China kuongeza kima cha chini cha mshahara na kuwasaidia watu wenye matatizo ya kiuchumi

Wow yaani kama mbingu na ardhi..mbaya zaidi hawa wachina ndio kigizo chetu, kikubwa,Utasikia wachima hawaongei English wachina rafiki wakweli, wazungu wanawapenda watu wao...ndio maana serikali inachukia watanzania kwenda Ulaya.

Inategemea na population ya nchi, nchi kama uingereza yenye idadi ya watu milioni 68 na ushee watashindwaje kuwalipa raia wake huo mshahara ulioutaja!!!! Population ya china with a population of around 1.4 billion in 2019, sasa unategemea watalingana!!!!
 
Wengi wa watu hauwezi kuwa ndio sababu ya kuwalipa watu mshahara mdogo hii akili toweni kichwani .

China itachukuwa miaka kadhaa ili kuwa na life standard kama za Nchi so called MABEBERU na Ndio maan China ndio taifa lenye uchumi mkubwa baada ya America lakini baado ni third world country. Hiyo tu inatosha kukusaidia kunyambua mambo mengi.
 
Sawa, msimamo wangu uko pale pale
 
Moja ya sababu za kuongeza mishahara ni kupandisha uwezo wa raia katika kudumisha maisha bora. Ikiwemo kuishi kwenye nyumba bora, kula vizuri na kumudu elimu ya watoto wao. Matokeo hasi ya haya yanapunguza mzigo kwa serikali mfano ongezeko la wagonjwa ma hospital

Kama serikali inahimiza matumimizi ya tiba asili, tegemeo la kupandishwa mishahara ni dogo sana.
 
Kima cha chini hiko boss ina maana mfagiaji wa barabara anapewa pesa hizo sawa na mtu Mwenye diploma au baadhi ya wenye digrii nchini kwetu...na bado China wanapandisha mshahara
Du misifa yote hiyo kwa wachina mshahara mdogo hivo? Yaani mwezi mzima Dola 380?
 
Mwaka huu mnaweza kuongezewa mishahara, kuwapa pipi mdomoni wakati katiba ikibadilishwa.
 
Kima cha chini hiko boss ina maana mfagiaji wa barabara anapewa pesa hizo sawa na mtu Mwenye diploma au baadhi ya wenye digrii nchini kwetu...na bado China wanapandisha mshahara

Hshahaha na bado population yao kubwa lakini wameweza
 
Kwa gharama za maisha zilivyokuwa kubwa kule China hiyo ni pesa ndogo sana Mkuu.
Zibadilishe kwenye pesa za madafu tuone ni sh ngapi kisha linganisha na nchi yako

At the same time linganisha population ya China na hizo nchi nyingine zenye neema
 
Du misifa yote hiyo kwa wachina mshahara mdogo hivo? Yaani mwezi mzima Dola 380?
Kumbuka wako 1.4 billion na hicho ni kima cha chini. Nchi yako ya viwanda licha ya kuwa milioni 60 lakini kima cha chini ni 270,000/= Tshs. Kuna usawa hapo ?
 
Ingependeza kama ungesoma msg more than one,kuna mshikaji hapo juu kadadavua vizuri tu,wewe unaona uwingi wa watu ndio kupunguwa kwa mshahara? Before you reply me again please read my previous messages.
 
Back
Top Bottom