Huwezi ku-justify kwamba china ni very powerful economically kwa sababu anamkopesha sana US,Umejaribu kufanya analysis ya kujua why chinese are investing heavily on US economy? The US economy is very productive,innovative,ina currency ambayo ni stable,ina credibility ya kulipa madeni na mengineyo hivyo inaufanya kuwa very attractive kwa investors.Asilimia kubwa pia ya deni jumla la US linamilikiwa na wananchi pamoja na taasis zake za ndani ukiachilia China,Japan,and etc-Unapaswa uelewe pia hili. Backresa,Mo,Mengi wanakopa sana kwa sababu wapo very productive na ni rahisi kukopesheka kwa sababu wana credibility.Pesa wanazokopeshwa zinatoka kwa watu ambao pengine hawana cha kuzifanyia."Bank ni mahali ambapo wajinga huenda kuweka hela zao na wenye akili wanaenda kuzichukua" 🤣 🤣 🤣