China: Kauli za Marekani zitaiingiza hatarini Taiwan

China: Kauli za Marekani zitaiingiza hatarini Taiwan

Anafadhili vita na magaidi, bila ya hii nchi kufanya unyama kama huu watu wangeishi kwa amani sana na kusingelitokea vifo na uharibifu kwa watu wengi
Pia,Usisahau kwamba;

Kama sio Marekani Nchi zifuatazo zingelikuwa zimeshapigana na kuhatarisha Usalama wa Dunia:

1.China angelikuwa ashaivamia kijeshi Taiwan.

2.Urusi angelikuwa ashazivamia nchi ndogo ndogo jirani zake(Slovakia,Lativia,Romania),Lakini kwasababu Ni member wa NATO Basi mpaka Sasa Wako Salama. Urusi Kavamia,Goargia,Ukraine,Moldova na kuwanyang'anya Ardhi zao.

3.Uturuki ingelikuwa ilishaivamia Ugiriki. Mwaka 2012,Uturuki alipeleka Meli 4 za Kivita ili Kuinyang'anya Ugiriki visiwa vinavyozozaniwa Kati ya Uturuki na Ugiriki,Matokeo Yake,Marekani na Uingereza walipeleka Manowari 15 za Kivita na Meli 4 za Kubeba Ndege(Aircraft Carrier) ili kuilinda Ugiriki. Matokeo Yake,Uturuki akaamua Kurudisha Nyuma Meli zake 4.

4.Iran angelikuwa ashaivamia Israel na kuifuta kwenye ramani ya dunia. Kila Siku Viongozi na Raia wa Iran wanaimba Destruction to Israel lakini wanashindwa kufanya chochote kwasababu Mziki wa kuivamia Israel Ni Sawa na Kumeza sinia la Nyembe kwa Hasira ili uzikomoe Nyembe.

Kwahiyo Kuna Mazuri ya uwepo wa Marekani ambayo mnasahau kuyataja Tena kwa Makusudi Binafsi.
 
Back
Top Bottom