China kufungua vituo vya Polisi Afrika ikiwemo Tanzania. Ubalozi wa China wakanusha

China kufungua vituo vya Polisi Afrika ikiwemo Tanzania. Ubalozi wa China wakanusha

Nimeelewa, na hili Jambo linawezekana kwani mchina vs mchina...yaaan ukiwa atamtendea sivyo mchina mwenzie hushawishiwa arudi China akakutane na mashtaka
 
Wavaa kobazi gani..yesu au!?...mahakama ya kadhi ipo Kenya na zenji,na Wala Kenya hawajaona Kama kuwa na serikali ndani ya serikali,wakiristo wa tz ni specie maalum,Ina chuki na hofu ya ajabu dhidi ya uislam,kwa mwendo huo ipo siku mmea huo wa chuki utazaa matunda na tutayala
Acha na hao waabudu masanamu [emoji23][emoji1787]
 
The report says the tactics “deprives [Chinese nationals] of the right to be considered innocent until proven otherwise and the right to a fair trial, and also institutes a far-reaching ‘guilt by association’ paradigm...
Ni kama vile wachina wana hofu ya kuonewa kwenye mataifa mengine, sasa wanapotaka kufungua vituo vyao vya polisi, muhimu wajue sheria za eneo husika bado zitatumika kuwakamata na kuwatia hatiani wakifanya uhalifu.
 
Wavaa kobazi gani..yesu au!?...mahakama ya kadhi ipo Kenya na zenji,na Wala Kenya hawajaona Kama kuwa na serikali ndani ya serikali,wakiristo wa tz ni specie maalum,Ina chuki na hofu ya ajabu dhidi ya uislam,kwa mwendo huo ipo siku mmea huo wa chuki utazaa matunda na tutayala
Tz ni Tz na huko Kenya ni Kenya..na wala hakuna chuki wala unafiki..kama hupendi utawala wa nchi hii hamia huko Kenya...absurd.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii imekaaje? Ina maana vyombo vya ulinzi vya nchi za Afrika hazina mamlaka ya kushughulika na hawa Wachina mpaka polisi wao wafungue vituo vyao vya polisi kwenye nchi husika?

=======================================

China inadaiwa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia wake wanaoishi katika nchi hizo tatu za Afrika, tovuti inayomilikiwa na mtu binafsi ya Nigeria ya Vanguard imeripoti.

Wakiwanukuu watetezi wa Usalama, Vanguard amesema mpangilio wa China unaweza kuonekana kama shambulio dhidi ya uhuru wa eneo husika.

"Badala ya kushirikiana na serikali za mataifa hayo, [China] imeamua… kushirikiana na United Front linked , mashirika ambayo yako nje ya nchi katika mabara matano, kuanzisha mfumo mbadala wa polisi na mahakama ndani ya nchi tatu, na kuhusisha moja kwa moja mashirika hayo katika mbinu zisizo halali zinazotumiwa kuwasaka 'wakimbizi'," Watetezi hao wa usalama walisema walisema.

Waliongeza kuwa mamlaka ya China, kati ya Aprili 2021 na Julai 2022, "imewashawishi" raia 230,000 kurejea China kujibu mashtaka ya jinai kuhusu mawasiliano ya simu na ulaghai wa jumla.

Pia ilisema serikali ya China ilipiga marufuku raia wake kuhamia nchi tisa ambazo hazikutajwa kwa makosa ya "udanganyifu mkubwa, ulaghai wa simu na uhalifu wa mtandao".

BBC inafuatilia juu ya taarifa hii kwa kina katika mamlaka za serikali ya Tanzania na kutoa taarifa zaidi.

BBC.
 
Serikali ya China inadaiwa kufungua Vituo vya Polisi Nchini Nigeria na katika nchi zaidi ya 20 Barani Ulaya, Amerika, Asia na Afrika katika juhudi zake za kukabiliana na ongezeko la Uhalifu wa Raia wake wanaoishi Ughaibuni.

Kwa Mujibu wa Ripoti ya Shirika la Safeguard Defender, Lesotho na Tanzania ni nchi nyingine mbili za Afrika mbali na Nigeria ambazo zina vituo vya polisi vya China

Ripoti hiyo imebainisha kuwa, Kama Sehemu ya Kampeni kubwa ya Kitaifa ya Kupambana na Ulaghai na Utapeli kwa Njia ya Mawasiliano ya Simu unaofanywa na Raia wa China wanaoishi Nje ya Nchi, Mamlaka ya China ilidai kuwa kuanzia Aprili 2021 hadi Julai 2022, raia 230,000 "wameshawishiwa kurudi" kujibu mashtaka ya jinai nchini China.

…..

The Chinese government has opened police stations in Nigeria and in over 20 countries in Europe, the Americas, Asia and Africa in its effort to tackle the increasing criminal activities of its citizens abroad.

This was contained in an investigative statement titled, ‘110 Overseas Chinese Transnational Policing Gone Wild.’


It was widely reported that the police stations are created to bring “down on all kinds of illegal and criminal activities involving overseas Chinese.” Lesotho and Tanzania are the two other African countries apart from Nigeria that have Chinese police stations.

The report by Safeguard Defender revealed, “Rather than cooperating with local authorities in the full respect of territorial sovereignty, it prefers…to cooperate with (United Front-linked) overseas ‘NGOs’ or ‘civil society associations’ across the five continents, setting up an alternative policing and judicial system within third countries, and directly implicating those organisations in the illegal methods employed to pursue ‘fugitives’.”

It further said that as part of a massive nationwide campaign to combat fraud and telecommunication fraud by Chinese citizens living abroad, Chinese authorities claimed that from April 2021 to July 2022, 230,000 nationals had been, “persuaded to return” to face criminal proceedings in China.

China’s official statements clarified the use of depriving suspects’ children of the right to education back in China and other actions against relatives and family members in a full-on “guilt by association” campaign.

Source: Vanguard Nigeria
 
Tz ni Tz na huko Kenya ni Kenya..na wala hakuna chuki wala unafiki..kama hupendi utawala wa nchi hii hamia huko Kenya...absurd.

#MaendeleoHayanaChama
Na utakua mkatoliki tu,ndiyo mfundishanao chuki na agenda za kipuuzi dhidi ya waislam..mchuma janga hula na WA kwao
 
Magharibi, wa-China washawapiga bao Afrika.. sasa, kama kawaida yao wameanza propaganda...
 
Ni kama vile wachina wana hofu ya kuonewa kwenye mataifa mengine, sasa wanapotaka kufungua vituo vyao vya polisi, muhimu wajue sheria za eneo husika bado zitatumika kuwakamata na kuwatia hatiani wakifanya uhalifu.
Hichi kitu kitaleta usumbufu pale mswahili kamtapeli mchina.
 
Hichi kitu kitaleta usumbufu pale mswahili kamtapeli mchina.
Kwanza hata siamini kama hili jambo litafanikiwa, ni ujinga tu wa kichina, wanadhani wanavyotoa misaada kwetu sasa wanaweza mpaka kuingilia mambo yetu ya ndani, na hata wakifanya, sidhani kama litatekelezeka.

Simply, kama wameshindwa kuishi nchi za wengine, warudi kwao.
 
Nmeona pahala china wanataka kuja na hilo jambo

La kuanzisha vituo vya police Afrika je police wetu Africa wameshindwa kazi?

Au ni aina mpya ya UKOLONI tunaletewa?
 
Nmeona pahala china wanataka kuja na hilo jambo

La kuanzisha vituo vya police Africa je police wetu Africa wameshindwa kazi?

Au ni aina mpya ya UKOLONI tunaletewa?
 

Attachments

  • Screenshot_2022-10-20-13-07-05-954_com.twitter.android.jpg
    Screenshot_2022-10-20-13-07-05-954_com.twitter.android.jpg
    140.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom