China: Kauli za Marekani zitaiingiza hatarini Taiwan

China sijui anasubiri nini?Ilibidi sasa hivi awe keshaichukua Taiwan yake.
Uoga unawasumbua China, wanaogopa sana kuvuruga uchumiwao kwa sababu ya vita ndio maana unaona hawaingiliagi vurugu zozote popote.
 
Tangu lini Marekani imetoa msaada kwa yeyote! Ukiona imetoa kitu basi ni mtego wa kuvuna 1000000 x!
Kwa Tz US amekuwa akichangia budget, ujenzi wa barabara, madawa na neti zimekuwa zimekuwa zikitolewa kwa ufadhili wa USAID.
 
Kwa Tz US amekuwa akichangia budget, ujenzi wa barabara, madawa na neti zimekuwa zimekuwa zikitolewa kwa ufadhili wa USAID.
Acha upuuzi huo, wanaondoka na vingapi Baada ya hapo? Umeshawahi kulitafakari Hilo!
 
hivi Marekani hizo hela inazotumia kufadhili vita si izitumie kusaidia Nchi masikini ?[emoji57]
Wanafahamu fika kuwa zinaishia mifukoni mwa akina Mwigulu nk
 
US bwana hapo anachochea Kuni moto ukiwaka anatulia tu utafikir si yeye alichonganisha, ukweli ni kwamba US hawez fanya lolote china ikiamua kuivamia Taiwan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…