China wao hawategemei NASA Nao wapo kivyao na teknolojia yao.
NASA inamilikiwa na Marekani hivyo china hawataki hilo.
Ila kwa vile taarifa zipo watajua tu na mwezi huo utakua China tu.
Kwanini tusitengeneze mwezi wetu mkuuNingekuwaga msela wa kichina ningejiskia raha Sana
hahaahaa Bongoyo ya Oysterbay au kule kisiwaniWataweza kuushikilia huko hewani? Dude lisijeangukia Bongoyo.
Jambo zuri ni vimondo vichache sana, vyenye madini ngumu ndivyo vinavyoweza kudondokea uso wa dunia kutokea anga la mbali.Najaribu kufikiria siki huo mwezi uki collapse itakuwaje? Maana ya mwanadamu hayajakamilika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Olewa na MchinaNingekuwaga msela wa kichina ningejiskia raha Sana