China kuondoa sharti la Karantini kwa wageni wote kuanzia Januari 8, 2023

China kuondoa sharti la Karantini kwa wageni wote kuanzia Januari 8, 2023

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Baada ya kufunga Mipaka yake kwa miaka mitatu ili kupambana na Maambukizi ya #UVIKO19, China itafungua tena Nchi kwa wenye Visa ya Ukaazi, Masomo na wanaotaka kutembelea familia.

Pia, Taarifa iliyotolewa na Mamlaka imesema wageni watalazimika kufanya kipimo cha kubaini hali zao (PCR) lakini hakutakuwa na ulazima wa kukaa #Karantini kuanzia Januari 8, 2023 huku Safari za Ndege zikiongezwa bila vizuizi.

Hata hivyo, Serikali imesitisha kutoa taarifa za Maambukizi mapya, ingawa kampuni ya Data za Afya ya Uingereza, #Airfinity imeripoti kuwa China inapata Maambukizi zaidi ya Milioni 1 na Vifo 5,000 kwa siku.

#JamiiForums #Governance #PublicHealth #JFAfya #Accountability

Kwa mujibu wa Serikali ya China, ongezeko la mlipuko wa maambukizi yanayohusiana na Covid-19 haina hatari yoyote na wafanyakazi wa Afya wanaweza kuimudu.

Katika maoni yake ya kwanza kuhusu mabadiliko hayo, Rais Xi Jinping aliwataka maafisa wa afya kufanya kile ambacho "inawezekana" kuokoa maisha.

Aidha China imeacha kuchapisha takwimu za Covid, ingawa taarifa za siri zinadai huenda maelfu ya watu wanapoteza maisha kila siku nchini humo.

Tangu Machi 2020, abiria wote wanaofika China wamelazimika kuwekewa karantini ya lazima lakini urefu wa muda umepunguzwa hatua kwa hatua, kutoka wiki tatu za awali hadi siku tano tu kwa sasa.

===================

China has announced that its requirement for travellers arriving in the country to go into quarantine will end on 8 January.

The measure is the latest in a series of restrictions to be lifted as China abandons its zero-Covid policy.

China is seeing an explosion in Covid-related infections and medical workers have said they are struggling to cope.

In his first comments on the changes, President Xi Jinping urged officials to do what was "feasible" to save lives.

State media quoted him as saying the country faced new situations demanding a more targeted response.

China has stopped publishing Covid statistics, but it is thought thousands of people may be dying every day.

Since March 2020, all passengers arriving in China have had to undergo mandatory centralised quarantine.

But the length of time has been progressively reduced, from three weeks originally to just five days at present.

Under the new rules, Covid will be downgraded from a Class A infectious disease to Class B, meaning that quarantine will no longer be enforced.

China's about-turn on how it manages the pandemic has left Mr Xi in an uncomfortable position, analysts say.

He was the driving force behind the zero-Covid policy, which was blamed for restricting people's lives excessively and harming the economy.

But having abandoned it, he now has to take responsibility for the huge wave of infections and hospital admissions, mainly among older people.

Public anger over the president's handling of the pandemic is one of the areas in which he is most vulnerable.

BBC
 
Mwezi moja uliopita tulishuhudia watu wengi maelfu kwa maelfu wakiingia kwenye viwanja nchini Qatar kuangalia mechi za world cup. Hakuna aliyeugua covid Wala hakuna aliyetoa tahadhari yoyote kuhusu covid. Ni pale tu world cup ilipoisha ndio tukaanza kusikia habari na tahadhari na mlipuko wa kovid.
Kuna kitu wakubwa wa dunia hawakisemi au wanafaidika na kutisha watu kuhusu govid.
 
Back
Top Bottom