China kuipa Tsh. Trilioni 69 Afrika, Tanzania ipo kwenye mgao

China kuipa Tsh. Trilioni 69 Afrika, Tanzania ipo kwenye mgao

Mtu bana akikupakupa mihela awe na tabia njema, kama hana kila ukipita anakufinyia jicho au kuinua kope.
 
Roughly tshs 69 tril ÷ 54 African countries

= Tukipata tshs 2 tril bahati, labda China wagawe kwa ukubwa eneo na ukubwa wa idadi ya watu, huenda tutapata walau tshs 5 to 6 tril, si haba
 
Back
Top Bottom