matumizi ya dola ndio yanafanya vikwazo vinakua vikali ila china hataki yuan iende kimataifa kama dola na hua anaishusha thamani yake kila kukicha, china ndio nchi pekee haiwezi kuwekewa vikwazo na marekani kwasababu ina uchumi mkubwa kuliko wa marekaniChina ni. Giant tayar ila bado kuwa super power sababu bado hajawa na influence kubwa kwa dunia, mfano
USA akikuwekea vikwazo uta suffer maisha yako yote
Kiwango ambacho China bado hajafikia
Ofcoz wasenge wale kwanza population yao tu ni soko kubwa sana, kama wakiamua kutumia protectionism policymatumizi ya dola ndio yanafanya vikwazo vinakua vikali ila china hataki yuan iende kimataifa kama dola na hua anaishusha thamani yake kila kukicha, china ndio nchi pekee haiwezi kuwekewa vikwazo na marekani kwasababu ina uchumi mkubwa kuliko wa marekani
na wanayo tayari wao wanaiita anti-sanctions law na ndo nchi pekee inaweza jibu vikwazo vya marekani au ulaya, juzi juzi waliwawekea vikwazo wabunge na maafisa wa EU baaada ya wao kuwawekea maafisa wa xinjiangOfcoz wasenge wale kwanza population yao tu ni soko kubwa sana ....kama wakiamua kutumia protectionism policy
Mwisho wa UZIChina ni. Giant tayar ila bado kuwa super power sababu bado hajawa na influence kubwa kwa dunia, mfano
USA akikuwekea vikwazo uta suffer maisha yako yote
Kiwango ambacho China bado hajafikia
China huyu huyu alilabwa vikwazo na DT akawa analialiamatumizi ya dola ndio yanafanya vikwazo vinakua vikali ila china hataki yuan iende kimataifa kama dola na hua anaishusha thamani yake kila kukicha, china ndio nchi pekee haiwezi kuwekewa vikwazo na marekani kwasababu ina uchumi mkubwa kuliko wa marekani
Yaani USA hana aduiChina huyu huyu alilabwa vikwazo na DT akawa analialia
USA atabaki kuwa super power kwasababu moja tuu hana adui,hawa unaowaona China,Irani,Rassia nk ni midoli yake ya kutudanganyia kuwaa anapambana
Uchumi wa China mkubwa kaka.Kwani Mkuu kuwa super power si mpaka uongoze Kiuchumi, kijeshi, kisiasa, kitechnolojia na etc. Maana naona Uchina anakua kiuchumi tu lkn mambo mengine simuoni!!
Kaka vile vikwazo viliikandamiza USA kuliko China kwasababu kwa kiasi kikubwa viwanda vya Marekani vinategemea malighafi kutoka China.China huyu huyu alilabwa vikwazo na DT akawa analialia
USA atabaki kuwa super power kwasababu moja tuu hana adui,hawa unaowaona China,Irani,Rassia nk ni midoli yake ya kutudanganyia kuwaa anapambana
Kaka China ana influence kubwa ktk dunia kwasasa.China ni. Giant tayar ila bado kuwa super power sababu bado hajawa na influence kubwa kwa dunia, mfano
USA akikuwekea vikwazo uta suffer maisha yako yote
Kiwango ambacho China bado hajafikia
dt ndio kina nani? the latest imf report imekiri kwamba china ndio nchi yenye uchumi mkubwa kwa ss! Hakuna taifa lenye adui wengi duniani kama marekani ndio maana hua wanatoa wanajeshi wake kuvamia nchi nyingine kwasababu ndani ya mipaka yao bado hawajiaminiChina huyu huyu alilabwa vikwazo na DT akawa analialia
USA atabaki kuwa super power kwasababu moja tuu hana adui,hawa unaowaona China,Irani,Rassia nk ni midoli yake ya kutudanganyia kuwaa anapambana
Umeongea Kwa mihemko kukopesha ni strategy ambayo inafanana na kitendo Cha mvuvi kutupa nyavu majini akitaraji kuvua samaki lakin Kuna kuwakosa pia nadhani umenielewaChina mwaka 2021 bimaana mwaka huu mwezi wa pili imetangazwa kuwa ni taifa pekee lililokopesha mataifa mengi duniani.
Bank kuu ya China imekopesha mataifa 138 na kusamehe madeni mataifa 38.
Hivi tujadiliane jamani kiuchumi hii imekaaje?
Hivi kuna atayempiku huyu jamaa kweli?
Hawawezi Kwa morden economy ndio maana wapo bize kukopeshaOfcoz wasenge wale kwanza population yao tu ni soko kubwa sana ....kama wakiamua kutumia protectionism policy
Kaka jaribu kuiangalia kauli yangu kwa upande wa pili.Umeongea Kwa mihemko kukopesha ni strategy ambayo inafanana na kitendo Cha mvuvi kutupa nyavu majini akitaraji kuvua samaki lakin Kuna kuwakosa pia nadhani umenielewa
Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
matumizi ya dola ndio yanafanya vikwazo vinakua vikali ila china hataki yuan iende kimataifa kama dola na hua anaishusha thamani yake kila kukicha, china ndio nchi pekee haiwezi kuwekewa vikwazo na marekani kwasababu ina uchumi mkubwa kuliko wa marekani