China is the upcoming super power

China is the upcoming super power

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Posts
16,166
Reaction score
25,197
China mwaka 2021 bimaana mwaka huu mwezi wa pili imetangazwa kuwa ni taifa pekee lililokopesha mataifa mengi duniani.

Bank kuu ya China imekopesha mataifa 138 na kusamehe madeni mataifa 38.

Hivi tujadiliane jamani kiuchumi hii imekaaje?

Hivi kuna atayempiku huyu jamaa kweli?
 
China ni. Giant tayar ila bado kuwa super power sababu bado hajawa na influence kubwa kwa dunia, mfano
USA akikuwekea vikwazo uta suffer maisha yako yote

Kiwango ambacho China bado hajafikia
matumizi ya dola ndio yanafanya vikwazo vinakua vikali ila china hataki yuan iende kimataifa kama dola na hua anaishusha thamani yake kila kukicha, china ndio nchi pekee haiwezi kuwekewa vikwazo na marekani kwasababu ina uchumi mkubwa kuliko wa marekani
 
Ofcoz wasenge wale kwanza population yao tu ni soko kubwa sana, kama wakiamua kutumia protectionism policy
 
Ofcoz wasenge wale kwanza population yao tu ni soko kubwa sana ....kama wakiamua kutumia protectionism policy
na wanayo tayari wao wanaiita anti-sanctions law na ndo nchi pekee inaweza jibu vikwazo vya marekani au ulaya, juzi juzi waliwawekea vikwazo wabunge na maafisa wa EU baaada ya wao kuwawekea maafisa wa xinjiang
 
matumizi ya dola ndio yanafanya vikwazo vinakua vikali ila china hataki yuan iende kimataifa kama dola na hua anaishusha thamani yake kila kukicha, china ndio nchi pekee haiwezi kuwekewa vikwazo na marekani kwasababu ina uchumi mkubwa kuliko wa marekani
China huyu huyu alilabwa vikwazo na DT akawa analialia

USA atabaki kuwa super power kwasababu moja tuu hana adui,hawa unaowaona China,Irani,Rassia nk ni midoli yake ya kutudanganyia kuwaa anapambana
 
Kwani Mkuu kuwa super power si mpaka uongoze Kiuchumi, kijeshi, kisiasa, kitechnolojia na etc. Maana naona Uchina anakua kiuchumi tu lkn mambo mengine simuoni!!
Uchumi wa China mkubwa kaka.

Ukitaka kujua China ina economic stability IMF mwaka jana kipindi corona inashamiri walitoa ripoti Kuwa hakuna taifa ambalo halijatetereka kiuchumi lakin taifa pekee ambalo limeweza bado kuusimamisha uchumi wake ni China.

Kijeshi China sio wa kawaida tena hata kiteknolojia na kisiasa usipime.
 
China huyu huyu alilabwa vikwazo na DT akawa analialia

USA atabaki kuwa super power kwasababu moja tuu hana adui,hawa unaowaona China,Irani,Rassia nk ni midoli yake ya kutudanganyia kuwaa anapambana
Kaka vile vikwazo viliikandamiza USA kuliko China kwasababu kwa kiasi kikubwa viwanda vya Marekani vinategemea malighafi kutoka China.
 
China ni. Giant tayar ila bado kuwa super power sababu bado hajawa na influence kubwa kwa dunia, mfano
USA akikuwekea vikwazo uta suffer maisha yako yote

Kiwango ambacho China bado hajafikia
Kaka China ana influence kubwa ktk dunia kwasasa.

Anglia Africa na Asia ambapo ndipo population ya dunia imeelemea hakuna nchi inayosema no kwa China.

Pia hata nchi ikiwekewa vikwazo nchi pekee ya kusimama nayo ni China.

Mathalan Cuba ilipoekewa vikwazo taifa pekee iliyoisaidia Cuba mpk kiuchumi ni China.

Hiyo imefanya mataifa mengi yaona kuna mkono wa kuuegemea tofauti na Marekani.
 
China huyu huyu alilabwa vikwazo na DT akawa analialia

USA atabaki kuwa super power kwasababu moja tuu hana adui,hawa unaowaona China,Irani,Rassia nk ni midoli yake ya kutudanganyia kuwaa anapambana
dt ndio kina nani? the latest imf report imekiri kwamba china ndio nchi yenye uchumi mkubwa kwa ss! Hakuna taifa lenye adui wengi duniani kama marekani ndio maana hua wanatoa wanajeshi wake kuvamia nchi nyingine kwasababu ndani ya mipaka yao bado hawajiamini
 
China mwaka 2021 bimaana mwaka huu mwezi wa pili imetangazwa kuwa ni taifa pekee lililokopesha mataifa mengi duniani.

Bank kuu ya China imekopesha mataifa 138 na kusamehe madeni mataifa 38.

Hivi tujadiliane jamani kiuchumi hii imekaaje?

Hivi kuna atayempiku huyu jamaa kweli?
Umeongea Kwa mihemko kukopesha ni strategy ambayo inafanana na kitendo Cha mvuvi kutupa nyavu majini akitaraji kuvua samaki lakin Kuna kuwakosa pia nadhani umenielewa

Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
 
Kaka jaribu kuiangalia kauli yangu kwa upande wa pili.

Hiyo USA haijafikia kiwango hiko.

Km una bank yenye nguvu km hiyo sidhani km utakosa kuteka ushawishi was kimataifa.
 
matumizi ya dola ndio yanafanya vikwazo vinakua vikali ila china hataki yuan iende kimataifa kama dola na hua anaishusha thamani yake kila kukicha, china ndio nchi pekee haiwezi kuwekewa vikwazo na marekani kwasababu ina uchumi mkubwa kuliko wa marekani

Huawei imekuaje kama hawawezi wekewa vikwazo
 
Back
Top Bottom