano wa miaka ishirini ambao utachimba tani laki tatu za urani. Hiyo inatosha kuendesha mitambo ya nyuklia katika mabara mengi.

Tanzania nchi ya tano kwa ukubwa barani Afrika kwa idadi ya watu. Watu milioni sitini na saba. Ipo kwenye Bahari ya Hindi yenye bandari zinazohudumia mataifa manane yasiyo na bandari. Zambia. Malawi. Rwanda. Burundi. Uganda
 
Mwanadiplomasia mkubwa ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje Jamuhuri ya watu wa China, Wang Yi, Januari 10, 2026 alipofanya ziara Ikulu Jijini Dar es Salaam alitoa kauli ya kuonya Mataifa ya kigeni kuingilia masuala ya ndani ya taifa la Tanzania hususan kuhusu uchaguzi uliopita 2025

Wang Yi ndiye waziri wa kwanza wa mambo ya nje kufanya ziara ya kikazi Tanzania, China ambayo imewekeza kwa kiwango kikubwa nchini Tanzania, haikutoa maoni yoyote kuhusu maandamano yaliyotokea Oktoba 29 wakati wa uchaguzi.

Katika taarifa iliyotolewa baada ya ziara hiyo, mamlaka za Tanzania zilisema Wang aliipongeza nchi kwa “kufanikisha uendeshaji wa uchaguzi kwa mafanikio.” Taarifa hiyo iliongeza kuwa China imesisitiza imani yake kamili kwa uongozi na taasisi za Tanzania katika kusimamia masuala ya ndani kwa uhuru.

Kwa upande wake, Wizara ya Mambo ya Nje ya China ilisema Beijing inapinga vikali “nguvu yoyote ya nje kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania,” huku ikisisitiza kuunga mkono uhuru, mamlaka na usalama wa Tanzania.

Baada ya ziara yake Tanzania, Wang anatarajiwa kuendelea na ziara katika nchi nyingine za Afrika ikiwemo Lesotho, ambako ushuru uliowekwa na Marekani umeathiri uhusiano kati ya nchi hiyo na Washington.

Chanzo: TRT
Huyo shoga anasifia uchaguzi , huko kwao wananchi wao wanapiga kura pia!? Hizi takataka za china zinachojua ni kutetea tu maslahi yao hata kama watu wanauawa na kukandamizwa. Maamae zao.
 
Hapo kaitwa kwa karamu ya kupewa rasilimali bure lazima asifie, na mtu mweusi akishapata sifa anakua tu kama mazuzu wengine na kurukaruka kombolela kujisahaulisha ukweli, kwamba ni ng'ombe tu! Sadly, watu weusi tuna faida gani duniani?
Kuna weusi wenzako wanajiona waarabu au wanajinasibisha na uarabu, wakati muarabu mwenyewe anawaona watumwa tu. Sasa ole wako umseme mwarabu uone!
 
Mchina hajasema popote kuwa atapinga juhudi zetu za kujikomboa toka kwa watawala waovu hawa. Juhudi hizo ni zetu sisi wenyewe, tusitegemee kelele za hao wengine wooote toka huko nje.
Trump kamtoa Maduro sasa hivi Marekani imeshikilia mafuta

Majizi na madikteta tuyatoe wenyewe tusitegemee wa kutoka nje
 
China wanajua kumfariji mtu kabla tabu haijafika, ila likitokea la kutokea wenyewe wana kaa kando kimya wakikuangalia BBC/CNN ukila kipigo huku wao wakila mishikaki ya chatu.
😂😂😂😂😂
 
Samuya Atamsikiliza beberu gani Marekani alikokwenda Sheikh Kombo, atachagua China au Urusi ?
 
Mwanadiplomasia mkubwa ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje Jamuhuri ya watu wa China, Wang Yi, Januari 10, 2026 alipofanya ziara Ikulu Jijini Dar es Salaam alitoa kauli ya kuonya Mataifa ya kigeni kuingilia masuala ya ndani ya taifa la Tanzania hususan kuhusu uchaguzi uliopita 2025

Wang Yi ndiye waziri wa kwanza wa mambo ya nje kufanya ziara ya kikazi Tanzania, China ambayo imewekeza kwa kiwango kikubwa nchini Tanzania, haikutoa maoni yoyote kuhusu maandamano yaliyotokea Oktoba 29 wakati wa uchaguzi.

Katika taarifa iliyotolewa baada ya ziara hiyo, mamlaka za Tanzania zilisema Wang aliipongeza nchi kwa “kufanikisha uendeshaji wa uchaguzi kwa mafanikio.” Taarifa hiyo iliongeza kuwa China imesisitiza imani yake kamili kwa uongozi na taasisi za Tanzania katika kusimamia masuala ya ndani kwa uhuru.

Kwa upande wake, Wizara ya Mambo ya Nje ya China ilisema Beijing inapinga vikali “nguvu yoyote ya nje kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania,” huku ikisisitiza kuunga mkono uhuru, mamlaka na usalama wa Tanzania.

Baada ya ziara yake Tanzania, Wang anatarajiwa kuendelea na ziara katika nchi nyingine za Afrika ikiwemo Lesotho, ambako ushuru uliowekwa na Marekani umeathiri uhusiano kati ya nchi hiyo na Washington.

Chanzo: TRT
China walishindwa kumsaidia Maduro, kashikwa makalio mchana kweupe na Trump. China ni debe tupu msijifariji nyie haramu mliokatili uhai wa roho nyingi za watanzania
 
Back
Top Bottom