Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Wakuu,
Kuanzia Septemba mwaka huu, Beijing, China itaanza kuwafundisha watoto wadogo kuanzia umri wa miaka sita masomo ya lazima ya Akili Bandia (AI) katika shule zote za msingi
Shule zote jijini Beijing zitalazimika kutoa angalau masaa 8 ya ufundishaji wa AI kwa kila mwaka wa masomo, ama kama masomo maalum au yakiunganishwa kwenye masomo mengine kama teknolojia ya habari na sayansi.
Masomo haya yamepangwa kulingana na umri, ambapo wanafunzi wadogo watapata mafunzo ya vitendo, na wakubwa watapewa masomo yenye mkazo wa ubunifu.
=======================================
Starting this fall, schools in the city must provide at least eight hours of AI instruction per academic year, the Beijing Municipal Education Commission said in a statement on Friday. Schools can teach AI as a stand-alone course or integrate it into existing courses like science and information technology.
Under the new plan, elementary schoolers, typically ages six to twelve, would take hands-on courses to kick-start their understanding of AI. Those in middle school would learn how to apply AI in schoolwork and daily life, while high schoolerswould focus on strengthening AI applications and innovation, the agency said.
In China, compulsory education consists of six years of elementary school, three years of middle school, and three years of high school.
Source: Business Insider, Fortune