China is the upcoming super power

Akikujibu unitag MKUU

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
China huyu huyu alilabwa vikwazo na DT akawa analialia

USA atabaki kuwa super power kwasababu moja tuu hana adui,hawa unaowaona China,Irani,Rassia nk ni midoli yake ya kutudanganyia kuwaa anapambana

mdogo wangu, kikwazo pekee kilichobaki ni USD, hii kuivunja ni ngumu sana maana inatumika dunia nzima, ivo vingine ni kunogesha tu uzi, marekani anadaiwa na china

Lakini pia juzi china wamezindua currency yao wenyewe katika harakati za kuipiga usd, usa amebaki na jeshi kubwa ila sector zingine mpaka ushawishi wanatumia nguvu tu
 
nakusaidia kuongeza
 
Jumla wamekopesha bei gani?tuanzie hapo.inawezekana umekopesha wengi lakini kuna mwenzio amekopesha nchi nusu yako ila kakopesha fedha mara 5 yako.

BTW,nilisikia China ibakuja kasi ya hatari.na kitu kimoja inajivunia ni pamoja na soko la ndani pia
 
Kaka natamani niweze kushare hyo video ila nashindwa ni habari ya Aljazeera world news.
Ila kiufupi walisema nchi pekee ambayo bank yake kuu imekopesha mataifa mengi ni China.
Na kaka nadhani unaelewa kwamba pesa za miradi sio ndogo mtu alokopeshwa pesa ndogo na China ni kiasi cha dola billion 200.
Na hao ndio miongoni mwa mataifa 38 yaliyosamehewa madeni .
Kaka sio pesa ndogo hizo.
 
Sasa mbona Cuba wanalia njaa kila siku maandamano
 
Sasa mbona Cuba wanalia njaa kila siku maandamano
Viongozi wa asili ya kilatini wana matatizo sana.
Tatizo ni uongozi maana hata Colombia hawajawekewa vikwazo ila wanaandamana njaa.
 
Mchina kamwe hawezi kumpiku Marekani kwasababu hata uchumi wake umeshishwa na Rothschild family, Rothschild ndiye anae control Us na mataifa mengine.​

Mchina kamwe hawezi kumpiku Marekani kwasababu hata uchumi wake umeshishwa na Rothschild family, Rothschild ndiye anae control Us na mataifa mengine.​

Duh kweli watu tupunguze kukaa vijiwe vya kahawa za mbilimbili
 
Hilo jeshi la china zaidi ya kupeleka personnel kule korea miaka hiyo operesheni gani ngumu ashawahi kwenda!? Tunaona usa alivo na mioparesheni pembe zote za dunia
 
Hilo jeshi la china zaidi ya kupeleka personnel kule korea miaka hiyo operesheni gani ngumu ashawahi kwenda!? Tunaona usa alivo na mioparesheni pembe zote za dunia
We jamaa hizo operation US anazoshiriki chache sana anatumia askari wake nyingi anafadhili silaha.
Hakuna taifa oga kupoteza wanajeshi wake km USA.
Kilichomkuta Somalia kilimpa uoga tosha.
China siyo mtu wa kuingiza pua kwenye mambo ya watu anajua athari za kujiingiza kwenye vita zisizomuhusu.
Hiyo USA kilichomfanya uchumi wake kuzorota ni kuendekeza vita zisizomuhusu.
Ila China akitia mguu sehem lazma pateteme.
Unavyojua ww Korea kaskazini ile jeuri ya makombora kawapa nan km siyo China??
Vita za mgawanyo kati S.Korea na N.Korea nan alomfanya N.Korea kusimama kidete km siyo China???
Uliza South China sea USA ali react vp baada ya China kuintroduce dongfeng nuclear ballistic missiles.
 
Kwa sababu hana uchumi imara na anafanya hivyo Ili kuendelea kukuza uchumi hasa exports
 
Sawa wao si waliwahi ku contain virusi tofauti na nchi nyingine zilikuwa zinajivuta na kupiga siasa
 
Sababu kubwa productivity kuwa kubwa inayochangiwa na relatively cheap labour ukilinganishwa na developed countries.

Tukija kwenye GDP per Capita bila shaka China bado saaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…